PSSSF kulipa fao la wategemezi kwa warithi walio chini ya miaka 18 ni dhuluma kubwa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Inasemekana kuwa kuna kanuni mpya za kulipa fao la wategemezi ambazo zimeanza kutumika mwaka huu 2025.

Hapo awali mstaafu ambae alikuwa mtumishi akifariki ilikuwa warithi wanalipwa miezi 36 ya mafao ya marehemu .

Ila sasa kanuni zinabagua kwamba watalipwa warithi amaboa wana umri chini ya miaka 18.

Hii ina maana kuwa kama mstaafu atafariki na kuacha warithi ambao walisha vuka umri wa miaka 18 mafao aliyobakiza mstaafu ili kulipwa pensheni yatafia mikononi wa Psssf.

Hii ni dhuluma kubwa kwa watumishi. Maana unakatwa pesa zako alafu ikitokea ukastaafu na kufariki huku umeacha mke na umeacha warithi wanaozidi umri wa miaka 18 Psssf wanadhulumu pesa zilizobaki.
 
Si atapewa mwenza kama watoto washakuwa wakubwa mkuu?
 
Kweli hii sio sawa,unastaafu na miaka 55_60 Kweli utakuwa una watoto chini ya 18?Ulichelewa kuoa au kuolewa?!!Inasikitisha sana!
 
Akiacha mjane analipwa mm bi mkubwa kalipwa bila shaka ilaa watoto hakuna labda kama Kuna alie chini ya 18
 
Inasemekana kuwa kuna kanuni mpya za kulipa fao la wategemezi ambazo zimeanza kutumika mwaka huu 2025.

Hapo awali mstaafu ambae alikuwa mtumishi akifariki ilikuwa warithi wanalipwa miezi 36 ya mafao ya marehemu .

Ila sasa kanuni zinabagua kwamba watalipwa warithi amaboa wana umri chini ya miaka 18.

Hii ina maana kuwa kama mstaafu atafariki na kuacha warithi ambao walisha vuka umri wa miaka 18 mafao aliyobakiza mstaafu ili kulipwa pensheni yatafia mikononi wa Psssf.

Hii ni dhuluma kubwa kwa watumishi. Maana unakatwa pesa zako alafu ikitokea ukastaafu na kufariki huku umeacha mke na umeacha warithi wanaozidi umri wa miaka 18 Psssf wanadhulumu pesa zilizobaki.
Ndio maana nchi inazidi kulaaniwa hela za watu si uwape wenyewe hata hiyo ya miezi 36 ni nchi ya majuha tu kama Tanzania tunakubali. Kikubwa ukipata nafasi ya kuiba iba sana maana serikali nayo ndio Mwizi namba moja wa hela za waajiriwa.
 
Hii ni dhuluma kubwa kwa watumishi. Maana unakatwa pesa zako alafu ikitokea ukastaafu na kufariki huku umeacha mke na umeacha warithi wanaozidi umri wa miaka 18 Psssf wanadhulumu pesa zilizobaki.
Malizia kabisa kuwa mke wa rais mstaafu anaendelea kulipwa posho wakati ana haki nyingi kama vile kutibiwa ,kulindwa n.k
mtu mmoja akasikika anasema nchi ipo kwenye state capture.
 
Yeah mstaafu akifariki sheria mpya mjanae analipwa miezi 36 na pesa ya mazishi laki 5
Sheria hii imeanza mwaka huu januari mosi
Sasa pesa ya mazishi laki 5 SI ya jeneza tu hiyo? Hii mifuko mbona inawabania sana wachangiaji ? Uwepo uhuru wa kuchagua na kuchangia mifuko ili uwepo ushindani wa utoaji wa huduma wa mifuko
 
Wakati huo huo wake wa wale wastaafu walioshika mpini wataendelea kulipwa mpaka wafariki.....huku tayari wana haki za msingi kama matibabu na mengine mengi ambayo kwa wanyonge ni ndoto
 
Yeah mstaafu akifariki sheria mpya mjanae analipwa miezi 36 na pesa ya mazishi laki 5
Sheria hii imeanza mwaka huu januari mosi
Hili la miezi 36 sijaelewa, ni analipwa pesa yote ndani ya miezi 36 au anamegewa fungu tu kidogo ndani ya huo muda?
 
Kwa mkupuo ya pesa aliyokuwa anapokea mstaafu kila mwezi mfano
Kama pensheni ya kila mwezi ilikua lani 4 then zidisja mara miezi 36 ambayo ni miaka 3 huo mkupuo ndo haki yake
 
Inasemekana kuwa kuna kanuni mpya za kulipa fao la wategemezi ambazo zimeanza kutumika mwaka huu 2025.

Hapo awali mstaafu ambae alikuwa mtumishi akifariki ilikuwa warithi wanalipwa miezi 36 ya mafao ya marehemu .

Ila sasa kanuni zinabagua kwamba watalipwa warithi amaboa wana umri chini ya miaka 18.

Hii ina maana kuwa kama mstaafu atafariki na kuacha warithi ambao walisha vuka umri wa miaka 18 mafao aliyobakiza mstaafu ili kulipwa pensheni yatafia mikononi wa Psssf.

Hii ni dhuluma kubwa kwa watumishi. Maana unakatwa pesa zako alafu ikitokea ukastaafu na kufariki huku umeacha mke na umeacha warithi wanaozidi umri wa miaka 18 Psssf wanadhulumu pesa zilizobaki.
SERIKALI PUMBAVU YA CCM
 
Malizia kabisa kuwa mke wa rais mstaafu anaendelea kulipwa posho wakati ana haki nyingi kama vile kutibiwa ,kulindwa n.k
mtu mmoja akasikika anasema nchi ipo kwenye state capture.
Mkuu suala la state capture yule jamaa chama chake ndo kinapitisha haya mambo yote, yule nae ni tapeli pamoja na wenzake anaowalalamikia.

Ni jambo la kweli kwamba hii nchi mambo mengi yapo hovyo
 
Back
Top Bottom