watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Its Pancho

    Watanzania wote tuachaneni na mwandishi huyu Mghana

    I salute you kinsmen Wakuu nadhani wote mnajua kutokana Ghana la michezo bwana micky JNR. huyu bwana tunajua wazi yupo kwenye payroll hasa kwenye team za kiarabu ikiwemo ahly ahly ya Egypt pia wydad na hapa East Africa ikiwemo team ya hovyo simba ambayo wote tunajua ni demu tu wa yanga...
  2. Zanzibar-ASP

    Pre GE2025 Mtangazaji wa ITV na Tundu Lissu hakika mmetutendea haki sisi watanzania kwenye kipindi cha dakika 45

    Tuache ushabiki pembeni, mtangazaji wa ITV alijipanga vyema sana katika kufyatua maswali ya msingi yenye kumuweka kwenye kona Lissu, na Lissu aliweza vizuri sana kukabiliana nayo moja kwa moja bila kukwepa, kuzunguka mbuyu au kulipua lipua. Hakika ulikuwa mjadala mzuri wenye kusisimua na...
  3. N

    Watanzania wengi sio watanashati

    Watanzania wengi hawana utanashati. Wengi wao wanavaa nguo bila kunyoosha pasi. Nguo inatolewa kwenye kamba inavaliwa ivo ivo unakuta mtu anavaa nguo imejikunja mpaka unajiuliza huyu nyumbani kwake ata kioo hana hakujiangalia wakati anatoka? Nguo utfikiri imetoka kwenye tumbo la ng'ombe...
  4. hitler2006

    Umasikini wa kipato unaopelekea umasikini wa kifikra

    Huku mtaani si ajabu ukakuta mtu anafurahia kabisa mwenzake kukosa dili fulani, au kufukuzwa kazi maarufu kama kutumbuliwa. Utasikia ooh bora tulingane, na hii imepelekea hata hii inayoitwa "mob justice". Mob justice haiishii tu kwenye kupiga mtu kisa kaitiwa mwizii, inaenda mbali sana hadi...
  5. S

    Pre GE2025 Karibu Watanzania wote wana asili na ushabiki wa Simba au Yanga; basi angalieni ofa za ufadhili wa timu zenu isiwe kampeni ya uchaguzi mkuu 2025!

    Tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2025, na ghafla tunaanza kusikia ofa za ufadhili wa Simba na Yanga, wakati timu za ligi kuu zipo nyingi. Kwa nini? Tatizo sisi Watanzania huwa tunaghiribiwa kirahisi sana. Tuliwahi kuuza nchi na watu wetu huko nyuma kwa zawadi za shanga na vioo vya kujitazamia...
  6. Tlaatlaah

    Mafanikio makubwa yaliyochochewa na serikali ya awamu ya sita yawa kero kwa wapinzani wa maendeleo nchini

    Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania.. Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
  7. Pascal Mayalla

    Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?.

    Wanabodi, Kama kawa, hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo, Ili kupata maendeleo ya kweli, Je Watanzania tujifunze kuukubali ukweli wa tatizo, tutafute ufumbuzi wa kudumu wa tatizo husika, au tuendelee na huu mtindo wetu wa kufunika tuu kombe mwanaharamu apite?. Tutakuwa...
  8. L

    Nawaomba watanzania tukaiunge mkono Coastal Union leo ikipindua meza

    Karata kwa Tanzania zimebaki kwa timu tatu baada ya Azam kuondolewa mashindanoni jana, niliwahi kuelezea hapa namna mashabiki walivyo na nguvu lakini sikueleweka wajuaji wakaniponda sana, APR kule kwao walilazimika kuingiza bure wanafunzi kwa kuwataka wawe na kitambulisho cha shule ndio unaingia...
  9. M

    Kwanini watanzania wanalichukia Nissan Serena?

    Habari zenu. Nataka kuulizq nimegundua kuwa watu wengine walifuata mkumbo wa kununua nissan Serena lakini siku za hivi karibuni zi.ekuwa hazinunuliwi na resale value yake imeshuka sana. Ndio imekuwa kawaida kusikia watu wakiuza Nissan Serena zao kwa bei chee mfano sh 5m nk. Zimeshuka thamani...
  10. ndege JOHN

    Mambo ambayo watanzania wengi mpaka wasomi wanayaongea kana kwamba wana ushahidi nayo kwa 100% wakati huenda sio kweli hata kidogo..

    Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu. 1. Diamond na...
  11. Crocodiletooth

    Heko, Rais kipenzi cha watanzania, tabasamu larejea Ngorongoro, lakini...!

    °Operation ya kuwatambua ianze, mara moja, nina mashaka kama kweli masai hawa wote ni wa tanzania, Niliwahi kutana na mmasai pahala fulani, katika kuongea nae, akaniambia yeye ni masai ya Kenya na akanionyesha kipande yake! / umakini na angalizo isije ikawa kwa umasai wao wakawa na Id za mataifa...
  12. Sir John Roberts

    Huduma benki ya CRDB ni mbovu sana

    Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma. Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
  13. GoldDhahabu

    Hivi kuna Watanzania wasiojua Kiswahili?

    Nilifika mpakani mwa Tanzania na Rwanda - Rusumo, Jana Usiku! Baada ya kuzunguka kidogo kwa ajili ya kutafuta pa kulala, niliamua kumwuliza mtu mmoja anioneshe gesti iliyopo karibu. Aliniponipeleka alikopaita gesti, japo nilimshukuru lakini sikukubali kulala hapo! Kwa nini? 1. Tulikutana na...
  14. R

    Pre GE2025 Shime ndugu Watanzania, twendeni tukajiandikishe Kwa ajili ya uchaguzi wa 2025

    Salaam ,shalom!! Tayari zoezi la kuboresha taarifa katika daftari la wapiga kura limeanza, tujitokeze Kwa wingi maana mbeleni hutopata fursa hii adhimu. Haya mambo ya Tindo kugomea kupiga kura Kisha unawatuhumu chama kile kuiba kura Ukiwa nyuma ya keyboard, tuachane nayo. Mungu ibariki Nchi...
  15. H

    Mikopo kwa njia ya simu kilio kipya kwa Watanzania

    Wanajamvi habari zenu, Kama kawaida nikikutana na kitu kipya lazima nikileta hapa kwa faida ya wengine. Ni kwamba wiki iliyopita nilikuwa nimeomba mkopo wa milioni 30 hivi kwenye mojawapo ya benki hapa nchini. Hii benki nimekuwa mteja wao tangu 2006 kama sikosei nimeshakopa kwao kwa zaidi ya...
  16. Stephano Mgendanyi

    Makamu wa Rais, Dkt. Mpango Aielekeza Wizara ya Madini Kusimamia Madini Mkakati kwa Manufaa ya Watanzania

    DKT. MPANGO AILEKEZA WIZARA YA MADINI KUSIMAMIA MADINI MKAKATI KWA MANUFAA YA WATANZANIA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo. Mh. Dkt. Mpango...
  17. GENTAMYCINE

    Kipaumbele cha sasa na muhimu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Simba na Yanga na kamwe si Ustawi wa Watanzania, Haki na Amani yao

    "Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa...
  18. Yoda

    Watanzania kutajwa kwenye jarida la Forbes huwa inakuaga kama mkosi?

    Jarida la Forbes ni jarida maarufu zaidi duniani kufuatilia watu mashuhuri hasa matajiri au vijana wanaotegemewa kuwa mashuhuri au wenye ushawashi mkubwa sana siku za mbeleni. Kwa nini Watanzania wengi vijana wanaotajwa katika hili jarida huwa wanapotea katika ramani au wanabaki wa kawaida tu...
  19. figganigga

    Watanzania na Wizi wa Miavuli, au majini ndo yanaiba?

    Salaam Wakuu, Unakuta mtu kila msimu unanunua miavuli miwili au Mitatu. Lakini yote huwezi jua hatima yake. Watu gani wanaiba miamvuli Tanzania? Wanaifanyia kazi gani? Kila nikinunua Mwavuli huwa sijui unaenda wapi. Na kila ninaye muuliza anasema hata yeye kapoteza au kasahau sehemu. Je...
  20. Yoda

    Inaonekana sehemu kubwa ya teenagers nchini wameingia kipindi cha kufanya ngono na kuanzisha familia, serikali ianze kujipanga kwa madawati mapema.

    Kwa muda miezi kadhaa sasa mfufulizo nimeona nyuzi nyingi sana zinazoonekana ni za vijana wadogo wakitaka kupata uzoefu mbalimbali kuhusu mapenzi, mahusian au ndoa, wakiulizia watu sahihi wa kuoana au malalamiko mbalimbali ya mahusaina, mapenzi na ndoa yanayoonekana ni kutoka kwa vijana wenye...
Back
Top Bottom