wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naibu Waziri wa Nishati, Kapinga azindua Namba Mpya ya Huduma kwa wateja TANESCO

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, ameizindua rasmi namba mpya ya bure ya huduma kwa wateja wa TANESCO, 180. Uzinduzi huo umefanyika leo, Machi 12, 2025 ambapo Mhe. Kapinga alipata fursa ya kuongea moja kwa moja na mteja kupitia mfumo huo mpya wa mawasiliano. Huduma hii inalenga...
  2. Hatimaye TANESCO wazindua namba mpya 180 ya huduma kwa wateja ya bure

    Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24. Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alieleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania...
  3. TRA kawafundisheni wateja wenu namna ya kutumia mashine za efd kutoa risiti

    Wakuu kwema? Hiki kipengele kinasumbua sana. Yani unahitaji risiti ambayo ina tin halafu muuzaji anakwambia mashine haina option ya tin. Hapo ili tu asisumbuke kwa kuwa hajui hiyo hatua. Pia mashine zenyewe ziko aina tofauti kiasi kwamba procedure za kutoa risiti zinatofautiana. Sasa muuzaji...
  4. Mnaouza viungo vya mapishi muwe mnatuuliza maswali wateja wenu sio wote tunajua kupika!

    Nilichokitoa hapa ni aibu natamani nimfate muuzaji aje tule wote haiwezekani aniuzie nyanya za kachumbari kumbe mimi nahitaji nyanya zakupikia!, nyanya inakimbizana na samaki kwenye sufuria ndo nini hiki sasa!. angeniuliza unahitaji za kachumbari ama zakupikia angepungukiwa nini..?😠 Na wengine...
  5. SGR wanaibia wateja kwenye uzito wa mabegi

    GTs, Naona kuna wizi unaendelea kwenye mizigo kwenye SGR. Kwenye ticket haioneshi kiwango cha uzito kinachoruhusiwa ila wapimaji ndiyo wanakadiria. Kibaya kabisa inaonekana ukila kilo inayozidi ni TZS 4000. Pamoja na kuwa wanatoa receipts za EFD na control number ila naona wizi upo tu maana...
  6. Karibuni wateja wote wa matairi ya magari makubwa na madogo

    Habari, Karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali na size tofauti za brands zote. Tunauza matairi ya magari makubwa na madogo. Bei zetu ni nafuu sana mikoani tunatuma Dar es salaam tunafanya delivery mzigo upo wakutosha karibuni wte. Location Vingunguti karibu na sido Dar es salaam...
  7. Mitandao ya kijamii (social network) kwa dunia ya sasa inalipa watu kwa maudhui ya wateja kwa nini jamiiforum wasiingie.

    Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui. Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi kuchuma kwetu maudhui bila malipo kutungwe sheria ili kulipwa kwa wanaotoa maudhui. Yeye anafaidika na...
  8. Masaa 24 biashara Kariakoo, hali ya usalama mitaani wanakotoka wateja inaruhusu?

    Mitaa yetu ina giza nene totoro na vibaka wengi sana, na wakati mwingine hakuna umeme kabisa. Ni jambo jema sana biashara kariakoo masaa 24, itasaidia kuchechemua uchumi wa watu, familia, jiji na taifa kwa ujumla. Usalama Kariakoo umeimarishwa kwa kufunga taa, kamera na kuwa na walinzi wa watu...
  9. Kwanini Hospitali ya St. Benedict, Ndanda, Mtwara huuliza wateja dini zao?

    Salaam wanajamvi! Sitaki kuwapotezea muda kwa kuwa nami sipendi kupoteza muda wangu, najielekeza moja kwa moja kwenye mada lengwa karibuni. Jana nilienda hospitali ya Rufaa ya Mt. Benedikto (St. Benedict, Ndanda, Mtwara) kwa ajili ya matibabu. Nakiri hii ni katika hospitali bora kabisa kwa...
  10. D

    Tupostie Kitu/bidhaa/chombo/mali Unayouza upate wateja leo

    Tangaza hapa! Iwe ni samani, electronics, nyumba, gari au vinginevyo—weka picha, bei, na upate mteja leo. ✅ Hakikisha bidhaa ni zilizotumika tu! Usikose fursa ya kuuza haraka. Tuwekee picha na Bei na location ilipo ikibidi. Kama umemaliza Ujenzi na kuna vifaa vimebaki huna haja ya Kuvitumia...
  11. Ewe,mjasiriamali jenga uhusiano mzuri na wateja wako.

