Hii ni kwa wafanyabiashara,wamiliki wa blogs na wamiliki wa mitandao(tovuti)
makala hii inakupa vyanzo vinne vya kupata watembeleaji na wateja mtandaoni na mbinu za kunasa watembeleaji kutoka vyanzo husikia.
Vyanzo vyenyewe ni kama vifuatavyo
1. Google search
2. Facebook
3. Youtube
4...
Nianze kwa kupongeza juhudi kubwa zinazofanywa na watumishi wote wa TANESCO nchini kote bila kuwasahau watumishi wanaotuhakikishia huduma hii ya umeme ipo kwa watumiaji muda mwingi KATIKA ENEO la Mbezi na viunga vyake vyote pokeeni pongezi hizi.
Naendelea kutambua na kuheshimu kazi inayofanyika...
Najiuliza niongeze nini dukani kwangu. Bidhaa gani ni nzuri dukani na zina faida nzuri kidogo. Hili duka si la hali ya chini sana ni duka la kati.
Karibuni tujadili nini na nini kisikosekane dukani kwanza kina faida halafu kinavutia wateja.
Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto.
Baadhi ya Wanafunzi hao ambao wamepelekwa Ngurdoto...
Wanabodi,
Mimi ni mdau wa Total, na haya ni mambo ya Total
Way wa Total ambao ni ma Sterling watatu wa vídeo maalum ya Total The Jerusaléma Challenge, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp, katikati, Meneja Mtandao wa Vituo vya Mafuta vya Total, Network...
Katika vitu napataga shida ni kwenye kuchagua vichwa vya habari ya thread ninazoanzisha kwahiyo ndugu zangu tuwe tunasameheana inapotokea nimeandka kichwa cha habari halafu content inapishana hapo muwe mnanisamehe tu.
Leo bana kuna ishu moja nataka kuongea na wafanyabiashara/wajasiriamali sio...
Kampuni ya Meriadian Bet imefunga baadhi ya akaunti za wateja wao kwa kile wanacho dai kuwa ni uhakiki wa akaunti kutokana na ulaghai wa wateja wao. Cha kusikitisha ni kuwa wateja ambao tumefungiwa na tunapesa zetu kwenye akaunti hizo licha ya kutuma vitu wanavyo vitaka imechukua muda mrefu...
Unajua kila alfajiri hapa nchini Ujerumani ninafungua kamgahawa kangu; ni kagari nimekafanya mgahawa unaotembea.
Sasa kuna sehemu apa karibu nimepata location nzuri ina mchanganyiko wa watu, nikaamua nipaki gari langu aina Fiat ndogo.
Nikashusha spika zangu kubwa mbili nika-play nyimbo ilivo...
Ingawa Wahenga waliwahi kusema kuwa Mteja ni Mfalme au Malkia!
Lakini Baadhi ya wateja maofisini na madukani huwa ni vichomi na vichefuchefu wakubwa!
Ukiachilia mbali baadhi ya watoa huduma kuwa chanzo cha kuchangia ukorofi wa wateja wao!
Zipo tabia mbali mbali za wateja wasumbufu kwa watoa...
Makampuni ya mawasiliano nchini yamezima data takriban wiki moja sasa. Wakati yakizima, hayakuwatangazia wateja juu ya uzimaji huo, na hivyo wateja wengi wakajikuta vifurushi walivyokuwa wameweka kwenda bure!
Lakini pia, kwa wale ambao hawakujua kuwa kuna kuzimwa kwa makusudi kwa mtandao...
Safaricom ina miaka ishirini sasa. Ili kusherehekea, Safaricom itaruhusu wateja wake kupiga simu mara moja bila malipo. Safaricom ina takriban 33 million customers hapa Kenya. Kila customer atapata hii fursa...
Unajua ujasiriamali ni Kitu pana yenye inahitaji elimu kila siku jinsi ya kui master na kujua nini ufanye na nini usifanye ili kuepuka kile watu wanaita HASARA,hamna mtu anapenda hasara kila mtu anafungua biashara ili apate faida na hii faida huwa huwezi kufungua tu droo ukakuta hela...
Tunayo Shirika letu la Ndege la ATCL na sasa hivi kwa safari za humu nchini haina ushindani kabisa kwa lugha ya kimombo ina (monopoly). (1) Kwanza nianze na gharama zao mfano Mwanza mpaka Dar.
Gharama zao ni kubwa sana na kama ndege zilinunuliwa kwa ajili ya watanzania kwa nini sasa manufaa...
Programu (Malware) ambazo zinawasajili watumiaji bila ruhusa yao zimepatikana kwenye maelfu ya simu zinazouzwa Afrika. Simu 53,000 za Tecno zenye virusi zimeuzwa Ethiopia, Cameroon, Misri, Ghana na South Afrika.
Transsion ambae ni mzalishaji wa simu aina ya Tecno inayoongoza kwa mauzo barani...
Published on Aug 17, 2020
Kuelekea Uchaguzi mkuu 2020 Chama cha Mapinduzi kimezindua kituo maalum cha mawasiliano lengo kuu likiwa ni kuhakikisha wanakuwa na mawasiliano ya karibu na wanachama na watendaji wa chama icho Katika kipindi cha uchaguzi mkuu Akizingumza mapema leo jiji Dodoma katibu...
Kuna kampuni la simu wana huduma inaitwa bimamkononi unapigiwa simu na mdada anajitambulisha anakuelezea iyo bima una mjibu dada sihitaji anakwambia eti huna ata 4000 ujilinde na majanga.
Mkimjibu kiukali anakufokea sasa as if iyo simu ni uliazima kwao. Wadau na nyie mshawahi kukutana na...
Kama kuna benki yenye kiwango cha chini kwenye ubunifu basi NMB ni moja wapo! Wakati benki zingine zikiwa zimeshaachana na lile sharti la kung'ang'ania mfanyakazi anayetaka mkopo lazima mshahara wake upitie benki yao, NMB wao ndo kwanza wanazidi kusisitiza hilo sharti kama kigezo namba moja...
Nipo hapa nimeshajaribu kupiga huduma kwa Wateja lakini ninachokutana nacho, mtandao unasumbua Ata anayeongea humsikii, unaskiliza mikoromo tu mpaka masikio yanauma.
Internet ndo kabisa Kwenye kudownload utakesha Inaenda slowly sana, Mida yake mpaka uivizie saa nne usiku Mpaka saa mbili humo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.