MHE. MARY MASANJA - WATANZANIA WATAKIWA KUENZI MASHUJAA WA VITA VYA MAJIMAJI KWA KUHIFADHI MILA NA TAMADUNI
Watanzania wametakiwa kuendelea kuwaenzi Mashujaa wa Vita vya Majimaji kwa kuhifadhi mila na tamaduni zao kwa kufanya kazi kwa bidii, kulinda rasilimali za Taifa, kupambana na kuzuia...
Watendaji wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EC) wametakiwa kuondoa TikTok katika Vifaa vyao kufikia Machi 15, 2023
Mtandao huo Maarufu umehojiwa mara kadhaa kuhusu Usalama wake kutokana na madai unavuna Taarifa Binafsi za Wateja na kuzitoa kwa Serikali ya China
Nini maoni yako kuhusu hatua hii...
Mitume na manabii wanaitoa huduma za maombezi kwa kutumia mafuta na maji wametakiwa kujisajili kwenye mamlaka rasmi zinazosimamia huduma hizo.
wale wanaouza maji wametakiwa kujisajili kwenue mamlaka ya maji na wanaouza mafuta wametakiwa kujisajili Food and Drugs Authority.
Ukosefu wa maji katika Kijiji cha Chihangu kilichopo Wilaya ya Newala, Mkoa wa Mtwara umesababisha wagonjwa wanaotibiwa katika Kituo cha Afya Chihangu kutakiwa kufua nguo za hospitali kabla ya kuruhusiwa.
Mkazi wa Kijiji cha Kihangu B, Musa Kajana amesema wagonjwa wanapomaliza kupata matibabu...
Waziri wa Mali Asili na Utalii Balozi Dkt.Pindi Chana amesema kwa sasa sekta ya utalii ni soko kubwa la kuzalisha ajira na kuongeza pato la taifa hivyo jitihada mbalimbali zinaendelea kufanyika kuboresha Sekta hiyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa...
Shirika la umeme la Ukraine ,Ukrenergo limewataka wateja wake wawe wakichaji simu zao mapema na tochi kwani hali ya upatikanaji wa umeme imezidi kuwa mbaya huku hofu ya kushambuliwa zaidi kwa vinu vya umeme kutoka majeshi ya Urusi ikiongezeka.
Katika nasaha zake katika kipindi hiki cha baridi...
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha.
Watumishi wa umma na binafsi wametakiwa kuwa makini na chochote wanachofanya mtandaoni ili kujilinda na changamoto za uhalifu wa mtandao ambapo katika zama hizi za kidijiti taarifa binafsi au za taasisi zimegeuka kuwa malighafi muhimu kwa wahalifu wa mtandao...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi, Prof Pontiano Kaleebu, amesema ingawa Ebola haichukuliwi kama Ugonjwa wa zinaa katika baadhi ya tafiti, Wataalamu wamegundua uwepo wa Virusi hivyo kwenye mbegu za kiume baada ya kupona.
Dk Ataro Ayella, mtaalam wa magonjwa ya kliniki, amesema...
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna, Mary Nzuki amewataka Askari Polisi wanaofanyakazi Dawati la Usalama Wetu kwanza kuwapa elimu ya afya ya akili na msaada wa kisaikolojia Watoto wahanga wa vitendo vya ukatili.
Akifungua mafunzo ya siku saba ya...
Waliopewa adhabu hiyo ni George Kagomba aliyekuwa Mkurugenzi wa Wilaya hiyo, Ferdinand Manyele Mweka Hazina wa wilaya, Athuman Mwasomba aliyekuwa Katibu wa Kamati ya Ujenzi.
Wengine ni Bakari Nyamu aliyekuwa Mtakwimu Wilaya ya Mbarali, George Mbilla aliyekuwa Diwani, Mikidadi Mwanzembe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.