    Salaam jamiiforum Biashara ndiyo mfumo wa maisha tangu enzi na enzi,watu wananunua na kuuziana bidhaa, Wengi nadhani tunajua habari za Trans Saharan trade,bater trade n.k. Leo tuangazie procedures za mfanyabiashara mdogo au mjasiriamali wanao miliki biashara chini ya milioni hamsini hadi...
  12. Mkipokelewa simu kitengo cha huduma kwa wateja dstv punguzeni story

    .
  13. Wenzetu wenye Exposure Ulaya ni kweli kuwa bank za majuu hazina public toilet kwa ajili ya wateja

    Town Kuna joto ndani ya muda mfupi unaweza jikuta umekata hata 2 litres kimbembe kinakuwa unapokuwa kwenye mazingira ambayo hayana access ya restroom kama Bank. Je na wenzetu huko Ulaya bank zao hazina vyoo??
  14. Dkt. Biteko awawashia moto TANESCO, adai "Mmezoea matatizo, hatutakubali!"

    Wakuu Kash Kash karibu na uchaguzi == Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekemea vikali utendaji wa Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) "Mmeanza kulala, mmezoea kazi, mmezoea matatizo. Mwaka mzima matatizo, tunarudi nyuma. Siwezi kukubali hiyo biashara ya kufika mahali...
  15. Apple yakubali kulipa faini ya Tsh. Bilioni 235.12 baada ya mfumo wa 'Siri' kubainika kusikiliza mazungumzo ya Wateja kwa siri

    Kampuni ya Apple imekubali kulipa faini ya takriban Tsh. Bilioni 235.12 kama faini baada ya uamuzi wa Mahakama kuonesha kampuni hiyo ilikuwa ikiingilia faragha za Watumiaji wa Vifaa vya Apple vinavyotumia Mfumo wa 'Siri' ikiwemo kusikiliza mazungumzo yao kwa siri. Hata hivyo, imeelezwa kuwa...
  16. A

    KERO BETIKA haitaki kuwalipa wateja wake

    Habari, Napenda kukuandikia ujumbe huu kuomba msaada wa kutupazia sauti. Kampuni ya Betika inayoendesha michezo ya betting imeshikilia pesa za wataja wao. Pesa hizo zinahusisha miamala ya kudeposit na kutoa pesa. Changamoto hii inaenda kumaliza mwezi sasa bila suluhu yoyote ile. Mwanzo...
  17. KERO Ofisi ya TRA Mafinga ina huduma mbovu, wahudumu wana dharau wateja

    Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako kuhudumia nje ya ofisi hivyo tuendelee kusubiri. Hii hali ni kero sana nimeuliza wateja wengine hapa...
  18. M

    NMB MLIMANI CITY WAMESITISHA HUDUMA LEO BILA TAARIFA/MAELEKEZO. WATEJA WANAPATA SHIDA HAPA.

    Nipo hapa mlimani city Iko shida kwa wateja wengi tuliopata usumbufu. Wafanyakazi waache kutoa huduma kwa mazoea.
  19. Ubovu wa kitengo cha huduma kwa wateja MWALIMU COMMERCIAL BANK.

    Napenda kutoa malalamiko yangu kwa bank ya MCB.Hii bank kitengo chao cha huduma kwa wateja hakina msaada wowote kwa sababu baadhi ya namba hazipatikani na namba inayopatikana simu haipokelewi.Ni muda wa wiki moja sasa kila nikijaribu kuwapigia simu haipokelewi kwa zaidi ya saa moja.Hata...
  20. Dstv mna huduma mbovu kwa wateja wenu, jirekebisheni.

    Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate package ya mteja ? Kuna offer flani mlipitisha kipindii cha miezi kadhaa nyuma mliita "Panda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…