watatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Diaspora watatu wa Mzee Sarungi hawakuja kumzika baba yao

    Tumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani Mmoja wa kike yuko Hungary Mmoja wa kiume hajasema aliko Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama ----------------------- Wengine sijui wamevurugwa? Yule wa Kiume kaanza kwa kusema these are my last words! Wait. What ...
  2. M

    Je ni Nani ni mtenda dhambi ? katika hawa vijana watatu

    -kijana wa kwanza Ameiba biblia kanisani kwa ajili ya kwenda kujisomea nyumbani -Kijana wa pili Ameiba pesa nyumbani na kwenda kuitoa yote kanisani kwa njia ya Sadaka -Kijana wa tatu Ameiba Sadaka kanisani na kwenda kuwapa maskini na yatima Je ni nani mtenda dhambi ?
  3. U

    Mateka watatu wa Israel waachiwa buru na hamas

    Wadau hamjamboni nyote? Mateka 3 wameachiwa huru kwenye utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano.baina ya Israel na magaidi wa hamas Romi Gonen, Doron Steinbrecher, na Emily samari wamewasili salama kwenye nchi ya ahadi wakiwa na watafanyiwa uchunguzi wa awali wa afya zao...
  4. Kila Mwanamke Ana Wanaume Watatu

    Wa kwanza ni The Main Guy – Yule ambaye anampenda na kuvutiwa naye. Huyo mara nyingi hajali sana kuhusu yeye. Kisha kuna wa pili, The Backup Guy – Kawaida ni mwanaume mzuri anayemtaka. Ni mzuri lakini yeye hamvutii. Anakuwa rafiki tu, na anahifadhiwa endapo yule anayempenda atamvunja moyo...
  5. Wanaodhaniwa panya road waibukia Dodoma watu watatu wajeruhiwa

    Watu watatu wamejeruhiwa kwa kukatwa na mapanga na kikundi cha watoto wahalifu wenye umri chini ya miaka 18 katika Mtaa wa Msangalalee Magharibi, Kata ya Dodoma Makulu, jijini Dodoma. Vitendo hivyo vimetokea baada ya watu hao kukataa kutoa fedha walizoombwa na watoto hao. Matukio hayo...
  6. B

    Wanaume watatu wamtuhumu Diddy kuwabaka.

    Wanaume watatu zaidi wamemshutumu Sean "Diddy" Combs kwa ubakaji na unyanyasaji wa kingono katika kundi la kesi mpya zinazodai mwanamuziki huyo wa rap aliwapatia dawa za kulevya na kuwanyanyasa. Malalamiko hayo, yaliyowasilishwa kando katika Mahakama Kuu ya New York siku ya Alhamisi...
  7. Q

    Wabunge watatu waliopata ajali wahamishiwa kitengo cha mifupa MOI.

    Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI. Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.
  8. Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI

    Wakuu! Ile ajali ya wabunge ukitazama kama ilikuwa ndogo lakini baadhi ya wabunge hali zao bado ni mbaya hadi wamehamishiwa MOI au tuseme maombi ya baadhi a wabongo? ===================== Wabunge watatu majeruhi wa ajali ya basi la Kampuni ya Shabiby waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya...
  9. Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa

    Nimeolewa, na ndoa yangu ina miaka 7 sasa hivi. Nina watoto watatu, lakini mtoto wangu wa kwanza sikumzaa na mume wangu wa sasa. Kuna mwanaume niliwahi kuzaa naye kabla ya kuachana, na baadaye yeye akaoa mwanamke mwingine, ndipo mimi nikampata mume wangu wa sasa. Maisha yangu yanaendelea vizuri...
  10. Wanahitajika Nursing officer (NO) watatu

    Habari za weekend Wana JF. Wanahitajika Nursing officer watatu. Awe amesoma chuo cha Bugando au Muhimbili. Tuma CV yako Kwa adamsfaida@gmail.com WhatsApp +255620461297
  11. U

    IDF imesema kuwa imewakamata wapiganaji watatu wa kundi la Hezbollah wakati wa operesheni zake kusini mwa Lebanon

