watendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kihenzile Akutana na Watendaji TCAA, Awasisitiza Kufanyia Kazi Hoja za CAG

    Naibu Waziri Kihenzile Akutana na Watendaji TCAA, Awasisitiza Kufanyia Kazi Hoja za CAG Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile (Mb) ameonana na watendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Anga (TCAA) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Ndugu Hamza Johari. Naibu Waziri Kihenzile...
  2. Roving Journalist

    Mkuu wa Wilaya awataka Maafisa Ugani na Watendaji wa Vijiji watoke ofisini waende wakatoe elimu ya Kilimo Bora

    Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amewataka Maafisa Ugani na Maafisa Watendaji wa Vijiji kuhakikisha wanawafikia Wakulima ili kuendelea kutoa elimu ya kilimo bora. Mkuu wa Wilaya hiyo, Onesmo Buswelu ameyasema hayo wakati Kikao cha Maendeleo cha Wilaya kilichohusisha Watumishi wa...
  3. Tlaatlaah

    Paul Makonda anaisisimua CCM na kuwazindua watendaji mazoea chamani na Serikalini

    Katibu wa NEC Itikadi na uenezi Taifa, Paul Makonda kwa hakika anaisisimua CCM vilivyo na ana wasanua wananchi hali halisi ya upinzani nchini. Ni kama vile hawapo tu, watoa taarrifa hawa nchini. Anawazindua watendaji mazoea chamani na serikalini. Ama kwa hakika watendaji wote mazoea wataongeza...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ntate Awasisitizi Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata Kuwekeza Katika UTT

    Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate, leo tarehe 10 Oktoba, 2023 ameendeSemina ya Watendaji wa Kata na Maafisa Tarafa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Semina hiyo iliyohudhuriwa pia na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya na...
  5. Mkwawe

    Kwanini Watendaji na wenyeviti wa mitaa/Kijiji huuza huduma za kiutawala kwa wananchi?

    Wadau mtakubaliana na Mimi haya mazoea yamekuwa Kama uhalali na Sheria kwamba ukiingia kwenye ofisi ya afisa mtendaji au mwenyekiti lazima uandae sh 2000-5000-20000 kwa ajili ya kupata huduma (mara nyingi huwa muhuri tu wa ofisi) Miaka nenda miaka rudi haya mazoea hutendeka sijui imeidhinishwa...
  6. Roving Journalist

    DAWASA yafafanua sababu ya maji kukatika mitaa ya Tabata

    Baada ya kudaiwa kuna changamoto ya huduma ya maji Mitaa ya Tabata hasa kuanzia Posta kuelekea Segerea, ikiwa ni wiki ya pili kuna uhaba wa maji huku Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikiwa haitoi taarifa ya kinachoendelea, ufafanuzi umetolewa. Awali ilidaiwa kuwa...
  7. JanguKamaJangu

    Waziri Simbachawene: Saini feki za Katibu Mkuu UTUMISHI na TAMISEMI zinatumika kuhamisha watumishi vituo

    Serikali imebaini baadhi ya watumishi wa umma wanatumia njia za udanganyifu na nyaraka za kughushi mtandaoni, ili kufanikisha uhamisho wa vituo vya kazi pasipo kuridhiwa na mamlaka husika. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema...
  8. ChoiceVariable

    Rais Samia: Waziri Mchengerwa amefanya kazi nzuri sana, sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi

    Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza. - "Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele...
  9. S

    Consession na lease agreements zinapoandaliwa muda huu, watendaji serikalini wakumbuke maana ya usiri kazini (confidentiality)

    Kosa la kuruhusu mkataba kuvuja na wasiotakiwa kuuona limeshafanyika na gharama ya kujitetea zimekuwa kubwa kwa upande wa serikalini. Mijadala imekuwa ni mingi kutoka kwa watu wa kada mbalimbali juu ya masuala ya kisheria. Nani alivujisha siri za serikali? Wahusika wanajuana na wameshaiona...
  10. M

