Kwa wiki nzima Sasa Voda wamekuwa wakinifanyia Huu uhuni.
Sina Deni songesha Wala nipige tafu.
Nimeweka Bando la sh elfu 2 Na Mia tano ili nijiunge Na kifurushi cha internet cha siku.
By the time namaliza kujiunga naambiwa salio halitoshi. Natazama salio nakuta lipon2400 au 2300 ikiwa Na...
Habari?
Leo kwa nyakati tofauti nimeambiwa na watu wawili kuwa CRDB wamerejesha kiasi cha fedha kwa wateja walio na mikopo,na wamefanya hivyo baada ya kukokotoa mahesabu upya.Mwenye habari iliyokamilika kuhusu hili naomba anijuze.
Jana nimeenda hospital moja hapa Tegeta kibaoni, na imeshajijua maana ipo peke yake pele kibaoni. Waanapiga bei kubwa sana wateja wao, kujiandikisha tu pale ni 7,500/= na sijui ni yanini maana hata file hupewi mambo yote yapo kwenye system za computer. Baada ya hapo anakwambia inachofuata...
Tukiwa tunapta vinywaji tukiwa na jamaa zangu, mmoja wetu alimtaka demu mmoja mbaye inaonekana alikuwa muuzaji wa K, jamaa alimwimbisha demu akakubali akajumuika na sisi.
Yule demu alikuwa anafanya movement ambazo nizitilia shaka, mara kadhaa alikuwa anaenda kuongea na mabaunsa sikujua walikuwa...
Umeibuka mjadala mkubwa sana kwa wakazi wa mji wa moshi wengi wakihoji mamlaka za serikali kuwa kimyaa kutokana na Baa moja kubwa kujengwa ikipakana na ukuta wa Banki ya NBC Tawi la Kibo Mjini Moshi.
Wapo wanaotilia shaka uwepo wa Baa hiyo wakidai inaweza ikaharisha usalama wa wateja wanaotumia...
Kama kichwa cha habari hapo juu. Kwanza niwapongeze hapo maabara kwa kuweka namba za simu yaani customer care au kwa kizungu call center. Ili mwenye malalamiko au maswali apate Majibu.
Sasa basi hapa ndio kuna tatizo. Hawa watu wa kupokea simu kutuona sisi wateja kama wahalifu au tunapoteza...
Kuna hii kauli ya Mteja ni Mfalme ni moja ya kauli mbaya na ya dharau kwa wafanyabiashara, ni kauli ambayo siiipendi kuisikia hata kuona mtu anaitamka mbele ya macho yangu.
Pesa ni roho inayoambatana na matabia mengi sana nyuma yake,na moja ya tabia za mwenye pesa ni "dharau" hizi dharau...
Ni kwa masikitiko kuwa wafanyakazi wa Baa ya New Sideway iliyoko Bunju A Kinondoni DSM hasa wanaohudumia vinywaji wamekuwa na tabia mbaya sana ya ubaguzi katika kuwahudumia wateja.
Kama wewe hutoi offer au huna urafiki na wahudumu jua imekula kwako. Unaweza kufika unakaa unasubiri mhudumu...
Uunganishwaji wa wateja katika huduma muhimu ya nishati ya umeme na TANESCO kumeonesha kupungua kutoka mwaka 2015/16 na kufikia chini ya malengo mwaka 2017/18 kabla ya kuanza kupanda tena mwaka 2018/19.
TANESCO wametaja kutokuwepo kwa malighafi kuwa ni sababu ya kushindwa kufikia malengo mbali...
Kwa masikitiko makubwa sana Tanesco nchi nzima hakuna nguzo wala mita kwa wateja wapya. Tatizo ni nini?
Cha kushangaza na kufurahisha mteja mpya akishapimiwa umeme kama line yake inahitaji nguzo mteja haruhusiwi kulipia wala hapewi control number.
Kalemani alikuwa anapata wapi nguzo na...
Ina kuwaje una chukua alama za videlo, majina yangu, anuwani ya ninapoishi wakati huo huo mdawote unajua nikowapi nafanya nini alafu mimi kama mteja nini ninacho pata? Kibaya zaidi nikwamba Hizo tarifa unazo zichukua wala huniambi utazitumiaje zaidi yakuniambia nikwajili ya usalama wangu mhh...
Katika vitengo vinavyoongoza kwa Rushwa katika ofisi nyingi za TANESCO ni katika mtiririko hapa chini kulingana na ukubwa wa TATIZO, na pia utaweza kufahamu mikoa ya KITANESCO inayoongoza kwa Rushwa
1. Kitengo Cha Kuungia wateja umeme kwamaana ya wenye nguzo na wasio na Nguzo: hichi ndo kitengo...
Kwa hii kasi ya mabadiliko ya vifurushi, tujipange isaikolojia, huenda tukaingia 2022 GB1 ikiwa inauzwa elf 2,500 sawa na petrol.
Fibre internet ni internet inayoletwa kwako kwa njia ya waya na uutapewa bure vifaa vya kusambaza internet kwa njia ya wifi.
Gharama zao zinaendana kwa speed na sio...
Wasalaam
Watu wengi sasa wameanza kuamini biashara kwa njia ya mtandao. Leo jioni nimekuwa kwenye ofisi moja idadi ya wateja na Mahala ilipo hakuna uhusiano. Baadae nikagundua wote wanawatolea online.
Kuna jamaa aliishiwa hadi akataka kurudi kwao kigoma kutoka Dar. Jamaa sio msomi Hata wa...
Kwa wateja wetu wa nguvu.
Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma.
Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu.
Tunawathamini sana na kuwaahidi...
Ndugu mteja asante sana kwa kutumia huduma za TTCL. Tarehe 4-8 Oktoba ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.
Katika kusherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja, TTCL tunapenda kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini.
Tunakuahidi kwa kukupatia huduma nzuri zaidi.
Karibu tukuhudumie
Wafanyabiashara hao wameamua kuondoka kutoka katika soko hilo kwa kukosa wateja hali iliyopelekea biashara kuwa ngumu.
Wafanyabiashara hao hawajui watalipa vipi madeni wanaodaiwa na taasisi mbalimbali za fedha.
Ikumbukwe soko hilo limejengwa na serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 5. Pesa...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Kifungua kinywa cha asubuhi ni chai lakini kifungua kinywa cha waungwana ni salamu.
Salamu kwenu wanafamilia wa JamiiForums, ni imani yangu kuwa mu wazima wa afya na poleni sana mashabiki wa Simba damudamu, kwa shambulizi la risasi moja ya kichwa, mliyofyatuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.