watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. saidoo25

    Hotuba ya masaa 7 mfululizo ya Luhaga Mpina ina ujumbe gani kwa watanzania?

    LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa...
  2. Gabeji

    Pre GE2025 CHADEMA chini ya Lisu; Watanzania wana matumaini makubwa sana na nyie, mlete ajenda nzito nzito

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Watanzania wengi matumaini yao yapo kwa chadema chini ya mh Tundu Lisu, nasikia mmejifungia chumbani mlete ajenda nzito nzito kweli kweli zidi ya wapinzani wenu. Rushwa Ufisadi Ajira kwa vijana hii iwe ajenda kubwa sana Kutowajibika kwa viongozi...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Je, hii ni sauti ya Rais wa Mioyo ya Watanzania?

    Kuna ugumu mkubwa kumzuia Tundu Lissu kusambaa kwenye mioyo ya Watanzania
  4. Muuza madafu wa Ikulu

    Tajiri wa Mitandaoni wa watanzania

    Kijana tajiri wa Mtandaoni na bilionea asiye na shughuli wala biashara wala kazi anayofanya anawasalimia vijana wa Kitanzania.
  5. Yoda

    Watanzania imefika kipindi sasa tusizuzuke sana na lugha za Kingereza na Kiswahili kwa wasio Watanzania

    Hii tabia ya kuzuzuka na kusheherekea pale Mtanzania hasa mwanasiasa akijua kuongea Kingereza hata kwa kunyoosha sentesi mbili tu imepitwa na wakati na ni ushamba. Pia wanasiasa wasiojua Kingereza ni vyema wakatumia Kiswahili tu, hakuna aibu kutumia lugha yako unayoimudu vizuri, hakuna haja ya...
  6. M

    Pre GE2025 Mzee Wasira: Wananchi wana njaa, hawawezi kula Katiba

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa serikali imetekeleza madai yote yaliyowasilishwa na vyama vya upinzani, ikiwemo maridhiano, kurejea kwa wanasiasa waliokimbilia uhamishoni, msamaha kwa waliokuwa gerezani, pamoja na kuruhusu maandamano na mikutano...
  7. Last_Born

    Kwani sisi Watanzania tunafeli wapi au ni kukurupuka?

    Nimekua mfuatiliaji mkubwa sana wa masuala ya teknolojia hasa huu upande wa website na apps, pia nimejaribu kufanya utafiti mdogo wa Apps zilizopo Google play store Kutoka Tanzania aisee ni aibu tupu download rates ni ndogo mno nashindwa kuelewa tatizo nini apps hazieleweki au hazitoi suluhisho...
  8. Father of All

    Lini Watanzania tutaamka na kusema IMETOSHA?

    Ukiniuliza kama Tanzania ina kiongozi, nitajibu kuwa ina rais lakini si kiongozi. Ukiuliza kama Tanzania ina sera, nitakujibu kuwa ipo sera ya uchawa. Ukiuliza, kiuchumi Tanzania inaongozwa na nini, nitakujibu kuwa sera yake ni ya shamba la bibi ambapo wezi huja na kugema watakavyo. Ukiuliza...
  9. F

    Pre GE2025 Watanzania tunataka kura zetu zihesabiwe wazi wazi

    Njia pekee ya Watanzania kuheshimiwa na Wawakilishi wetu ni kuhakikisha kwamba Kura zetu zinahesabiwa katika mazingira ya uwazi kwenye kila Kituo cha Kupigia Kura, na matokeo hayo yawe rasmi. Tabia ya kufukuza Wapiga Kura kwenye Vituo vya Kupiga Kura ikomeshwe ili Mshindi halali ajulikane. Hili...
  10. Father of All

    Je, Watanzania tumeruhusu Wakenya wasiojua Kiswahili waharibu Kiswahili chetu?

