watatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Mbivu na mbichi za Wagombea Uspika wa CCM kujulikana leo Januari 19, 2022

    Mchakato huo unaendelea pia kwenye Chama cha ADC ambacho ni kati ya vyama vya upinzani chenye mgombea, Maimuna Kassim, aliyejitokeza kuchukua fomu ya kuwania kiti hicho kilichoachwa wazi. Wateule ndani ya CCM watajulikana baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho kupitisha majina...
  2. Replica

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 19/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. ======= Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi imeahirishwa...
  3. The Sheriff

    Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi Januari 18, 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 17/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Kufahamu ilipoishia, soma hapa: Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022 Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila...
  4. Miss Zomboko

    Pwani: Watatu wafariki kwa kulipukiwa na kitu kinachodhaniwa kuwa bomu

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 8:00 mchana katika kijiji cha Pongwe Msungura, Kata ya Msata. Wankyo alisema watu hao waliokota chuma kinachodhaniwa kuwa ni bomu ambacho kililipuka mikononi mwao na...
  5. GENTAMYCINE

    Simba SC irekebishe upesi sana 'Mapungufu' ya hawa Wachezaji Watatu Inonga, Sakho na Morisson kwani yanaigharimu Timu

    1. Henock Inonga Nakiri ni Beki mzuri sana na nimekuja Kugundua pia kuwa kumbe ni Versatile na kwamba anaweza hata kucheza vyema tu Namba 6, Namba 8 na hata Namba 2. Mchezaji huyu tokea aicheze vyema ile Kariakoo Derby na kupata Sifa nyingi nae ameshajaa Upepo kiasi kwamba sasa anajiona ndiyo...
  6. Mario Kempes

    Tuma salamu za Mwaka Mpya 2022 kwa members watatu wa jukwaa hili la michezo

    Mimi nawatakia heri ya mwaka mpya members wafuatao 1.Gentamycine 2.Scars 3.Renzo barbera
  7. Bushmamy

    Huduma bora za afya: Mbona bado wakina mama wanaojifungua wanalazwa hadi watatu kitanda kimoja?

    Serikali yetu kupitia wizara ya Afya naona ipo busy na kampeni za chanjo za Uviko19 huku ikijisahaulisha huduma muhimu huko kwenye Hospital za serikali. Jana nilienda kutembelea mama mmoja jirani yangu Alieenda kujifungulia Mt Meru hosp,na mtoto kuwekwa chumba cha joto kwa muda wa wiki mbili...
  8. Greatest Of All Time

    Chagua wachezaji bora watatu kutoka katika list hii

    Hii ni list ya magwiji mbalimbali wa Argentina na Brazil wanaocheza na waliostafu soka. Ukipewa nafasi ya kuchagua tatu bora utawachagua akina nani?
  9. Erythrocyte

    Maamuzi ya kesi ndogo katika Kesi ya Mbowe na Wenzake kutolewa Oktoba 19, 2021

    Hii ndio taarifa iliyotufikia , kwamba leo Mke wa Mshitakiwa aliyeteswa kinyama komando Adam kasekwa leo atapanda kizimbani akiwa ni shahidi wa tatu wa upande wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu Endelea kufuatilia ======== Saa 3 na...
  10. eliakeem

    Jengo laporomoka na kuua watu watatu

    Kama ilivyo kawaida, kwa mara nyingine tena jengo lamoromoka kenya na kuua watatu. Majirani, mtaacha mpaka wafe wangapi ndiyo mdhibiti majanga haya? Wanasema hilo jengo ni jipya kabisa. Tangu liishe halina hata mwezi mmoja. Swali langu, kwa mara nyingine, hali hii itasubiriwa mpaka iue...
  11. Sky Eclat

    P Diddy na mabinti zake watatu wakiwa kwenye Venice

    Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabana na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni mwingine. Wa mbele ni Chance ana miaka 15, Mapacha ni Dalilah na Jessie James miaka 14.
  12. TheChoji

    Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

    Sio lazima uwe unatembea nao kingono, ila at any time T hakikisha una wanawake angalau watatu warembo "standby", ambao una mawasiliano nao ya karibu. Ukiweza kuwa unawatafuna ni added advantage. Hii itakusaidia sana kudumisha mahusiano yako ya SASA kwa njia zifuatazo: 1. Itakujengea komfidens...
  13. BestOfMyKind

    Video: Hamza Hassan Mohamed akimzungumzia Hayati Dkt. Magufuli

    Hii ni wakati wa maombolezo ya Magufuli.
  14. M

    Yanga SC na GSM na hawa Wakongo Watatu nao pia wanaomba Usajili Kwenu, ili Jangwani Music FC Band ikamilike

    1. Diblo Dibala (Soloist) 2. Bileku Mpasi (Rapper) 3. Allain Kounkou (Dancer) Naamini wakisajiliwa tu na hawa Watatu basi Waimbaji maarufu wa Bendi yenu ya Jangwani Music FC Band kama akina Makambo, Mayele, Moloko, Mukoko, Bangane na Djuma watauza mno Albums zenu ambazo mnatarajia kuzitoa.
  15. Sam Gidori

    Video: Watu watatu waanguka kutoka kwenye ndege inayoondoka Kabul (Afghanistan)

    Shirika la Habari la Aśvaka limeripoti kuwa vijana watatu wamefariki baada ya kudondoka kutoka kwenye ndege walipokuwa wakijaribu kuondoka kutoka Kabul, Afghanistan. Mapema leo, mamia ya raia wa Afghanistan walionekana wakiwa kwenye uwanja wa ndege wakitaka kupanda kwa nguvu kwenye ndege ya...
  16. Richard

    Kamanda mwandamizi wa Boko Haram aitwae Amir Adamu Rugu Rugu ajisalimisha kwa majeshi ya Nigeria akiwa na wake zake watatu na watoto

    Mmoja wa makamanda wa juu kabisa wa kikundi cha ugaidi cha Boko Haram aitwae Amir Adamu Rugu Rugu amejisalimisha siku ya Alhamisi jioni kwa majeshi ya Nigeria. Rugu Rugu alijisalimisha akiwa na wake zake watatu na watoto katika mji wa Gwoza ndani ya jimbo la Bono ambako ndipo vikosi vya jeshi...
  17. Komeo Lachuma

    #COVID19 Picha Tafakuri ya Marais Watatu wa Afrika Mashariki wakipata chanjo ya Covid-19

    Hizi ni picha za Marais watatu wa east africa wakichoma Chanjo ya Covid 19. Huu ndo uongozi unavyopaswa kuwa. Kuongoza kwa mfano.
  18. Analogia Malenga

    Kilo 1.2 ya heroin yawafikisha mahakamani

    Watu watatu wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mkoani Dar es salaam, wakikabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kilo 1 na gramu 200. Washtakiwa hao ni Andrew Paul, Said Mugoha na Geroge Mwang’ata wote wakazi wa Temeke mkoani Dar es salaam...
  19. L

    Iramba ni nyumbani kwa Mawaziri watatu lakini inazidi kudorora!

    Prof. Kitila Mkumbo kwa Mwaka 2025 nina uhakika hana lake Jimbo la Ubungo. Mwaka 2020 aliingizwa kibabe na hangeshinda. Dr. Dorothy Gwajima - Mnyiramba wa Tarafa ya Shelui naye anaonesha kunogewa na siasa - hakika atagombea Jimbo la Iramba. Dr. Mwigulu Nchemba (Mamba Kinani) ameendelea...
  20. W

    Zitto Kabwe: ACT - Wazalendo kilianzishwa na watu watatu tu; Mimi, Kitila Mkumbo na Mwanaharakati mmoja wa kike

    Akiongea mapema leo asubuhi katika kipindi cha Joto Kali la asubuhi kinachorushwa na vyombo vya habari vya TVE na Efm Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, ameongea mambo mengi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii na ameichambua bajeti kuu ya Serikali iliyowasilishwa week iliyopita Bungeni. Kwa...
Back
Top Bottom