wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    40% ya wateja wa Shirika la Ndege ( ATCL) ni wakazi wa Jiji la Mwanza

    Hii taarifa inaonyesha jinsi jiji la Mwanza lilivyo na mchango mkubwa sana katika uchumi wa taifa. Ni wakati sasa wa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa zaidi katika jiji la Mwanza kwa faida kubwa ya taifa letu. Ni hayo machache. Maendeleo hayana vyama!
  2. YEHODAYA

    Serikali izibane hotel zote za kulala Tanzania zinaibia wateja

    Kawaida mtu ukiingia hotel muda unaoingia ndio kesho yake unatakiwa uwe muda wako wa kutoka sababu unalipia kwa siku yaani masaa 24 Mahotel ya Tanzania yamejiwekea utaratibu wa wizi kuwa muda wa kutoka lazima uwe saa nne asubuhi bila kujali umeingia saa ngapi. Nilikuwa Nigeria niliingia saa...
  3. beth

    Tanesco kununua magari 106 ya kuwafuata wateja

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linapanga kununua magari 106 kwa ajili ya uboreshaji wa utoaji wa huduma kwa wateja ikiwamo kitengo cha dharura kwa ajili ya kuwahudumia wateja baada ya kupata kibali cha ununuzi. Aidha, shirika hilo limesema uboreshaji wa mfumo wa umeme katika kituo cha...
  4. YEHODAYA

    Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo watu wake hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kupata wateja wa hizo fremu

    Biashara yeyote duniani ikianzishwa watu wenye biashara huanzisha ushindani wa kutafuta wateja. Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo watu hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kutafuta wateja wa kupangisha fremu na hivyo kusababisha mifremu mingi kuwa mitupu isiyo na...
  5. CONTROLA

    Wateja wapo wengi, Ongeza thamani ya kitu unachotaka kukiuza kabla hujakitangaza kukiuza

    Kila siku tunalia biashara ngumu sawa biashara ni ngumu kama hautojiongeza kwendana na wakati wa sasa unataka nini,usipoelewa wakati unataka nini basi "wakati" utakuelewesha unachotaka. Lazima tutambue kuwa wakati uliopo sasa watu karibia wote ni "wabahili" usijidanganye ukiona mtu anaagiza...
  6. beth

    Kanuni za kuikuza biashara ndogo ili iwe biashara kubwa

    Kila kitu kinachoanza kwa hatua ndogo kinatakiwa kukua katika ukubwa, hivyo unapoonzisha biashara ndogo basi fahamu namna ambavyo biashara hiyo itakuwa kubwa. Zifutazo ndizo kanuni za kuikuza biashara ndogo ili biashara kubwa Jitahidi pia kujua washindani wako wanafanya nini haswa wale ambao...
  7. Mark Francis

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya...
Back
Top Bottom