Na Mwandishi wetu - Zanzibar
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe Dkt Faustine Ndugulile aipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania kwa kuboresha muonekano wa Vituo vya Huduma kwa Wateja nchi nzima ili kuongeza mvuto kwa wateja wa huduma za mawasiliano.
Amesema hayo katika hafla...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt Faustine Ndugulile azindua rasmi Kituo cha Huduma kwa Wateja cha TTCL Corporation Kijangwani, Zanzibar. Pia katika uzinduzi huo alikuwepo Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Corporation ndug. Waziri Kindamba
#RudiNyumbaniKumenoga
Unaambiwa kwenye sheria za Tanzania, hairuhusiwi Mwananchi yeyote kukatiwa maji pale anaposhindwa kulipia bili yake ya mwezi, hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Maji safi na Mazingira ya mwaka 2019.
“Mtu yeyote anaetumia maji ambayo yanatoka kwenye Mamlaka ya Maji Tanzania anatakiwa kisheria...
Serikali ya Zanzibar imesema itawachukulia hatua wamiliki wa hoteli ambao wageni wao watatoka hotelini wakiwa hawajavaa nguo za stara. Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale amewataka wageni hasa watalii kutovaa nguo zinazokiuka maadili wawapo maeneo ya umma, mfano sokoni.
Chanzo: Swahili Times
Baadhi ya benki za Marekani ambazo hazitaki tena wateja kuweka akiba
Benki zaomba wateja wake kuweka akiba zao kwingineko.
Baadhi ya benki tayari zimeanza kukataza wateja wake kuweka pesa zao benki.
Wateja wa moja ya benki ya kubwa Marekani ya JPMorgan ndio wa hivi karibuni kukumbana na tukio...
Ukiwa unataka kufungua restaurant au mgahawa. Unatakiwa uwe na ujuzi wa vyakula vya aina gani?
Vile vile ni vyakula vipi ni pendea sana na vinaleta wateja?
Pamoja na agizo la waziri mwenye dhamana ya mawasiliano kuitaka mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano nchini(TCRA) kudhibiti gharama za mawasiliano bado wameonekana kugonga mwamba huku kampuni za simu zikiweka pamba masikioni.
Uingereza sehemu kubwa ya gharama ya mawasiliano ni kwa bili na moja ya...
Hivi kwa akili za kawaida unaweza kujisifia kuhudumia watu 60,000 kati ya watu mil 60? Na wewe ukatoka kifua mbele kuwa uko vizuri! Kwamba eti soko lako limekua? Hii ni aibu kubwa.
Nilitegemea sababu hii nchi ipo uchumi wa kati basi mje na idadi ya watanzania mil 15 ambao wana uwezo wa kulipia...
MSAADA : Habari wana jamvi la biashara; Nina rafiki yangu yupo japani anauza magari kwenye kampuni moja hivi, sasa ameniambia nitafute wateja atanilipa kwa commision, uwezo wa kutafuta wateja ninao coz nimefanya masoko kwenye makampuni mbalimbali lakini sijawahi kufanya biashara ya magari...
Katika hili, BOT ni kama wamelala, tena usingizi wa pono, kwani bado ziko taasisi za kifedha zinazokaa na kadi za Benki za wateja wanaoenda kuomba mikopo kama moja la shariti la kupewa mikopo wakiamini kukaa na kadi ya mteja ndio security ya fedha zao.
Ukweli ni kwamba, kutokana na maendeleo ya...
Wafanyakazi wa Afya na Walimu ni waajiriwa wakuu serikalini. Mshahara wao na hali yao ya kazi ni duni sana . Na tunapaswa kuwahurumia na kufanya kazi kwa bidii ili kuboresha hili swala.
Walakini, katika siku za hivi karibuni tumesikia visa kadhaa vya kushambuliwa na ubakaji wa wagonjwa na...
Wadau wa jukwaa mnajua hapa ndio sehemu pekee pamekuwa pa kuwekana sawa kama jamii. Kwa muda mrefu wamiliki wa bar na pubs wanadhani kupiga mziki mkubwa inavutia wateja. Ukweli ni kwamba bar ndo sehemu watu tunabadilishana mawazo hata kufahamiana. Sasa bar nyingi miziki inakuwa juu kiasi...
Mapema wiki hii, programu tumishi ya mawasiliano ya WhatsApp ilianza kutoa taarifa kwa watumiaji wake wa Android na iOS kuhusu mabadiliko ya sera ya matumizi na sera ya faragha, ikiwafahamisha wateja wake kuhusu jinsi mtandao huo utakavyomudu taarifa binafsi za watumiaji wake.
Sera hizo mpya...
Hawa ni watu ambao yani kila baada ya siku kadhaa wanakuja dukani ila hawanunui chochote zaidi ya kukuhangaisha.
- Wanataka bidhaa za juu, utapanda ngazi
-Utaenda hadi duka lingine kutafuta bidhaa wanayohitaji
-Utapukuta vumbi bidhaa wanayoulizia
-Kama ni Tv basi utaitoa kwenye boksi wao...
Mikopo ya bank muda mwingi haisaidii sana watumishi wa umma au sekta binafsi kwa sababu ya riba kubwa.
Sasa kwa sababu watumishi huwa ni wateja wa kudumu wa mfuko huu na kila mwezi wanachangia fedha nyingi, kwa nini NSSF isiwe na bank ambayo itatumika kuwapa mikopo wateja wake kwa riba ndogo...
Shirika hili linakiuka kwa kiasi kikubwa mikataba na makubaliano walioafikiana na wateja wao hasa ihusuyo malipo ya fedha za bima zilizoiva.
Jambo hili si zuri na halikubalikiki hata kidogo maana linatengeneza taswira ya ulaghai kwa wateja wenu ukizingatia hili ni shirika la umma.
Mamlaka...
Tangu Alhamis ya week iliyopita nilitoa pesa kwa wakala wa tigo pesa mara mbili bila mimi kujua.
Mara ya kwanza nilitoa 45,000 lakini nikaambiwa muamala wangu umekataliwa. Na wakala hakuona sms ya muamala. Nikazani ni tatizo tu la kawaida. tu.
Kwa vile kulikuwa na pesa kwenye account nikatoa...
Juzi hapa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii alikutana na wafanyakazi wa wizara hiyo katika kujadili masuala ya utalii na changamoto zake alikiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudu tena, wakishakuja mara moja wengi wao huwa hawarudi tena.
Maana yake ni kuwa sisi...
Hili jengo lipo barabara ya kutoka Ubungo kwenda Mwenge la PPF linanihuzunisha sana na zaidi pesa za wanachama linajengwa naliona tangu wanachimba msingi limekamilika nalishuhudia lakini tangu likamilike limemaliza miaka mitatu na mpangaji aliyepo ni NHIF tu.
Najiuliza mbona hawa wahusika...
Mchungaji anasema toa upate baraka, utanyeshewa baraka za kukuinua, hutakua mtu wa magengeni tena, hutakua mtu wa kununua mitumba tena utanunua nguo kwenye ma shoping mall na mahitaji yako yatatoka supermarket.
Hizi hela tulizonazo tungeamua kuwa watu wa manunuzi ya supermarket na shopping...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.