Hata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.
Kuna watu wanatamani kuona unateseka.
Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.
Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote.
Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda.
Wanatamani kukuroge...
Habari za jioni mabibi na mabwana.
Kama kichwa cha habari kinavyosema kuuliza si ujinga!
Mimi ni muislamu ila hupenda kujua pia habari za watu wa dini nyingine!
Swali langu ni kama ifuatavyo:
1️⃣ Je kwaresma ipo kwa madhehebu yote ya kikristo / kikristu au ni special kwa wakatoliki peke yao?
2️⃣...
Nitatolea mfano halisi ambao nimekutana nao mimi:-
Kuna kijana mmoja alijitangaza mtandaoni anatafuta kazi, amehitimu mwaka juzi kwenye mambo ya IT.
Katika kumuhoji kweli, ikaonekana ana shida ya kazi kweli kwa sababu ata kula yake ilikuwa ni ya shida.
Nikaumiza kichwa, nikaona huyu atanifaa...
Kwamba Mwanaume hupaswi Kuchelewa kuwa na Mtoto na kwamba unatakiwa kuwa na Mtoto kuanzia Umri wa Ujana na kwamba ukiwa na Miaka kuanzia 45 kwenda mbele hadi 50 au 55 hapo ukipata Mtoto wako wa Kwanza utaitwa Mchelewaji wa kuwa na Mtoto na kwamba hutoweza Kumlea vizuri na sijui atakuwa anakuita...
Kila mara mtu anapofariki Waswahili huwa hawakosi hii misemo,
1. Maisha ni fumbo,
2. Tumeumbiwa kifo,
3. Kifo ni kitendawili
4. Tunatembea na kifo
5. Mbele yake nyuma yetu( hii hata huwa sielewei inamaanisha nini)
Mtu anapokufa unatakiwa kusikitikia marehemu na waliobaki, sio kujisikitikia...
Kwa zaidi ya miongo miwili, sera ya China kwa Afrika ilijikita zaidi katika maendeleo na miundombinu. Lakini sasa imepanua mawanda yake na kuingia ndani zaidi hadi kwenye utamaduni na lugha, ikitumia njia ya kukikuza na kukieneza Kiswahili ili kujenga ukaribu zaidi na wenzao wa nchi za Afrika...
Miaka ya hivi karibu jamii ya Wakinga ni kama imeamua kuwa serious kupambana na umaskini.
Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki.
Unfortunately maneno yamenza mara uchawi mara kafara yaani blah blah kibao.
Ukweli mchungu jamii nyingi za Tanzania zamani zilikuwa...
Yaani leo wengi wenu Shingo zimewashupaa Kumlaumu Rais wa Uganda Museveni kumteua Mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi ya Uganda.
Mbona hamshangai Watawala wenu ( Marais na Waliostaafu ) pamoja na Mawaziri wenu mbalimbali ambao nao wamehakikisha Watoto Wao wameshika Nyadhifa za...
Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea.
Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika...
Kuna kipindi nilibahatika kwenda Moja inaitwa Ijuganyondo. Kuna sehemu Kuna shule ya Msingi inaitwa Mushemba Trinity Primary School pembeni Kuna shimo kubwa sana lilichimbwa kutoa changalawe ya kutengeneza barabara Cha ajabu lile shimo lipo karibu na Makazi ya watu, pia lipo karibu na shule...
Nimebahatika kufika Bagamoyo safi na salama kabisa, shukran za dhati ziende kwa Mungu Mkuu.
Mji wa Bagamoyo ni mji mzuri sana kimandhari, ukitizama mji wenyewe huko kando kando ya bahari ya Hindi. Nimefika Bagamoyo kwanza ni mji umepoa sana, sio mji wenye harakati kwa sisi wachakarikaji, nahisi...
Tunakubaliana kabisa, jamani eeh kesho tukutane saa tatu kamili asubuhi. Watu wote wanaitikia "Sawa, saa tatu imekaa vizuri kabisa!"
Wewe unawahi saa tatu kasoro dakika 5 unafika eneo la tukio unakuta hakuna mtu hata mmoja. Unaanza kusubiri... saa tatu kamili, saa tatu na dakika 10, saa tatu na...
GENTAMYCINE nimetaarifiwa na Mdau Mwenzao ( Mshirikina ) Mwenzao bila Yeye kujua aliyekuwa nae ni Mtu HATARI kwa kutafuta Taarifa Ngumu na Zilizojificha na mpaka aliko huyo Mganga Wao na Wachezaji Wenzake wote wa Simba SC, Yanga SC na hata wa Azam FC anaokwenda nao.
Na huyo Mganga Wao wa...
Nimesikia Zanzibar mwanaume ukikutwa umesuka nywele unapigwa faini. Wanadai ili kulinda maadili na utamaduni wa Mzanzibari. Lakini wakati huo huo utamaduni wa Mzanzibar, kama ulivyo kwa Waswahili wote ilikuwa ni ruhusa kwa mwanaume na mwanamke kusuka nywele. Naona hawa wanaodai kulinda utamaduni...
Aziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee Abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina Fawz Majid na Tarek. Hata hivyo Abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata.
Waswahili jifunzeni kuishi kwa upendo...
Siku zote mtu kufanya jambo lisilo la kwako na kulifanya kuwa la kwako lazima utaangukia pua tu. Tangu mechi ya Jana kati ya Taifa Stars na Niger kuna kitendo kilifanywa na hawa Vijana wanaookota mipira uwanjani, walirusha mara kadhaa mipira uwanjani kwa mkupuo. Watanzania wengi walishangilia...
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.