Jux anafanya wanaume wote wa Tanzania tuonekane wastaarabu kwenye mapenzi

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Mimi sio hansome,sina hela,sina six pax,sina umaarufu wowote ila tangu january mpaka sasa nimeshatindua mabinti zaidi ya 19,na mwaka bada mbichi
kabisa

Siku ya msiba wangu nitatia aibu sana kwa rundo la watoto msibani kwangu.

Minajijua siendi mbinguni kwadhambi moja tu ya uzinzi

Sasa mdogo wangu Jux tangu nikujue sikuwahi kusikia drama yoyote ya mapenzi,Ukiacha yule kimbaumvau vanessa na yule kuku wakienyeji basiniseme una ckean sheet

Nyimbo zako huwa sizielewi ila niseme unajitahidi sana kujiheshimu.

Miaka zaidi ya 35 huna hata mtoto wa mchepuko ???

Africa sasa itajua kuwa wanaume wote ni kama wewengoja wajichanganye sasa kwa sisi mafisi
 
Uzuri wa fisi huambulia makombo
 
Kuna msiba nilihudhuriawa Mchaga mmoja watoto walijitokeza kama 6, mama tofautitofauti halafu Kuna mke mkubwa yy alikuwa anaishi na mzee yeye alikuwa na watoto 4, wengine wawili wa nje mume alimletea nao mama tofaut halafu alikuwa anatoa photocopy.... Mke mkubwa alikuwa na watoto 6[emoji41]akajua mchezo umeishia hapo
Uzuri Mzee kumbe alisomesha wale watoto kisiri,alihudumia so walikuwa watu na maisha yao Ndugu zake na mzee walikuwa wanawajua wote na kwenye idadi ya watoto kwenye historia wakajumlishwa kusikia idadi ya watoto yule mama alipiga yowe ....[emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]
Akataja jina la huyo Mzee .... Tutumie Mushiiiiiiiiiiiii nilikwambia hakuna mwanamke ungeweza kuishi na wewe zaidi yangu! Onaaa
Uzuri kwl watoto wote walikuwa ni watu na maisha yao mazuri sana mbaya zaidi yaani huulizi walikuwa photocopy ya Mzee... Mzee kumbe alielekeza Mkewe kusimamia Kila kitu.... Na wale watoto nane wa nje akasema hakuna anayemdai kwani alishawapatia Elimu na wote walikuwa na kazi nzuri.... Hili Soo alisolve na pesa maana angekuwa hana pesa angesomeshaje na kuhudumia? Kuna kiwanda walikuwa nacho Cha kukamua na kuuza mafuta ya Alizeti na mashudu, maduka ya spare za magari... Mashamba yote Yako still na hakuna ugomvi uliotokea
Don't try this at home.
..
 
Mushi apewe heshima yake
 
Club bingwa timu Toka Nigeria mashemeji zetu ....wakija hapa nikichapo kama apatacho dada yao
 
Mimi sio hansome,sina hela,sina six pax,sina umaarufu wowote ila tangu january mpaka sasa nimeshatindua mabinti zaidi ya 19,na mwaka bada mbichi
kabisa

Siku ya msiba wangu nitatia aibu sana kwa rundo la watoto msibani kwangu.

Minajijua siendi mbinguni kwadhambi moja tu ya uzinzi

Sasa mdogo wangu Jux tangu nikujue sikuwahi kusikia drama yoyote ya mapenzi,Ukiacha yule kimbaumvau vanessa na yule kuku wakienyeji basiniseme una ckean sheet

Nyimbo zako huwa sizielewi ila niseme unajitahidi sana kujiheshimu.

Miaka zaidi ya 35 huna hata mtoto wa mchepuko ???

Africa sasa itajua kuwa wanaume wote ni kama wewengoja wajichanganye sasa kwa sisi mafisi
Sema kwa wewe fisi sio sisi mafisi😀😀
 
Kuna msiba nilihudhuriawa Mchaga mmoja watoto walijitokeza kama 6, mama tofautitofauti halafu Kuna mke mkubwa yy alikuwa anaishi na mzee yeye alikuwa na watoto 4, wengine wawili wa nje mume alimletea nao mama tofaut halafu alikuwa anatoa photocopy.... Mke mkubwa alikuwa na watoto 6[emoji41]akajua mchezo umeishia hapo
Uzuri Mzee kumbe alisomesha wale watoto kisiri,alihudumia so walikuwa watu na maisha yao Ndugu zake na mzee walikuwa wanawajua wote na kwenye idadi ya watoto kwenye historia wakajumlishwa kusikia idadi ya watoto yule mama alipiga yowe ....[emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]
Akataja jina la huyo Mzee .... Tutumie Mushiiiiiiiiiiiii nilikwambia hakuna mwanamke ungeweza kuishi na wewe zaidi yangu! Onaaa
Uzuri kwl watoto wote walikuwa ni watu na maisha yao mazuri sana mbaya zaidi yaani huulizi walikuwa photocopy ya Mzee... Mzee kumbe alielekeza Mkewe kusimamia Kila kitu.... Na wale watoto nane wa nje akasema hakuna anayemdai kwani alishawapatia Elimu na wote walikuwa na kazi nzuri.... Hili Soo alisolve na pesa maana angekuwa hana pesa angesomeshaje na kuhudumia? Kuna kiwanda walikuwa nacho Cha kukamua na kuuza mafuta ya Alizeti na mashudu, maduka ya spare za magari... Mashamba yote Yako still na hakuna ugomvi uliotokea
Don't try this at home.
..
Hii haina shida kabisa
 
Huyo ndio mwamba sasa
 
Back
Top Bottom