    Wadau hamjamboni nyote? IDF imesema kuwa imewakamata wapiganaji watatu wa kundi la Hezbollah wakati wa operesheni zake kusini mwa Lebanon. Wapiganaji hao watatu wa kikosi cha Radwan walipatikana wakiwa kwenye shimoni chini ya jengo, kwa mujibu wa taarifa ya IDF. Walihojiwa mara moja baada ya...
  12. Makamanda watatu wa Irani wauawa

    Israel ameanza kujibu kidogo kidogo.... Tayari Makamanda watatu wa Irani wameenda Akhera. Si vibaya wameenda ku enjoy life ya huko. Mapambano bado yanaendelea. Khayatollah amefichwa sana. https://x.com/DrEliDavid/status/1841523855556268509?t=c1jUfEiQD-FrDRjcNB0F7Q&s=19
  13. L

    Tanga: Polisi yawakamata na kuwashikilia Watu Sita kwa tuhuma za mauaji ya Watu Watatu waliokufa kwa kuchomwa Moto Msituni

  14. Unabii: Nimeona Simba kutoka mbinguni akishambuliwa na nyoka watatu kutoka baharin mpaka kufa

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Juzi tarehe 1 mwezi wa 10 majira ya usiku nilimuona simba mmoja wa wasitan akishuka kutoka maeneo ya angan Kisha nikaona tena nyoka watatu nao ni wa wastan wenye ukubwa kias unene wa mipini miwili wakipanda kutoka baharin Simba alipokaribia kutua chini...
  15. Je, na wale Ndugu zetu Watanzania Wawili Watatu 'aliowapitia' na Wao pia wamo katika hii Idadi au Wameuchuna?

    Watu 120 zaidi wamemtuhumu mwanamuziki wa rap Sean ‘Diddy’ Combs kwa unyanyasaji wa kingono, ubakaji na kutumiwa vibaya kingono. - Wakili wa Texas Tony Buzbee amesema kuwa 25 miongoni mwa wateja wake walidhulumiwa wakiwa wangali watoto wenye umri wa miaka 9 -15. - Nusu ya idadi hiyo ni wanaume...
  16. Walowezi watatu wa Israel wamejeruhiwa katika shambulizi la kombora la Hezbollah huko Tel Aviv

    Wanaukumbi. Baada ya Israel kumuuwa kiongozi wa Hezbollah wanadhani vitu vimeisha ndiyo kwanza kuna zaidi ya makombora 1000.0000 hayajagushwa. Walowezi watatu wa Israel wamejeruhiwa katika shambulizi la kombora la Hezbollah huko Tel Aviv Waisraeli waliamini kuwa wameivunja moyo Hezbollah kwa...
  17. Kazi imeanza mpaka wa Jordan na Israel.Walinzi watatu wa Israel wauawa.

    Walinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan. Uchunguzi umeanza kubaini tukio hilo kwenye daraja lijulikanalo kama Allenby Shooting attack at the West Bank-Jordan...
  18. J

    Mbowe atinga mahakamani shauri la watatu waliotekwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman Mbowe, leo Agosti 28, 2024 amefika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam ili kusikiliza shauri linalowakabili viongozi wawili wa Baraza la Umoja wa Vijana Chadema (Bavicha) Wilaya ya Temeke na dereva wa pikipiki wanaodaiwa kushilikiwa...
  19. J

    Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM

    Washtakiwa watatu kati ya wanne walioshtakiwa kwa kosa la mauaji ya Milembe Suleiman (43), aliyekuwa mfanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) wametiwa hatiani na kuhukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa. Mahakama imetoa adhabu hiyo baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa...
  20. J

    Jeshi la Polisi lawashikilia watu watatu akiwemo mtoto anayedaiwa kuiba watoto sita

    Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili waliosikika wakimhoji mtoto aliyejitambulisha kwa jina la Evaristo katika moja ya picha jongefu zilizosambaa katika mitandao ya kijamii. Pia, Jeshi hilo limesema linamshikilia mtoto huyo na kuendelea na uchunguzi wa maelezo yaliyozungumzwa naye katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…