wategemezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama unataka kumfanyia mtu mabaya, ebu jaribu kuwazia familia na wategemezi wake.

    Mnanyima ndoto na uhai kwa wengine kupelekea mifadhaiko kwa wanae huku nyie mkirudi nyumbani mkiwakombatia watoto wenu kwa furaha na bashasha
  2. JamiiForums Tanzania Aisee usimchukulie poa mwanaume anaeipitia ukata mkali tena unakuta ana wategemezi. Kama haujawahi kuwa level hii utamchukulia poa. Ukata unauma sanaa

    Ebu acheni Una enjoy luxury ya kucheka na moyo umetulia. Kupost JF kwa mbwembwe maana moyo wako sio mzito Kuna mtu anaamka anapokelewa na machungu, hajanywa chai simu tatu za kukumbushia madeni, wife ndio huyo anakuambia watoto nguo zinawabana. Sio kwamba haukujipanga ila ni basi katika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PSSSF kulipa fao la wategemezi kwa warithi walio chini ya miaka 18 ni dhuluma kubwa

    Inasemekana kuwa kuna kanuni mpya za kulipa fao la wategemezi ambazo zimeanza kutumika mwaka huu 2025. Hapo awali mstaafu ambae alikuwa mtumishi akifariki ilikuwa warithi wanalipwa miezi 36 ya mafao ya marehemu . Ila sasa kanuni zinabagua kwamba watalipwa warithi amaboa wana umri chini ya...
  4. JamiiForums Tanzania Familia za wavivu wengi zimesababisha soko la wanawake wa kuolewa na wanaume wa kuoa liwe gumu sana. Watu wanaogopa kupata wakwe na mashem wategemezi

    Habari wadau. Ukweli mchungu soko la mwenza wa ndoa limekuwa gumu sana Tanzania hasa kwa watu wanaojielewa na waliojipata. Mtu kuoa ama kuolewa anatazama mwenza wake yukoje , kwao anapotoka pakoje, na ndugu zake ama ukoo wake ukoje? Je wana maisha ya kujitegemea. Yale mambo ya kuoa mwanamke...
  5. JamiiForums Tanzania Musiba lazima ujue Membe ana wategemezi, wana haki ya kufungua mirathi na kukufilisi

    Kwa umri wa Membe hatuwezi kusema kuwa amekufa mapema au ghafla, na hatuwezi kukihusisha na madai yake kwa Musiba. Warithi wake wakiamua kuendelea kumkaba kohoni Musiba hawezi kuchomoka. Musiba alikuwa mtoto aliyelelewa vibaya. Ni mithiri ya mtoto wa chief wa kijiji aliyewatukana wanakijiji...
  6. JamiiForums Tanzania Je, mstaafu akifariki pensheni anaendelea kupewa mwenza wake au nayo inakoma?

    Habari zenu bhana Naomba niende moja kwa moja najua ntapata wajuzi wa kunishauri. Baba yangu alikua mwalimu kabla hajastaafu. So alikua anapokea penshen ile ya kila mwezi mpaka alipofariki mwaka juzi 2021. Alifariki akiwa na miaka 74. Ile penshen iliingia kwa miezi mitatu tuu then ikakoma. Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…