    Kuna maneno yanaanza kuzoeleka kama ya Kiswahili wakati siyo. Utasikia mtu akisema punguza makasiriko. Kiswahili sahihi hakuna makasiriko bali hasira au ghadhabu. Mwingine utasikia akiseme fulani ni mkora akimaanisha mwizi. Wanasema eti kunyampa, kunyanduana na maneno mengine ya ajabu ajabu...
  11. milele amina

    Utaratibu wa urejeshwaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani

    Katika kipindi hiki, cha utawala wa Trump, kumekuwa na habari za kuhamasisha na kuangazia urejeleaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani. Ref: Marekani yatoa orodha yenye watanzania 301 wanaorejeshwa Tanzania Hata hivyo, kuna maswali mengi ambayo yanahitaji kujibiwa ili kuondoa wasiwasi miongoni...
  12. Manfried

    Watanzania wana akili ndogo sana kifo cha Gadner Habashi kilisababishwa na uzembe wa Watanzania .

    Juzi kuna msanii amechoma Gari . Lakini huyu msanii anaonekana siku za kuishi zimeisha na anaumwa magonjwa ya kimwili na akili Saikolojia . Niltegemea familia yake imtafute na kumpeleka katika matibabu . Ukimwangalia katika upande wa kushoto amevimba mashavu Anaonekana Ana magonjwa makubwa...
  13. M

    Kwa nini uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa uliteka watu wengi vile?

    Uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA Taifa uliteka watu wengi mithili ya uchaguzi Mkuu wa Nchi. Uliteka kuanzia vijana, wazee, akina baba, akina mama, Watanzania wote pamoja na watu wa mataifa mbalimbali. Usiku ule watu wengi hawakulala wakisubiri matokeo yatangazwe. Hata mimi nilikesha nikifuatilia...
  14. Waufukweni

    Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

    Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma. Soma, Pia: Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma
  15. Mashamba Makubwa Nalima

    Mwaka wetu wa mwisho machawa kuwekwa kwenye mgao, tusiache hela kizembe. Tutawaomba msamaha tu waTanzania

    Kila hela itayopatikana tufanyie mambo ya msingi. Tuache matumizi ya hovyo.Mi nilishachukua shamba kwetu Iringa na mwaka juzi muheshimiwa alinisaidia kupata diploma ya pharmacy. Ni ushauri wa bure tu Uzi tayari
  16. Webabu

    Watanzania waishio Marekani kwanini wasirudishwe nyumbani wakiwa na pingu mikononi kama wenzao wa Brazil na Mexico

    Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi Donald Trump japo huko nyuma ilikwishawahi kuwapokea raia hao kwa mikono miwili ikiwaona kama tunu...
  17. J

    Watanzania fuatilieni kinachoendelea DRC. Hali kwa majirani zetu ni mbaya, ya hatari sana

    ..Fuatilia habari hapa. https://www.youtube.com/watch?v=Fs7jEBnCRJU https://www.youtube.com/watch?v=Pr3V84gfU6s
  18. mtimawachi

    Mtazamo wangu kuhusu CHADEMA, CCM na Watanzania

    1:Chaguzi Dodoma vs Mlimani city. Hapa naipongeza chadema kama chama,wajumbe kama watoa maamuzi na wagombea Kwa kuwa kuonyesha utayari wa kupokea matokeo yoyote ambayo wangeyapata. PONGEZI zaidi ziende Kwa wajumbe wa chadema Kwa kufanya uchaguzi uwe uchaguzi na sio kikao. HUKU DODOMA Bado tupo...
  19. Dialogist

    Ningekuwa CCM ili kuleta maendeleo kwa Watanzania basi ningeanza na hili

     Wanabodi Hamjambo... Ni Wazi Kila Serikali Duniani Nia Na Lengo Lake Ni Kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi Wake. NA ndio Maana Moja Ya Slogan Katika Kupindi Cha JK ni MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA. Katika Muktadha Huo, Kama Ningepata Nafasi Ya Kua Na Ushawishi Katika Chama, Bunge Na Serikali...
  20. S

    Ziara ya Rais Traole wa Burkina Faso italeta kichocheo kwa Watanzania cha kuchukia utawala wa kifisadi unaogawa rasilimali za Taifa kwa wageni?

    Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela, nk. Hata kama hawakuongea mengi wakiwa nchini, kuwapo kwao nchini kulileta hamasa na mwamko fulani...
Back
Top Bottom