wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    TCRA Tanzania kwa haya yanayofanywa na kampuni ya Vodacom Tanzania kwa wateja wanaotumia simu janja yako sawa?

    TCRA tanzania, naomba mnisaidie kujua kama mambo yanayofanywa na kampuni ya simu ya vodacom tanzania nisahii! Nakama nisahii mtupe ufafanuzi, kama siyo sahihi mkomeshe jambo hili na muwaagize warudishe gharama tulizotumia katika huduma ambayo kimsingi ni haki kwa mteja kuipata bila gharama...
  2. JituMirabaMinne

    Baadhi ya watu mnaofanya Computer diagnosis kwenye magari mnawamislead wateja wenu na kuwaingiza gharama zisizo za lazima

    Baadhi ya watu wamekuwa wakifanya OBD2 diagnosis kwenye magari. Ni kitu kizuri na kwa upande fulani kinaweza kurahisisha kutatua tatizo la gari husika hasa ukizingatia kwamba tatizo moja la gari linaweza kuwa na possible causes hata 10. Tools zinazotumika kufanya diagnosis zipo za aina nyingi...
  3. I am Groot

    Halotel Tanzania jaribuni kuwa na aibu walau. Mnaibia wateja waziwazi kabisa!

    Masikitiko yangu kwa hawa Halotel kwa wanalowafanyia wateja wao sio jambo jema hata kidogo. Nashindwa kuamini mtandao unashindwa kudownload hata app ya 12mb inabaki kuload tu ila cha kushangaza zaidi nashuhudia data zikikimbia bila kuelewa wapi zinaenda na wakati task ndogo kama ya kudownload...
  4. Analogia Malenga

    Zoom itaweka 'strong encryption' kwa wateja watakaolipia

    Zoom ni kati ya mitandao inayotumika sana kufanya mikutano kwa njia ya video, na imepata umaarufu mkubwa baada ya janga la #COVID19 ambalo limefanya watu waitumie zaidi ili kuepuka mikutano ya ana kwa ana Mtandao huo umekuwa unakumbwa na udukuzi wa mara kwa mara baada ya wadukuzi kuvamia...
  5. youzam

    Namna ya kubadili wafuasi (followers) wako kwenye mitandao ya kijamii kuwa wateja

    Mitandao ya kijamii ni muhimu sana katika kukuza biashara mbalimbali. Kuna njia nyingi za kufanya promosheni ya bidhaa au huduma zako, na miongoni mwa hizo ni matangazo ya kulipia. Lakini unaweza pia kupata wateja wengi kama ukitambua ni namna gani ubadili wafuasi (followers) wako kuwa wateja...
  6. M

    Hivi hawa wafanyakazi wa makampuni ya simu wanatuchukuliaje wateja wao?

    Kuna kampuni moja hivi ambayo si elewi elewi maana ishabadilishwa majina kibao na ujanja ujanja kibao ndani yake. Ipo pale yale mabasi yenye njia yake yanapo geukia. Sasa bana, juzi kati nilinunua bando la buku mbili shida yangu ilikuwa kupata MB's; cha ajabu sijui ndio kawaida yao basi bando...
  7. kisugujira

    NSSF Ubungo acheni longolongo! Lipeni wateja wenu mafao yao!

    WanaJF, Utendaji kazi wa baadhi ya watumishi NSSF Ubungo haulidhishi kabisa! Nimekuwa nikifuatilia kulipwa mafao yangu toka mwezi 7, 2019 mpaka leo hii sijalipwa napigwa kalenda tu bila hata kujali kuwa mtu huyu anatokea wapi! Manake si kila mtu anaishi na kufanya kazi Dar es Salaam. Watu...
  8. haszu

    Mapendekezo mitandao ya simu huduma kwa wateja

    Najua imezoeleka kua namba ya huduma kwa wateja ni 100, ila napendkeza kila mtandao uwe na namba tofauti mbali na miamoja ambayo mtu anaweza kupiga akitumia namba ya mtandao wowote. Sababu ni kua kuna wakati unajikuta unadharura, mfano laini ya simu imefingwa, uko mbalina ofisi na karibu yako...
  9. Kabembe

    Aidha Wafanyakazi wa NMB Bank au NMB Bank yenyewe au wote wanaibia Wateja na serikali

    Wakuu naandika uzi huu nikiwa shuhuda wa ninalotaka kuongelea, inawezekana labda mimi ndio sijui mabadiliko ya mifumo ya kibenk haswa kwenye kufungua account mpya. Nimewahi fungua account kadhaa kwenye bank tofauti hapo nyuma lakini hili nililolishuhudia NMB limenistua. Mara zote unapofungua...
  10. Numbisa

    Wateja tumeona. Shukrani

    From Jamiiforums Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS Note: wateja tumeona. Shukrani. Tunawatakia afya njema pia. Stay safe kwa faida ya Forums yetu pendwa.
  11. The Assassin

