Wakuu naomba mawazo yenu.
Nipo Huku Kijijini na umeme wetu hasa ni solar power.
Kwenye vifaa vyangu Nina Inverter Ila tatizo la hii inverter ni kwba inatumia sana hali inayopelekea umeme kuishe na taa kushindwa kuwaka.
Je, kwa hali ya kawaida ninaweza kuondoa feni ya inverter, ili kupunguza...