watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Unapojishusha ni ili watu wakuonee huruma, unawaona wachawi au ni ushamba tu?

    Unajua au unamkuta kabisa Mtu anajenga Nyumba yake nzuri tu na Kubwa halafu utamkuta anamwambia Mtu kuwa nilikuwa site najenga Kakibanda Kangu au nilikuwa najenga ka Kimjengo kangu. Sasa unavyojishusha Kwetu ni kwamba tukuonee Huruma au unatuona Sisi Wachawi / Wanga au ni Ushamba tu unakusumbua?
  2. ngara23

    Utamaduni wa Watanzania kudhani masuala ya siasa hayatuhusu utatugharimu sisi na vizazi vyetu

    Watanganyika wamejenga dhana ya kutohoji wala kufuatilia masuala ya kisiasa na kudhani siasa haimunufaishi. Mtu anaona kwakuwa anakula na kuishi mambo mengine sio ya muhimu, aani kwamba Katiba mpya sio suala linalotuhisu kwakuwa unaamka asbh unapata mkate basi. Bandari zinauzwa Serengeti...
  3. Roving Journalist

    Lwamo: Zaidi ya Asilimia 90 ya watoa huduma migodini ni Watanzania

    Zaidi ya asilimia 90 ya huduma zinazotolewa kwenye migodi ya madini nchini zinatolewa na watanzania huku vijana wakiaswa kutunza afya zao na kuepuka makundi hatarishi ili kuzifikia fursa zilizopo kwenye migodi. Hayo yamesemwa leo Oktoba 7, 2024 na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini...
  4. R

    Je, inawezekana utekaji na upoteaji unaotokea haufanywi na Watanzania?

    Tangu awamu ya Tano zilisikika tetesi Kuna wageni wanashiriki ulinzi was wakubwa,lakini tetesi hizi hazikukanushwa wala kutolewa maelezo coz ishu hizi ni nyeti sana! Mwaka jana kukapitishwa Sheria ya kitengo kisiingiliwe kwenye utendaji wake pale inapokua kwenye operation na sasa Kuna kelele za...
  5. TODAYS

    CCM na Serikali Watanzania Wamewakosea Nini Hadi Kuamua Haya?.

    Ulimnofu. Asalaam alykhum. Bwana Yesu asifiwe. Kule DRC poleni kwa kuwakosa ndg waliofariki maji ziwa Kivu. Nisipoteze muda. Adani Group inaonekana ni kampuni imeundwa maalum si kutoa huduma ipasavyo nje ya nchi zawa kwao huko India. Nje ya India kampuni hilo halina tija na ufanisi kwenye...
  6. Boss la DP World

    Watanzania mnaonaje utendaji wa DP World?

    Watanzania hususa ni watumiaji wa bandari ya Dar es Salaam hamjambo? Mmeanza kuona faida za uwepo wa DP World sio? Watumiaji wa kawaida wa bidhaa zinazoingizwa nchini vipi si mnaona wenyewe bei zilivyoshuka? By Boss la DP World aka boss la makobazi.
  7. USSR

    Nani anamdanganya Rais Samia kuwa kati ya Watanzania mil 65, ni milioni 2 tu wanaolipa kodi?

    1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa? 2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala? 3. Wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi? 4. Tunalipa kodi...
  8. H

    Ni ajabu kwa Watanzania kuchambua na kufuatilia mgogoro wa Israel na Palestina badala ya nchi yao

    Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao. Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga. Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
  9. mdukuzi

    Aibu ya Taifa:Watanzania milioni 60 hakuna anayeweza kuchonga sanamu

    Ukienda Italy,Belgium,France ,Spain na nchi nyingi za ulaya utastaajabu na wasanii wa tasnia ya kuchonga masanamu walivyo mahiri. Wanaweza kuchonga jiwe gumu mpaka ikatokea taswira ya mtu wanae mtaka au kiumbe chochote. Kwenye round about,makumbusho nje ta viwanja vya mpira na park kumejaa...
  10. GENTAMYCINE

    Je, na wale Ndugu zetu Watanzania Wawili Watatu 'aliowapitia' na Wao pia wamo katika hii Idadi au Wameuchuna?