    SoC03 Rushwa kwa watendaji wa serikali

    Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa. Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
  11. boni200

    Watendaji wa mtaa walindwe na kuthaminiwa

    Nimekua nikifuatilia sana majukumu ya watendaji wa kata na mtaa hasa wa mtaa wana changamoto kubwa sana hasa waliopo Dar es salaam. Sikatai kuna wengine hawana maadili lakini wengi wanakumbana na changamoto sana hasa kwenye kazi zao. Leo nitazungumza kuhusu mauziano ya ardhi hapa Kuna ulazima...
  12. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama Akabidhi Vitendea Kazi Kwa Watendaji wa CCM Peramiho

    WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI VITENDEA KAZI KWA WATENDAJI WA CHAMA (CCM) PERAMIHO Watendaji wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Peramiho wamehimizwa Kuendelea kushirikiana katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi na kuhakikisha Miradi ya maendeleo inafanikiwa na kutoa huduma sawa sawa kwa...
  13. R

    Mamlaka za maji za Tanzania zina dharau kubwa sana kwa wananchi, hakuna usimamizi wa watendaji

    Mamlaka za maji nchini zina kiburi sana, hakuna nidhamu ya watendaji. Miradi ya maji wanapiga, kuunganisha watu maji awataki, wanabambikia wenye maji bili, ukienda ofisini kwao hakuna anayekuchukulia kama mteja kila mtu yupo busy na masuala yake, wengi wana elimu ndogo ya uchumi na hivyo...
  14. N

    Mahakama ya Afrika yaiagiza Tanzania kufanya marekebisho ya sheria inayowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia uchaguzi

    Kesi itakayotolewa uamuzi Leo ni kesi iliyofunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi, ikidiwa kuwa 'makada wa Chama Cha Mapinduzi'...
  15. Sildenafil Citrate

    Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa. Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu...
  16. GENTAMYCINE

    Lala salama Hayati Magufuli hukuwahi Kudharaulika na Watendaji wako, Uliogopwa Kiufanisi, nchi ilienda na tulinyooka vilivyo

    Wewe Mwenyewe kwa kutaka Sifa kwa tuliokuwa tukikusikiliza na kumuonyesha aliyekuwa Juu yako alikuwa hafai ulisema hutokuwa Mkali na Bandidu na utatudekeza sasa leo unalialia nini kuwa Unadharaulika na Watendaji wako tena uliowateua Mwenyewe? Wenye Akili Kubwa hapa tunaona unatupigia tu Kelele...
  17. Stephano Mgendanyi

    Watendaji wa Kata Kulipwa Posho

    MBUNGE JANEJELLY NTATE AHOJI KULIPWA POSHO ZA WATENDAJI WA KATA Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amehoji Bungeni kuhusu watendaji wa Kata wanaolipwa na wasiolipwa posho ambapo swali lilijibiwa na Naibu Waziri TAMISEMI Mhe. Deo...
  18. Pascal Mayalla

    Ubunifu Tanzania/MAKISATU: VETA, COSTECH, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Waziri Prof. Mkenda, na Watendaji Wao, Wanastahili Pongezi za Dhati!

    Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini Veta, licha ya kuwapatia Watanzania elimu ya ujuzi kama nia na dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, na kuwezesha wananchi, hasa vijana kuajirika kwa urahisi, kuongeza tija ya uzalishaji viwandani na...
  19. Ex Spy

    Kukatika umeme Uwanja wa Mkapa: Serikali yawasimamisha watendaji kadhaa; yaomba radhi

    Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Uongozi sio uongeaji wala maneno bali ni vitendo na utekelezaji. Tunawatumia viongozi waongeaji badala ya watendaji

    Tunapenda kuchagua viongozi ambao wanaweza kuongea vizuri na kuahidi mambo mengi, lakini hatujali sana kuhusu uwezo wao wa kutekeleza ahadi hizo. Uongozi ni vitendo na utekelezaji wa mipango. Viongozi wa kweli wanafanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha mipango yao inafanikiwa na wanajitahidi...
Back
Top Bottom