Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Kama hakuna mjane?Yeah mstaafu akifariki sheria mpya mjanae analipwa miezi 36 na pesa ya mazishi laki 5
Sheria hii imeanza mwaka huu januari mosi
Kama hakuna mjane?Yeah mstaafu akifariki sheria mpya mjanae analipwa miezi 36 na pesa ya mazishi laki 5
Sheria hii imeanza mwaka huu januari mosi
Alikua mstaafu anapokea pensheni na alifariki mwaka Jana .Wewe mshua alifariki mwaka gani?
Alikuwa. Mstaafu au bado yupo kazini?
Kama hana mwenza?Si atapewa mwenza kama watoto washakuwa wakubwa mkuu?