Majeruhi watano kati ya sita wa ajali iliyohusisha bodaboda, bajaji na gari dogo aina ya IST wamefariki dunia leo wakati wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa.
Majeruhi hao walipata ajali jana Aprili 25, 2023 katika eneo la TRM, Kihesa Kilolo, Manispaa ya Iringa...
Aliyehusika kuanzisha shambulizi la risasi ni Connor Sturgeon (25) aliyekuwa mfanyakazi wa Benki husika ambaye siku chache zilizopita alijulishwa kuwa atafukuzwa kazi.
Mtuhumiwa ambaye naye alifariki kwa kupigwa risasi na Askari, alikuwa akitumia Bunduki aina ya AR-15-style alitumia Instagram...
Kocha Jamhuri Kihwelo Julio amedai kuwa kikosi cha Simba cha sasa kina wachezaji watano tu ambao wanaweza kuisaidia timu ndiyo maana hakuna matokeo mazuri.
“Wachezaji wa sasa ambao wanaweza kuisaidia Simba hawazidi watano tu, jiulize ile Vipers iliyocheza na Simba kuna timu pale? Wale...
Watu watano wamefariki dunia papo hapo baada ya lori lililobeba katoni za maji ya kunywa kufeli mfumo wa breki katika eneo la mteremko barabara ya Mwika-Himo na kuigonga kwa nyuma gari dogo la abiria aina ya Toyota Noah lililokuwa likitokea Rombo kwenda Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.
Ajali hiyo...
1. Job Ndugai; alipata madaraka makubwa na katika maeneo yote aliyowahi kuongoza hakuna eneo alifanikiwa kupewa sifa Bali siasa ilimfedgeesha.
Kwa SASA amezeeka lakini uzee wake umeambatana na fedhea kubwa Sana yakuondolewa uspika kabla ya kumaliza muda wake. Mdomo uleule uliompa nafasi ndio...
Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu.
Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili...
Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima...
Waliokamatwa ni Oscar Chisunga, John Chisunga, Moses Mussa, Fredy Thobias na Eddy Mwashambwa ambapo wamekutwa na Kilo 440 za Sukari iliyoingizwa nchini kimagendo.
Kamanda wa Polisi ACP Alex Mukama amesema Wafanyabiashara hao wakazi wa Mlowo wilayani Mbozi walighushi Sukari na kuiweka kwenye...
Ajali muda huu maeneo ya Mzakwe (Dodoma)basi la Arusha Express likitokea Arusha kueleka Dodoma.
Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi
====
Ajali imetokea mchana huu eneo la Veyula mjini Dodoma. Basi kampuni ya ARUSHA express ikitokea Arusha kwenda Mbeya, Imegongana uso...
Ni masikitiko makubwa sana vijana wanapambana kupata gpa ila kuna wahuni wachache wanaamua wa kumuajiri wamtakaye, kwanza Mkuu wa Idara mmoja aliwakusanya hao watano Kwa nafasi Tano, wakapewa maswali na majibu ya oral, na wakafanya presentation za slides akawarekebisha kisha wakaingia interview...
Double standard kwenye kuripoti matukio!
Waharifu wengine wanaanikwa picha zao hata kama uchunguzi unaendelea inakuwaje hawa picha hazijawekwa wazi?
Wakiwa wanaripoti Waharifu wengine huwaonesha kwa mbwembwe wakiwa wanawapigapiga mabegani watuhumiwa kuonesha msisitizo!
Lakini wakikosea wao...
Tena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa.
Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limewaaua watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi huku wengine saba wakidaiwa kukimbia katika majibizano ya risasi yalitotokea kiwanda cha Daazhong, kilichopo Changarawe, Mafinga Mjini wilayani Mufindi.
Watu hao wameuawa katika majibizano ya risasi yaliyotokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.