Tanzania Comercial Bank kuweni wastaarabu na wathamini wateja wenu

Tanzania Comercial Bank kuweni wastaarabu na wathamini wateja wenu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
1. Kama mnataka kutoa service wapeni wateja wenu taarifa. Pension/salary advance/nisogeze loan /jihudumie hakuna..is now ON/OFF. Kuweni na msimamo, consistency, kama haipo mwezi fulani waambie wateja wenu kuwa service hii imefutwa.

Tunajua kuwa ni discretion yenu kuweka au kuondoa service hizo, but inform your clients! Inform them wajipange na maisha yaendelee......

Ni hilo tu kwa leo
 
Back
Top Bottom