Mwanamke wa Afrika Kusini , Gosiame Thamara Sithole amejifungua watoto 10 na kuvunja rekodi ya kuzaa watoto wengi.
Mara nyingi huwa ni matokeo ya kufanya tiba ya uzazi - lakini wapenzi hawa wanasema wao walitumia njia ya asili kupata mimba.
Teboho Tsotetsi, mume wa mwanamke huyo mwenye miaka 37...
Ndugu zetu wa Kusini haya mambo yamewashinda kabisa, wameambulia vigodoro tu. Hehehe
=======
Only three athletes to represent Tanzania at Tokyo Olympic games
Tanzania will be represented by only three athletes in the Tokyo’s Olympic Games after three runners failed to secure qualifying marks...
Je, Mpuuzi na wa Kupuuzwa ni Watu 'wanaoshadadia' kwa Kuzusha Mitandaoni kuwa Rais Mtarajiwa wa JamiiForums Nation GENTAMYCINE Kafariki bila ya Wao kuwa na Taarifa Kamili?
Je, Mpuuzi na wa Kupuuzwa ni Mtoto Mpendwa wa GENTAMYCINE Rizikimbili kwa Kuchelewa kutoa Ufafanuzi wa Kuzushiwa Kufariki...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi watatu na kukamata silaha moja bastola aina ya REVOLVER.
Katika taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa inasema kuwa Mnamo tarehe 11/05/2021 majira ya saa tatu...
Watu watatu wamefariki Dunia na wengine watatu wamejeluhiwa baada ya kuangukiwa na Kifusi wakati wanapakia Molamu katika Machimbo ya Molamu yaliyopo Kisongo Wilayani Arusha.
Machimbo hayo yalishawahi kuuwa RAIA wengine na kufungwa na aliyekuwa mkuu wa Arusha ,Magesa Mulongo ,hata hivyo...
Mbwa ni mnyama ambaye amekuwa akitumiwa na binadamu kwa muda mrefu kwa ajili ya ulinzi katika maeneo mbalimbali, ikiwamo majumbani.
Ni mnyama ambaye amekuwa akitumia nyama kama chakula chake kikuu. Pamoja na kuwa na sifa hizo, miaka ya zamani mnyama huyo alikuwa akitumiwa kama kitoweo na kabila...
Leo FB imenirushia kumbukumbu ya mkutano wa Tabora kuhusu Uchaguzi wa Kura Tatu wa mwaka wa 1958.
Uchaguzi huu nimeueleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes na katika mihadhara kadhaa niliyopata kufanya.
Vilevile nimeandika kitabu ''Uamuzi wa Busara,'' (2007) kuhusu Kura Tatu.
Leo...
Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka nane yakiwemo ya kuingiza na kusimika vifaa vya mawasiliano bila kuwa na kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) pamoja na kuisababisha Serikali hasara ya Sh69 milioni.
Washtakiwa...
Tanzania imebahatika kuwa moja ya nchi iliyopata kuwa na viongozi bora kabisa Afrika na hata duniani kwa ujumla.Viongozi hao wamepata kuwa na mchango mkubwa Tanzania na hata kwa bara la Africa. Tunaona mifano ya Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambaye amepigania uhuru si kwa nchi ya Tanzania tu...
Watu watatu wamefariki dunia wilayani Tarime mkoani Mara kufuatia daraja la mto Msati uliopo katika barabara kuu ya Sirari - Mwanza kuvunjika na kisha kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani hapa.
Akizungumza kwa njia ya simu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.