Ikiwa wewe ni mjasiriamali mchanga au mwenye uzoefu wa kuhudumia wateja hadi 10,000 — kamwe huwezi kuchoka kutafuta wateja wapya. Kwa wafanyabiashara wengi, mchakato wa kutafuta wateja wapya unaweza kuonekana kuwa mgumu na usiotabirika.
Kama una ndoto za kukuza faida katika biashara yako...
JENGA IMANI/UAMINIFU.
Biashara, hivi sasa zinahamia katika digital platforms. Kuna majukwaa mengi ambayo wateja wanakutana na wauzaji na kufanya biashara bila kuonana.
Mifumo hii imeongeza mauzo, na kukuza biashara nyingi, na nguzo kubwa ya mafanikio kwenye majukwaa (platforms) hizi ni...
Mtaalamu wa Masaji (anayewafanyia Watu massage) Julian Roddis wa Uingereza amehukumiwa miaka minne Jela kwa kosa la kutumia camera ya siri iliyofichwa kwenye saa yake kuwarekodi Wateja Wanawake waliofika kufanyiwa Masaji.
Uchunguzi umebaini kuwa ametumia miaka miwili kuwarekodi Wanawake zaidi...
Habari wadau..!
Leo kwa mara ya kwanza nimepanda mwendokasi mchana yaani majira kama ya saa 8 na nilichokiona palee Gerezani kinatia huzuni kwa kweli jinsi abiria waendao Mbezi wanavyoteseka na jua kali la mchana kwenye foleni wakati stand ni kubwa.
Hivi kweli watumishi wa stand hawajaliona...
Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii.
Na hii ni huduma ambayo sikujiunga...
Nimefika pale kuulizia huduma fulani lakini hakuna wahudumu wa kutosha (dirishani yupo mhudumu mmoja tu) foleni ni ndefu mno.
Chumba kimejaa wateja lakini wahudumu wanajipitishatu na visuruali vyao, majibu yao ya hovyo.
Watumishi wa hiyo ofisi wanachukulia wateja kama ombaomba. Hamjui kama kuna...
Rudisheni Token ama fedha za watu mlizokata wakati mna tatizo la mfumo wa LUKU, ni muda sasa hela hamrudishi Token hamtoi, hamuoni kama huu ni wizi kama wizi mwingine?
Kwenye mitandao ya simu mtu akipata shida ya miamala ndani ya saa 24 hela zake zinarudi nyinyi mna tatizo gani , watu walinunua...
Waziri Faustine Ndugulile amesema hawayavumilia makampuni yanayotoa siri za wateja wao akitolea mfano mtu kupigiwa simu na kuambiwa Salio lililopo.
Pia waziri Ndugulile amekemea wahudumu wasio waaminifu kwenye kampuni hizo wanaoshirikiana na wahalifu kwa kutoa Siri za wateja.
Waziri amesema...
Kanuni za Maadili na Mienendo ya Utumishi wa Umma zinamtaka Mtumishi kutotoa taarifa au Siri za Mteja bila ruhusa maalumu
Kujadili taarifa za Wateja kwenye maeneo ya Umma kama Sokoni na kwenye Migahawa ni kuvunja #Haki ya faragha ya Mtu
Mtumishi anatakiwa kuendelea kutunza Siri za Mteja hata...
Matamko na Tahadhari zinapotolewa na wataalam;
Serikali za kiafrika hasa Tanzania kumekuwa na kasumba ya baaadhi ya mamlaka/mashirika kujitoa kuwajibika ipasavyo kwa watu wake!
Je, tahadhari hii ya kimbunga awamu hii Taasisi na mashirika mmejipangaje kupunguza hatari ya kimbunga kiafya na...
HALOTEL WATABAKI JUU MAWINGUNI TSH 190=MB 100 MASAA 24
Hapa unakuta ndo usiku bundle limekata na kuna issue ya muhimu unataka kuwasiliana na ndugu au miamala fulani ya kifedha au kuperuzi watsaap na google kusoma soma bando limekata na simu haina hela labda 200 tu ipo na mawakala na maduka...
Naona mnajikosha sasa siku zote hizo mlikuwa wapi? Tushazoea vile vifurushi vyetu pendwa vya 2000- mb 700 leo hii mnavitoa? Hata hivyo vya usiku pack na 4g bundle bakini navyo tupeni tulivyozoea vya mwaka huu.
#kamati ya roho mbaya.
Sheria ya #UlinziWaData ambayo bado haipo nchini Tanzania ina umuhimu mkubwa kwasababu itasaidia kulinda data za mteja kama zifuatazo;
Majina ya Watu(Wateja kama ni kwenye Kampuni ya biashara), Anuani za Posta na Makazi za Wananchi ambao na Wateja wa Makampuni ya biashara
Barua pepe za watu...
Kupitia namba hii 0789348104 mara mbili kanipigia cm saa sita na dakika tatu na saa sita na dakika thelathini na moja akijitambulisha kama ni mfanyakazi wa kampuni ya Airtell kitengo cha Huduma kwa Wateja anaitwa C. Haule ( jina la mwanzo sikulikariri vizuri ila linaanza na hiyo herufi ).
12:03...
TCRA, nawaomba muichunguze kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom kwa kukata fedha unaponunua muda wa maongezi kwa hoja kuwa mteja uliomba/ulijiunga na huduma fulani ambayo hutakiwa kulipia kwa kukatwa fedha mara tu unaponunua muda wa maongezi.
Mimi binafai ni mhanga wa hili jambo kwani...
TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha
Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF...
Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
Uzi huu ni kwa ajili ya wale wenye biashara zenye Wateja 100 au zaidi. Ni kwa ajili ya kujifunza tu wala si vinginevyo. Ulitumia mbinu gani kupata wateja 100 wa kwanza?
Changamoto gani ulikutana nazo?
Kama hutajali unaweza kutuambia ni biashara gani ulifanya au unafanya.
Mimi kwa sasa nabaki...
Serikali imesema kuwa itawachukulia hatua kali mafundi simu wote wenye tabia za kufuta namba ya kipekee inayotambulisha simu husika (IMEI) wanapopelekewa simu na wateja wao kwa ajili ya matengenezo.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine...
Inasikitisha na ina hatia hasira sana. Kinachoondelea Vodacom wanasoma meseji na kusikiliza maongezi ya wateja wao ambapo ni kinyume na sheria.
Vifurushi ninunue mm tena mniuzie kwa bei ghari na mnipangie cha kutuma. Kwann? Kila siku mnapandisha vifurushi na bado mnaingilia privacy za wateja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.