watano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watano waongezewa nguvu za kiume Hospitali ya Benjamini Mkapa

    Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) imesema kati ya asilimia 40 hadi 50 ya wanaume wanakabiliwa na tatizo la nguvu za kiume, huku wengi wakifika hospitalini hapo kutafuta huduma ya upandikizaji wa uume. Mkurugenzi Mkuu wa BMH, Prof. Mabere Makubi, akizungumza leo Machi 4, 2025 jijini Dodoma...
  2. U

    Rais trump amtimua kazi mkuu wa majeshi ya Marekani pamoja na majenerali wengine watano

    Wadau hamjamboni nyote? Jenerali CQ Brown muda wake wa kuhudumu akiwa Mkuu wa.majeshi unaisha mwaka 2027 Ametumbuliwa akiwa kwenye ziara ya kikazi kusini mwa marekani na taarifa amezipata kupitia mitandao ya kijamii Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Reuters: Trump fires top US...
  3. Nigeria: Watu watano wahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua Mwanamke waliyedai ni Mchawi

    Five men have been sentenced to death by hanging in Nigeria's Kano state for the 2023 murder of a woman they accused of witchcraft. The convicted men attacked Dahare Abubakar, 67, as she was working on her farm, beating and stabbing her to death. Ms Abubakar's family went to the authorities...
  4. Machifu watano wametekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo huko Mandera

    Machifu watano wanadaiwa kutekwa nyara siku ya Jumatatu na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab katika Kaunti ya Mandera nchini Kenya. Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Mashariki John Otieno alisema watano hao walikuwa wakielekea Elwak walipotekwa nyara kati ya Bamba Owla na Ires Suki. Kwa...
  5. Mbeya: Radi yaua watu watano wa familia moja

    Watu watano wa Familia moja Wakazi wa Kitongoji cha Nkangi kilichopo Kijiji cha Isangawana, Kata ya Matwiga, Tarafa ya Kipembawe, Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wamefariki dunia kwa kupigwa na radi usiku wa kuamkia leo December 29,2024 wakiwa wamelala. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin...
  6. Ujerumani: Gari lavamia soko, Watu watano wafariki, wengine zaidi ya 160 wajeruhiwa

    Scores of people were injured and at least two people, including a small child, were killed on Friday after a car ploughed into a crowd of people at a Christmas market in the eastern German town of Magdeburg, in what local officials are describing as a terror attack. At least 68 other people...
  7. Chuo Kikuu Marekani chawatuza watano Tanzania

    MWISHONI mwa wiki, Tanzania ilipokea heshima ya aina yake kwa watanzania watano waliotunukiwa udaktari wa heshima ya Chuo Kikuu cha Read Impact kilichopo Colorado nchini Marekani. Tukio hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Tanganyika 2 ulioko kwenye Hoteli ya Land Mark, Ubungo jijini Dar es Salaam...
  8. Watu watano muhimu katika maisha yako

    Huyu ni mtu ambaye anakusaidia wakati yeye mwenyewe anataka msaada,yani kuna watu ambao wao wenyewe hali zao ni za mashaka lakini bado wana moyo wa kutoa,kama wewe ni mmoja wapo ubarikiwe sana Mtu ambaye anawapuuza watu wengine kwa ajili yako,yani watu wengine wanampa maneno ya uchochezi au...
  9. U

    Magaidi 5 raia wa Israel wanaohusishwa na ISIS wakamatwa. Walipanga kulipua majengo marefu zaidi ya kibiashara Tel Aviv's Azrieli Mall

    Wadau hamjamboni nyote? Magaidi watano wenye uraia wa Israel na asili ya kiarabu wamenaswa wakipanga kulipua majengo makubwa zaidi ya kibiashara jijini Tel Aviv Yasemekana mpango huo haramu.ambaomkama ungefanikiwa ungeleta madhara maafa makubwa walifadhiliwa na magaidi wa kundi hatari la...
  10. Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam. Ni katika kesi ya jinai namba...
  11. S

    Nina siku tatu Mbeya, katika kuzunguka mitaani tayari nimeshuhudia kina mama watano wakiporwa handbag na waendesha pikipiki!

