Nimeiona hii video mtandaoni. Je ni kweli huyu jamaa aliyasema haya ya Simba kutokuja uwanjani kabla ya Jana au wameirekodi jana na kuifanya ionekane ya zamani?
Kwa hasira kali!
Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba.
Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi...
Homa ya pambano la watani wa jadi inazidi kupanda ni Jumamsoi hii, Machi 08, 2025. Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Simba SC.
Leo tutazame head to head katika mechi zao katika mwezi March. Katika michezo 9 Yanga SC ameshida mechi 3, Simba SC ameshinda mechi 1, sare...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amuumbua Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said kwa kudai kuwa huwa anaenda kuroga mechi ya Watani wa Jadi (Simba na Yanga) ili washinde
"Pangani ilikuwa kama Kisiwa, ili mtu aje Pangani lazima aje kwa makusudio maalum, aje kuzika, amesikia labda kuna mganga mzuri wa...
Kiboko ya Simba koko ni Yanga... Simba watapiga piga kelele...waambie Yanga huyoooo.... Wanaweka mkia makalioni wanalala mbele. Wepesi kama kamasi za kichanga.
Wacha washinde match zoooote. Watakuja tema points 3 kwa sisi wakali wao. Wakali wa hizi kazi. Mi nawacheck....nasikitika tu maana...
Uto wamepumzika kufungwa kwa muda baada ya kupiga bomu mochwari na kujisifu wameua kumbe wameua maiti.
Kocha wa Yanga Mzee Saidi Ramadhani aapa kuivunja rekodi ya Man City ya kucheza mechi 7 bila ushindi. kocha huyo amenukuliwa akisema atalifanya hili mzunguko wa pili.
Prince Dube...
Watani wangu ni kama wamekosa mtu wa kumlaumu. Sasa mimi nawasaidia, mbaya wenu ni huu Mtandao wa YAS. Hili jina limewalenga nyinyi.
Mnakumbuka mmeshapigwa mara 3 mfululu? Kuna vipigo vingine mvitarajie vya hivi karibuni. Siku chache zijazo mtaenda AC Algers kisha TP Mazembe. Unafikiri hao...
Baada ya kuitumikia Yanga kwa siku 511, kocha Miguel Gamondi leo Novemba 15, 2024 ameonyeshwa mlango wa kutokea kwa kile kinachoonekana ni uongozi wa Yanga kutoridhishwa na mwenendo wa timu msimu huu hasa baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu dhidi ya Azam FC na Tabora hivi...
Mashabiki wa hizi team... Wanakuwa hawana akili. Asilimia 80 plus. Usibishe.niamini mimi. Msikilize anachoongea Ali Kamwe na anachofanya akiwa ameambatana na mashabiki hao hao. Ni hovyo kabisa. Hamna akili.
Kauli anazotoa Ali Kamwe kwa sasa au anachoandika kinaonesha alipata udumavu wq akili au...
Ili kuonesha kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
Kuna tetesi kuwa klabu ya Simba sc imeamua kuhamishia mechi zao za nyumbani katika uwanja wa Azam complex ili kupishana na mahasimu wao wa jadi klabu ya Yanga
Ambayo imeamua kuuhama uwanja huo bila ya kutoa sababu maalumu mara baada ya...
Ukweli acha usemwe tu Yanga inatimu nzuri sana kwa misimu hii minne tangu alivyokuwa kocha la mpira Nabi hadi sasa Master Gamond ambaye anarekodi zake nzuri kwa kipindi cha msimu mmoja na nusu ndani ya Yanga.
1. Moja wapo ni kuipeleka Yanga hatua ya makundi klabu Bingwa Afrika mara mbili...
Wakuu huko mtandaoni nimekutana na hii video imenipa utata, je ni kweli hawa wazungu walikuwa wanashangilia goli la yanga dhidi ya simba? Msaada tafadhali katika kupata uhalisia wa video hii wakuu
Kwa maslahi mapana ya utani wa jadi, itapendeza Simba wakishinda.
Kwa miaka mingi, watani hawa wamekuwa na matokeo yanayokaribiana, timu moja haikukubali kuwa mteja kwa awamu tatu kama ilivyo sasa.
Ili kuendeleza utani wa kiwango kilichopo, ni vizuri Simba wapambane washinde ili kuwarejesha...
Yanga na Simba waondoe tofauti zao kwa muda wajenge Uwanja mkubwa sana na wautumie pamoja .
Waige kwa Ac Milan na Inter Milan , Birmingham city na Coventry, Lazio na Roma na vilabu vingine ....ifike mahali waone aibu .
Soma Pia: Yanga kujenga Uwanja wa kisasa eneo la Mto Msimbazi!
Wakuu Kwa jinsi kikosi kizito Cha Yanga ( Real Madrid ya Africa) kilivyoshonwa Kwa mastaa wazito na kukifanya kiwe kikosi hatari Kwa ukanda huu wa CECAFA na kusini mwa Jangwa la Sahara
Kwa mfano viongozi wa Yanga kama wakiamua kuongeza wachezaji wa pale Simba, Je ni wachezaji gani wa Simba...
Hapo vipi!
Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC.
https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-sc-vs-simba-sc-semi-final-community-shield-benjamin-mkapa-stadium-08-08-2024.2243315/
Inawachezaji wazee na Simba inawachezaji vijana na wenye uwezo mkubwa.
Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
Wanasimba hongereni kwa Tamasha zuri mmeujaza uwanja wa Mkapa yani ni full House najua Mnafuraha sanaa Kwa kuiona Timu yenu ikipata matokeo kwenye siku ya “simba dei”.
Ubaya ubwela unaufanya ukiwa wapi?
Soma pia: FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024
Kuna vitu inabidi vifafanuliwe kuhusu hiyo supu,
Je, Itakuwa supu ya mbuzi, ng'ombe, kuku wa kisasa au kuku wa kienyeji?
Je, Tujibebee bakuli na vijiko kukwepa usumbufu au wataandaa vyombo vya kutosha?
Je, Na utumbo utakuwepo au zitakuwa nyama tu?
Je, Ni supu kavu, au na chapati au itakuwa...
Mkude ada ya usajili na mshahara milioni 300, kacheza mechi tatu msimu mzima.
Okra Milioni 300 kafunga goli moja.
Chama milioni 600
Sina hela lakini nina akili!
===
Pia soma: Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Clatous Chota Chama raia wa Zambia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.