Suala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma. Kwanza haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Jambo/mambo wanayodai washindani wenu yapo kisheria...
Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida.
Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda tu.
Wananchi wa kawaida wanaweza kutumika au hata watu maarufu kutumia mwanya huu kutekeleza azma...
Kama sheria na taratibu zinaruhusu wafungwa kuandika kitabu, nakushauri utumie muda wako wa kuwa kifungoni uandike kitabu kitachoeleza kila kitu yakiwemo yale ambayo hukuyasema mahakamani (kama yapo) ili usaidie wenzako yasiwakute yaliyowakuta.
Kwasababu umeshaenda jela(unless unataka kukata...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwaapisha Viongozi Wateule watatu walioteuliwa Oktoba 08, 2021.
Jaji Mustapha Siyani ameteuliwa kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Omar Othman Makungu ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania.
Pia, Sophia Edward...
Wote walioteuliwa wanafahamika kwa sura na kwa tabia. Sababu za kuteuliwa kwao ndo vigumu kuzitambua. Hapa nitajaribu kuzitaja kadri ninavyowafahamu.
Tuanze na Stergomena Tax
Huyu ni mtu mwenye elimu nzuri, mwanamke ambaye ktk wengi walioko baraza, hatuna wanawake wenye uwezo. Ana matatizo yake...
Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi.
KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED
1. Ensuring the existence of a formal and satisfactory system of financial administration;
2. Securing compliance with the...
Nadhani maisha yalivyo ni kwamba watoto wa viongozi wakihitimu vyuo awatafuti tena kazi wanasubiri uteuzi. Kwa ukubwa nafasi hizi zilizotoka naomba waziri atumie busara kuandaa semina elekezi la sivyo uchumi wetu utakufa kabisa.
Ni sawa mmeamua V8 zipaki nyumbani kwenu yaani baba, mama na...
Samia alichoshindwa kuelewa ni kuwa pamoja na kuwa alikuwa ni Makamu wa Rais hakuumbwa kuwaza au kufikiri au kutenda au kunena au kufanya kitu chochote kama alivyokuwa Mtangulizi wake.
Kwanza namna alivyowekwa pale na majukumu ya Makamu yalivyo KiKatiba alikuwa ni mtu passive tu - yaani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga.
Bila shaka aliyekuteua anafahamu machache sana kuhusu wewe ila mengi unayo wewe mwenyewe kwenye akili na moyo wako. LAKINI bila shaka aliyekuteua katanguliza IMANI kwako kuwa utaweza kumsadia yeye kwenye malengo yake. Hivyo Imani lazima izae Imani.
Wakati huohuo lazima ufahamu kuwa uteuzi wako...
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
Haiwezekani kichwa kilichojaa nondo na busara kama Pascal Mayalla kiwe kwenye teuzi na kundi moja la wanasiasa kama hawa.
Ukiangalia majina yalivyotoka ni wazi kuwa majina anapelekewa mwenye mamlaka ya kuteua bila kuangalia nani anafaa na ananondo za nguvu kiasi gani.
Ushauri tu kwa kada wa...
Namnukuu mwanajamvi mwenzetu white wizard:
"Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia...
Ndani ya miezi miwili tumeshuhudia viongozi wakubwa wawili toka enzi za awamu ya mwendazake wakikutana na madhila makubwa tu kutokana na tabia yao ya kujikomba/kujipendekeza/kujiparata kwa kiongozi anayehusika na teuzi na mamlaka ya kinidhamu dhidi yao.
Hawa ni wafuatao:
1. Lengai ole Sabaya -...
Kila kukicha hotuba za Rais SSH kwenye mikutano na dhifa mbalimbali zinaakisi kauli yake Mimi ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kauli hiyo inatuma ujumbe mzito kwa wateule wake kwamba wasithubutu kumdharau kwa kwa sababu ya jinsi yake. Hoja yangu hii inathibitishwa na maagizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.