    Watu 120 zaidi wamemtuhumu mwanamuziki wa rap Sean ‘Diddy’ Combs kwa unyanyasaji wa kingono, ubakaji na kutumiwa vibaya kingono. - Wakili wa Texas Tony Buzbee amesema kuwa 25 miongoni mwa wateja wake walidhulumiwa wakiwa wangali watoto wenye umri wa miaka 9 -15. - Nusu ya idadi hiyo ni wanaume...
  11. Pascal Mayalla

    Japo Karma Huwashughulikia Wamwaga Damu, Mawakili: Tujitolee Kutetea Bure, Damu za Watanzania Masikini Zinapomwagwa Kizembe Kwa Kisingizio Chochote!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, 2 October, 2024 Watanzania walio wengi, hata wenye uwezo, hawazijui haki zao, kunapotokea vifo vya kizembe vya wapendwa wao, lakini hata wakizijua haki zao, Watanzania walio wengi ni masikini wa kutupwa, hivyo hata wakizijua...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro: Watanzania puuzeni migomo kwa kuwa haina mashiko

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. NDAISABA G RUHORO amewaomba watanzania kupuuza watu wachache wanaohamashisha maandamano nchini hasa wale wanaotumia mitandao kufanya vikao vya kichochezi Mbunge Ruhoro aliyasema haya alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara, Kijiji cha Kumubuga, Kata ya Nyamagoma...
  13. milele amina

    Uchambuzi wa Kauli aliyoitoa Dotto Biteko kuwa Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani

    Katika mazingira ya kisasa ya siasa za Tanzania, kauli ya Dotto Biteko inatoa changamoto kubwa katika kuelewa uhusiano kati ya juhudi za kiuchumi na siasa. Anaposema, "Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani," anajaribu kuhamasisha wananchi kuwa na mtazamo wa kujituma katika kazi...
  14. P

    Asionewe AWESO, Wizara/Idara zipi zinafanya vizuri katika utoaji huduma bora kwa watanzania?

    Kumekuwa na malalamiko makubwa ya upatukanaji duni wa huduma ya maji hususani katika jiji la Dar es salaam. Watanzania wamekuwa wakimtaka Mh. Aweso aachie ngazi nafasi yake ya uwaziri kwa kuwa wizara imemshinda. Binafsi nimekaa nikajiuliza, tofauti na wizara/idara za kukusanya pesa kutoka kwa...
  15. Ojuolegbha

    Watanzania tumpuuze Maria Sarungi aliyekosa muelekeo Kisiasa

    Katika majukwaa ya kisiasa, ni kawaida kwa maneno na tuhuma mbalimbali kusambazwa, hasa pale ambapo viongozi wanaweka juhudi za kufanya mabadiliko muhimu katika taifa. Ujumbe uliotolewa dhidi ya Serikali ya Tanzania na Rais Samia Suluhu Hassan unapaswa kuchunguzwa kwa undani, siyo tu kwa...
  16. YoungPastor

    Hili ndilo jambo linalotuumiza Watanzania

    Waswahili wanasema " Mungu sio athumani" Wamaasai wanasema " menya engai enanya oltung'ani" Wasukima wanasema "Osebha ademnthu" n.k Yote hayo ni kujaribu kutilia mkazo swala la kuthamini na kumhofu Mungu, na kuonyesha utofautu wake. Kiapo; Ni aina nzito ya ahadi—maneno tunayosema mbele za...
  17. Pascal Mayalla

    Watanzania wenye uwezo kuwa CEO's wa multilateral companies tunakwama wapi? Kama Helios Towers Watanzania wameweza huko, kwingine tunakwama wapi?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo. Huu ni muendelezo wa sisi Watanzania kujitathmini uwezo wetu wa uongozi kwenye corporate level, jee Watanzania tuna uwezo wa kuongoza makampuni makubwa profitability, kama ATCL, SGR, TAZARA etc na yaka oparate kwa...
  18. Themoneyhollic

    AI Iliyogunduliwa na waTanzania, Ai ya kitochi yashindanishwa Google Ai for developers

    Habari Tanzania project yetu ya NotiAi imependekezwa kwenye mashindano ya Google GeminiAPI -NotiAi ni AI inamuwezesha hata mtu asokua na internet kuAccess AI kwa SMS tu Tupige kura Tuzo ije nyumbani Link: Vote.notiai.com 💣Usisahau kuweka number tukishinda kutakua na mkono wa shukrani
  19. Dalton elijah

    Kutekwa Kwa Lema Ndani ya Ndege Kwa Ufunua Ubinafsi Wa Watanzania.

    Ndugu Watanzania! Juzi nilihoji iweje Mhe. Godbless Lema atekwe ndani ya Ndege taarifa zake zisijulikane? Hapa nimetumia neno hili kuwa alitekwa kwa sababu hakuna maelezo sahihi ya kuelezea ukamataji wa aina ile zaidi ya utekaji. Akiwa katika Maria Space, Lema ameeleza jinsi alivyochukuliwa...
  20. GENTAMYCINE

    Ila Watanzania bhana.....Nimecheka sana na sijui huwa mnawaza nini

    Eti uende kwa P Diddy utoke bure? Umeshaona Timu ya nje inakuja kwa Mkapa na inatoka bila Kufungwa? Kwahiyo Nyumbani kwa P Diddy ni kama tu kwa Mkapa ukiingia lazima Uchapike na ikibidi hata Kuyaacha kwa Watoto wa Pwani hapa mmenielewa vyema tu najua. Aliyetengeza hiyo Clip ni Mbunifu mno kwani...
Back
Top Bottom