    Apple yakubali kulipa zaidi ya USD 500M kwa wateja wamiliki wa Iphone 7 na Iphone 6

    Mwaka 2017 Apple iliwaomba radhi wateja wake wanaomiliki Iphone 7 na matoleo ya nyuma kwa kuzipunguzia kasi na ufanisi kwa makusudi ili tu watu wanunue matoleo mapya ya Iphone. Apple ilikuwa ikitoa software updates ambazo zitafanya aina hizo za simu kufanya kazi taratibu kuliko uwezo wake ili...
  12. Hunyu

    Bei ya vyakula vya mahoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri wa mabasi iangaliwe na mamlaka husika

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikikerwa na hili jambo. Bei ya chakula cha hizi hoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri haiendani na huduma wanayopewa lakini naona mamlaka husika zimekaa kimya. Na hili naomba lisichanganywe na suala la wakulima kujipangia bei, msafiri sio mkulima ni mtu anayekuwa hana...
  13. N

    Natafuta wateja wa kokoto za ujenzi

    Wanajamvi, Kampuni yetu ya SASIL LTD inatafuta wateja wa kokoto bora kabisa za kujengea barabara, madaraja,majumba nk. Bei ni maelewano na ni nafuu sana. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwenye simu namba 0782094435. Ofisi yetu ipo Dar es Salaam lakini tunaweza kupeleka mkoa wowote kwa...
  14. Masokotz

    Msingi wa biashara ni wateja sio mtaji

    Biashara nyingi sana hufa,sio kwa kukosa mtaji bali ni kwa kukosa wateja Ukifuatilia kwa karibu hutasikia kwamba kuna biashara eti ili kufa kwa sababu ilikosa mtaji,nyingi hufa kwa kukosa wateja.hata zile ambazo huwa na ufinyu wa mtaji bado ukifuatilia kwa ndani utakosa root cause ni kukosa...
  15. YEHODAYA

    Hisa zikiuzwa soko la hisa Nani huwa anahakiki kuhakikisha pesa zinaingia akaunti za wateja waliouza hisa kwa wakati?

    hivi hisa Mfano mtu umeuza Nani huwa anahakiki kuwa hisa za Fulani zimeuzwa Leo na kuhakiki kuwa hizo pesa zinaingia kwenye akaunti ya mhusika kwa wakati? Na gawio la wanahisa likitoka nani anayehakiki kuwa Hilo gawio linaenda kwa wahusika kwa wakati? Moderators msiipeleke hii habari jukwaa...
  16. miamiatz

    Una bidhaa na wateja haba? Ukifuata mtindo huu hapa utapata matunda ya haraka zaidi

    1. Tengeneza network pana kwa kutafuta contacts za watu wengi kupitia mitandao ya kijamii, directories, kutoka kwa marafiki. Wewe chukua details za watu kila unapoona jina la mtu na details zake beba. Hifadhi namba hizo kwenye simu yako kwa kuunda group of contacts na uliite Leads. 2. Andaa...
  17. miamiatz

    Process unayoweza kuitumia kujitwalia wateja zaidi na mapato zaidi katika biashara

    1. Andaa orodha ya watu na taasisi ambazo unadhani zaweza kuhitaji huduma yako. Kwa mfano kama wewe ni mtengenezeji wa websites basi tafuta makampuni yote ambayo hayana website ama yana websites zisizokuwa relevant kwao. Kwa huduma ama bidhaa yoyote kuna orodha kubwa sana unaweza tengeneza ya...
  18. technically

    Nakusudia kuishtaki Serikali (TCRA) kuzima Simcard za wateja wa mitandao

    Kwanza ni kinyume cha Katiba ya uhuru wa kupata mawasiliano, pili ni uhujumu uchumi kwa serikali yenyewe na tatu kuzuia wananchi kupata habari kupitia mitandao ya kijamii. Kesi inafunguliwa jumatatu kanda ya Dar es Salaam. Mimi sio wakili ila nimewasiliana na mawakili wangu 3 na tunakusudia...
  19. Miss Zomboko

    Vodacom yaongoza kwa kutoza gharama kubwa za intaneti kwa wateja

    Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ya robo ya mwaka inayoishia Septemba 2019 zinaonesha kuwa kampuni ya Vodacom Tanzania ndiyo inayoongoza kwa kutoza gharama kubwa zaidi ambapo hutoza TZS 205 kwa megabyte (MB) mteja anayotumia. Wakati Vodacom ikitoza kiwango hicho...
  20. Kididimo

    TCRA mulikeni Vodacom, wateja tunapigwa

    Kuna mambo hayako sawa: Naomba mchunguze haya: 1. Gharama za kutuma na kutoa fedha,ziko juu sanaa, ndvyo hivyo kama Serikali mlikubaliana? 2. Gharama ya kuhamisha miamala kutoka benki kwenda M- Pesa. Iko juu na hutozwa double! 3. Kukatwa fedha bila maelezo hasa unaporwcharge voucher! Mfano...
Back
Top Bottom