wataalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Clark boots

    Wataalam nisaidieni hapa

    Hivi nikiwa nime-switch off TV namna hii na hicho kitaa chekundu kikawa kinawaka ina maana still TV inaendelea kutumia umeme na kumaliza luku yangu na ikikaa muda mrefu sana TV inaweza kuungua.? Au inatakiwa ni-switch off switch ya umeme kabisa.? Ni vitu vidogovidogo Ila kwangu ni muhimu...
  2. Faana

    Msaada: Wataalam wa maji

    Naomba kusaidiwa Nimejenga water tower yenye height ya mita 3.5 nimeweka tank la lita 5000 inlet line size yake ni robo tatu na outlet line size yake ni inchi moja na nusu, water tap ni 4 za (2 za nusu inchi na 2 za robo tatu) lakini changamoto ni kiasi cha maji yanayotoka kwenye water tap hizo...
  3. M

    Wataalam naomba kujua hili

    Hivi kipimo cha ultrasound kinaweza kusema incomplete abortion nakikawa kimedanganya? Kwamba mimba imetoka ila ikawa bado ipo?
  4. M

    Hivi ultrasound inaweza kusema mimba imetoka na ikawa imedanganya?

    Hivi ultrasound inaweza kusema mimba imetoka na ikawa imedanganya?
  5. G

    Wataalam naombeni jibu, Ikiwa Zanzibar itakuwa inatoa maraisi wanne (40%) katika kila Marais 10, kuna madhara yapi positive na negative?

    political scientists naombeni jibu
  6. Roving Journalist

    Wataalam wa Afya waingia mtaani kufanya jitihada za kudhibiti magonjwa ya kuhara Mkoani Simiyu

    Timu ya Wataalamu wa Afya ngazi ya Wizara, Mkoa, Wilaya na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeingia mtaani na kufanya zoezi la upimaji sampuli za maji katika Visima, Mabwawa na Kaya pamoja na utoaji wa Elimu Wilayani Itilima Mkoani Simiyu. Taarifa ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu imesema Elimu...
  7. P

    Msaada tutani wataalam wa IT

    Mwenye uelewa naomba msaada kwenye simu yangu kuna wakati naona Ina anatoa ujumbe huu"sms sent" wakati huo sijaandika wala kutuma sms yoyote na hiyo sms siioni zaidi ya huo ujumbe. Nimejaribu kuzuia pamission zote za App ya kuwa na uwezo wa ku access simu yangu lakini bado sms hiyo inajitokea...
  8. cleokippo

    Wataalam wa technology msaadaplz juu ya aka kasimu kangu

    Habar za asubuh wana jf...! Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, ndugu yenu natumia simu ya samsung A04 Hivi juzi nili restore sababu simu ilikuwa nzito sana hivyo nikaamua kufuta vitu vyote ili nianze ku install vitu vingine upya Sasa baada ya kumaliza huo mchakato mzima wa ku restore na...
  9. Macbook pro

    Wataalam walioko kwenye Ajira za serikali ni mambumbu ukilinganisha na hawa wanaojiajiri huku kitaa.

    Habari zenu wakuu!? Natuamini mko pouwa kama unaumwa au una smongo wa mawazo basi polee mkuu, yanamuda tu yatakuwa poua. Niende kwenye maada. Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya ambapo kwa kuona na kusikia nimekumbana nao. Nianze na haya maeneo ambayo kiukweli ni janga kubwa! Wataalamu wa...
  10. FK21

    Je, ni kweli ndoto zina maana?

    Hivi Je Kweli ndoto Zina maana yoyote ile? Maana mimi kuna ndoto inanirudia rudia sana nakuwa naongea na mtu ambae nina muda siongei naye na wala sina access nae tena. Tena kuna ujumbe wowote hapo au mawazo tu maana nina week sasa naota tunazungumza nae nashtuka sasa nashindwa kuelewa
  11. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa: Wataalam Waliostaafu Kuendelea Kutumika Katika Ujenzi na Matengenezo ya Barabara

    Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  12. J

    Bashungwa: Wataalam waliostaafu kuendelea kutumika katika ujenzi na matengenzo ya barabara

    Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  13. FK21

    Kwa wataalamu wa simu

    Kuna jamaa anauliza kwanini oppo FS1 inakata kupakua Twitter na jamiiforums ?
  14. Technophilic Pool

    Wataalamu wa Magonjwa ya ngozi, hii ni changamoto gani?

    Nimepatwa ghafla na hivo vipele hapo palianza kuwasha ukikuna ndo vinaumuka hivo! kwa wenye utaalam wa matatizo ya Ngozi.
  15. BUSH BIN LADEN

    Wataalam Wa Mawasiliano Naombeni Ufafanuzi

    Hizi cable/mkongo wa internet unaodaiwa kukatwa chanzo chake ni wapi hadi kutufikia hapa Tanzania? Ila pia mawasiliano ya sasa tunaambiwa ni wireless, sasa kama kuna cable zinapita baharini kuja kuwezesha mawasiliano hapo u wireless unatokea wapi? Mwisho kabisa kwa walio wahi kutumia simu za...
  16. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Awabana Wataalam na Mkandarasi SITE, "Naweza Kufukuza Timu Yote"

    BASHUNGWA AWABANA WATAALAM NA MKANDARASI SITE, "NAWEZA KUFUKUZA TIMU YOTE" Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema hatasita kubadilisha timu ya Wataalam na Mkandarasi wanaoendelea na kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara ya Dar es salaam- Lindi katika eneo la Nangurukuru kutokana na...
  17. Msanii

    Miundombinu iliyoharibiwa na mafuriko. Jeshi linaweza kusaidia? Lina wataalam

    Lengo la uzi wangu siyo kumfundisha kazi Mhe. Rais. Bali kumshauri kwa uzingativu wa mamlaka aliyonayo kikatiba. Tunamuona Waziri wa Ujenzi Mhe. Bashungwa akipiga kambi kusini kusimamia urejeshwaji wa mawasiliano ya barabara na madaraja yaliyobomolewa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha...
  18. greater than

    Points 10 za ujenzi: Hawa ndiyo wataalam muhimu wa ujenzi

    Leo katika sikukuu hii ya wafanyakazi duniani, nimeona itakuwa ni vyema kujuzana juu ya wataalam muhimu katika katika tasnia ya ujenzi. Hapa nalenga zaidi ujenzji wa Majengo madogo,yaani Nyumba za chini mpaka ghorofa mbili Frame za maduka Zahanati Shule Majengo ya ofisi 1.AFISA MIPANGO...
  19. msafi WCB

    Naomba kujua kuhusu hii Kozi mpya iliyoanzishwa Muhimbili, Audiology and Speech Therapy Pathology)

    Nomba kujua ukihitimu utafanya kazi kwenye sekta ipi na ipi na majukumu hasa ni yapi?
  20. Mto Songwe

    Wataalam wa Tech naomba elimu yenu kuhusu Apps na websites

    Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites. Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi? Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani? Gharama za mafunzo zinaweza gharimu kiasi gani cha pesa na muda unaweza kuchukua...
Back
Top Bottom