    Kitu kimoja nimeona Mbeya tofauti na mikoa mingine ni wingi wa Bajaji hizi na bodaboda. Ni nyingi hadi zinakera. Naambiwa kwamba wingi wake umeletwa na Tulia Foundation ya spika wa Bunge ambaye amekuwa akiwawezsha vijana hapa mkoani, yote haya yakiwa ni katika kuungwa mkono dhidi ya Sugu! Sawa...
  12. Mechi ya jana Azam vs KMC goli la Iddy Nado kapiga chenga mabeki watano mpaka kipa kisha kufunga, kuna viashiria vya upangaji matokeo?

    Wakuu, Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha, Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa kusimama wala hawamkimbizi. Kuna viashiria vya upangaji matokeo Najaribu kuiweka clip inagoma...
  13. Manyara: Basi la Shule lagongana na Lori la mizigo, Wanafunzi Watatu, dereva wafariki, watano mahututi

    Mkuu wa Mkoa, Queen Sendinga amesema ajali iliyotokea jana Agosti 31, 2024 ikihusisha Costa iliyobeba Wanafunzi wa Shule ya Endasak Sekondari na Lori la mizigo lililokuwa linatokea Burundi, imepoteza Wanafunzi Watatu na dereva wa Costa huku majeruhi wakiwa 31 Amesema “Ajali imetokea eneo la...
  14. J

    Abdul kortini kwa mashtaka ya kubaka na kulawiti wanafunzi watano

    Mkazi wa Mtaa wa Kyamaizi, Kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba, Abdul Suleiman (30), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Bukoba akikabiliwa na kesi mbili za kuwabaka na kuwalawiti wanafunzi watano wa shule za msingi. Kesi hizo zenye jumla ya mashtaka saba, zimesomwa jana Jumatano Agosti 14...
  15. Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudani Kusini ana Makamu wa Rais watano 5, kulikoni?

    Sudan Kusini ni miongni mwa mataifa changa sana barani Afrika, hususani Afrika Mashariki, iliyopata uhuru wake tarehe 9 July 2011, kutoka Sudan. takwimu za mwaka 2023 zinaonyesha kwamba Sudan Kusini ina jumla ya watu zaidi ya milioni 11. Nchi hiyo yenye utitiri wa mali asili wa kipekee sana, na...
  16. Waisraeli watano walikamatwa mnamo Septemba 11, 2001 (9/11)

    Waisraeli watano walikamatwa mnamo Septemba 11, 2001 (9/11) baada ya kushukiwa kwa sababu walionekana kusherehekea wakati wa shambulio la kigaidi dhidi ya Marekani. Tukio hili lilizua maswali mengi na nadharia za njama. Waisraeli watano walikamatwa na polisi baada ya kushukiwa kuwa walikuwa...
  17. Morogoro: Watuhumiwa Watano wa makosa ya mauaji Wilayani Kilosa wakamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linaendelea kuimarisha operesheni zake dhidi ya uhalifu na wahalifu. Operesheni hizo zimepata mafanikio makubwa ikiwemo kuwakamata watuhumiwa watano wa matukio ya mauaji ambayo yametokea katika wilaya ya Kilombero na Kilosa kati ya Mei 26, 2024 na Juni 2, 2024...
  18. Ajabu sana: Dereva wa basi ahatarisha maisha ya watu 60 kwa kuikwepa bajaj yenye watu watano

    #HABARI Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma kwa kutumia basi la Kampuni ya Shabiby namba T 341 EEU, wamenusurika kifo baada ya basi hilo kuanguka katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kujeruhi abiria kadhaa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema...
  19. M

    Kuna Watumishi walitakiwa kupanda madaraja yao mwenzi huu Mei, mara ya mwisho walipanda mei 2021. Rais Samia Kulikoni?

    Baada ya kuingia Mama Samia kwenye usukani mengi yamefanyika likiwemo la kuwajali watumishi hasa upande wa madaraja,. Sasa leo badhi ya watumishi walioenda kwenye ATM kutoa chochote ikawa ndivyo sivyo. Nikasikia malalamiko mbona nilikuwa napanda mwezi huu lakini sijaona mabadiliko kwenye...
  20. Watano wauawa kwa risasi ndani ya msikiti Afghanistan

    Sijawahi kuelewa kwanini mnapenda mauaji hivi..... At least five people were killed and three injured after gunmen attacked a mosque during prayer time in Afghanistan's Herat province, the spokesperson for the region's governor's office said on Tuesday. The attack happened on Monday evening...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…