Jux anafanya wanaume wote wa Tanzania tuonekane wastaarabu kwenye mapenzi

Jukusi huu mwaka ni wake, mwendo wa kusifiwa na kukandiwa tyuuh. Lol
😂😂😂😂😂
 
Mimi sio hansome,sina hela,sina six pax,sina umaarufu wowote ila tangu january mpaka sasa nimeshatindua mabinti zaidi ya 19,na mwaka bada mbichi
kabisa

Siku ya msiba wangu nitatia aibu sana kwa rundo la watoto msibani kwangu.

Minajijua siendi mbinguni kwadhambi moja tu ya uzinzi

Sasa mdogo wangu Jux tangu nikujue sikuwahi kusikia drama yoyote ya mapenzi,Ukiacha yule kimbaumvau vanessa na yule kuku wakienyeji basiniseme una ckean sheet

Nyimbo zako huwa sizielewi ila niseme unajitahidi sana kujiheshimu.

Miaka zaidi ya 35 huna hata mtoto wa mchepuko ???

Africa sasa itajua kuwa wanaume wote ni kama wewengoja wajichanganye sasa kwa sisi mafisi
Kimataifa tayari diamond ashatuchafua kitambo. Hajaoa na ana watoto Afrika mashariki yote
 
Mimi sio hansome,sina hela,sina six pax,sina umaarufu wowote ila tangu january mpaka sasa nimeshatindua mabinti zaidi ya 19,na mwaka bada mbichi
kabisa

Siku ya msiba wangu nitatia aibu sana kwa rundo la watoto msibani kwangu.

Minajijua siendi mbinguni kwadhambi moja tu ya uzinzi

Sasa mdogo wangu Jux tangu nikujue sikuwahi kusikia drama yoyote ya mapenzi,Ukiacha yule kimbaumvau vanessa na yule kuku wakienyeji basiniseme una ckean sheet

Nyimbo zako huwa sizielewi ila niseme unajitahidi sana kujiheshimu.

Miaka zaidi ya 35 huna hata mtoto wa mchepuko ???

Africa sasa itajua kuwa wanaume wote ni kama wewengoja wajichanganye sasa kwa sisi mafisi
Hakikisha miwaya itakapokuweka chini unaacha wosia waje kukuzika na kuanza kukulaani na kujiombolezea.
 
Back
Top Bottom