watani wa jadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Wakichukua Morrison na nyie chukuen wao

    UNABII HAUSIHI MPAKA UTIMIE Jakaya amenikumbusha mbali sana enzi napenda kwenda uwanjani. Alikuwepo akasikia Simba wamechukua Morrison. Hahaha akajibu, "Kama wamechukua Morrison, na nyie chukueni wao." Naona unabii umetimia... Kwa Manara, Done. Akiwa Simba, alisema Yanga hawatachukua...
  2. Pdidy

    Hii Yanga ukiinyamazisha tu lazima ikulambe!

    Hiooo ni Fei Toto vs Yanga hukoo Zanzibar alipofanya hivyo tukampa dozi. Pemben ni Kibu Denis mechi ya vs Yanga, aliporudisha ikawa moja moja akaleta dharau tukamuadhibu. #Nisameheniibureeepls
  3. JF Toons

    Nani ni nani leo Mtani?

    Ni Yanga au Simba?
  4. Suley2019

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga akiwa mwenyeji anaingia akijiamini huku ana kumbukumbu nzuri ya mchezo wa mwisho aliomchapa mtani...
  5. Tayukwa

    Watani wa jadi Simba na Yanga

    Habari zenu wanakabumbu Hapa tufanye ndio sehemu sahihi ya kufurahia tamu za utani na kuuvumilia machungu ya timu hizi mbili nchini kupitia utani huo. Hizi ndio timu kongwe nchini zenye mashabiki wengi kuliko timu nyingine za humu ndani. Tetea timu yako kwa mazuri yake. Pondea timu ya jirani...
  6. Franky Samuel

    Yanga kuvuta Tsh. Millioni 300 wakifuzu fainali

    Milioni 300 Kwa ushindi wa jana, Yanga wanakaribia kuvuta bonasi ya Tsh. 300 milioni ambazo mabosi wa timu hiyo wamewaweka nyota wao endapo watafuzu fainali hizo[emoji383][emoji383].
  7. mcshonde

    Watani wa jadi watatoka salama wikiendi hii?

    Simba anakutana na Raja huku Yanga atachuana na Mamba wa DRC Tout Puissant Mazembe. Unafikiri kati ya wekundu wa msimbazi na wananchi wapi wana uhakika wa ushindi?
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga sio watani wa jadi tena, ni haters

    Hawa Utopolo Simba ilipomuuza Chama walipiga domo sana,kwamba Simba imeuza mchezaji muhimu. Sasa limetokea la kutokea leo wanasema Chama amefulia ndo maana amerudi. Hawa ni haters, chuki za kichawi. Mchawi huwa anachukia bila sababu. 🚨Moja ya sababu kubwa zaidi ukiachana na yeye kutoendana na...
  9. boy 1

    Mechi ya Simba na Yanga

    Nawahurumia sana mashabiki wa timu itakayofungwa hiyo kesho Tatizo linakuja wakati wa kurudi Dar Yaani umbali unakuwa unauona mara mbili zaidi[emoji23][emoji23][emoji23] hapo taifa tu kuitafuta kigamboni napaona kama Arusha nikifungwa [emoji23][emoji23][emoji23] sembuse kigoma Ni Bora sisi wa...
  10. Lee

    Kuelekea mechi ya watani wa jadi, kipi unakikumbuka katika historia ya Klabu hizi?

    SIMBA na YANGA ni timu zenye historia kubwa katika mpira wetu wa Tanzania tokea kuanzishwa kwake mpaka muda huu japo yawezekana historia ya klabu hizi haiendani na maendeleo ya hizi timu kwa ujumla Kwa miaka ya hivi karibuni SIMBA zamani ikijulikana kama SUNDERLAND wazee wa lunyasi , wazee wa...
  11. Gwele

    UBASHIRI: Mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga Mei 8, 2021

    Joto linazidi kupanda kuelekea game ya watani wa Jadi, Simba vs Yanga hapo kesho May 8. Ukiwa kama shabiki wa soka bila kuangalia mapenzi ya timu yako weka ubashiri wako ni kwa namna gani unaiona game hiyo inaisha hapo kesho. Je, ni Simba yenye kikosi bora kabisa kupata matokeo au Yanga...
  12. endesha

    Dondoo na uchambuzi kuelekea mechi ya Watani wa Jadi

    Siku zinazidi kuchanja mbuga kuelekea pambano la kukata na shoka Kama sio Mundu Kati ya Watani wa Jadi Katika uwanja wa Benjamini Mkapa.Mchezo huo utachezwa majira ya saa 11:00 Jioni Kuelekea Mchezo huo ,Japo kivyovyote Kama tunavyojua Derby siku zote hua haingalii saaana performance ya Timu...
Back
Top Bottom