wateule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Badala ya kuwatumia wateule wenu kuanzisha michakato na kamati feki, CCM simameni mjibu hoja za washindani wenu

    Suala la katiba mpya na mikutano ya kisiasa vinazidi kuwanyima CCM usingizi. Badala ya kujibu hoja kwa majibu mujarabu wanaanza kuwatumia watu kama msajili wa siasa kufanya maigizo mbele ya umma. Kwanza haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Jambo/mambo wanayodai washindani wenu yapo kisheria...
  2. F

    Hukumu ya Sabaya yaweza kuwapa wananchi kiburi ya kuibua tuhuma zingine kwa wateule awamu ya 5 na hata ya 6.

    Wadau hii hukumu sio ya kawaida. Narudia sio ya kawaida. Hukumu hii yaweza kuibua kesi hata za kutengenezwa tu ili kuwakomoa wateule wa awamu ya Magufuli na hata wa Rais Samia. Ni suala la muda tu. Wananchi wa kawaida wanaweza kutumika au hata watu maarufu kutumia mwanya huu kutekeleza azma...
  3. S

    Ushauri: Sabaya ukiwa jela andika kitabu kitachosaidia wateule wenzako yasiwakute yaliyokukuta

    Kama sheria na taratibu zinaruhusu wafungwa kuandika kitabu, nakushauri utumie muda wako wa kuwa kifungoni uandike kitabu kitachoeleza kila kitu yakiwemo yale ambayo hukuyasema mahakamani (kama yapo) ili usaidie wenzako yasiwakute yaliyowakuta. Kwasababu umeshaenda jela(unless unataka kukata...
  4. Dodoma: Rais Samia awaapishwa viongozi wateule leo Oktoba 11, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwaapisha Viongozi Wateule watatu walioteuliwa Oktoba 08, 2021. Jaji Mustapha Siyani ameteuliwa kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Omar Othman Makungu ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Pia, Sophia Edward...
  5. Ninavyowafahamu wateule wapya wa Rais Samia kwa historia yao ya nyuma na uhusiano wao na viongozi wa leo

    Wote walioteuliwa wanafahamika kwa sura na kwa tabia. Sababu za kuteuliwa kwao ndo vigumu kuzitambua. Hapa nitajaribu kuzitaja kadri ninavyowafahamu. Tuanze na Stergomena Tax Huyu ni mtu mwenye elimu nzuri, mwanamke ambaye ktk wengi walioko baraza, hatuna wanawake wenye uwezo. Ana matatizo yake...
  6. Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

    Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi. KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED 1. Ensuring the existence of a formal and satisfactory system of financial administration; 2. Securing compliance with the...
  7. K

    Waziri wa TAMISEMI tafadhali tafuta fedha uandae semina elekeza ya wateule wapya

    Nadhani maisha yalivyo ni kwamba watoto wa viongozi wakihitimu vyuo awatafuti tena kazi wanasubiri uteuzi. Kwa ukubwa nafasi hizi zilizotoka naomba waziri atumie busara kuandaa semina elekezi la sivyo uchumi wetu utakufa kabisa. Ni sawa mmeamua V8 zipaki nyumbani kwenu yaani baba, mama na...
  8. N

    Wateule wa Hayati Magufuli hawamfai kamwe Rais Samia Suluhu, hawakuwa na huruma wala utu

    Samia alichoshindwa kuelewa ni kuwa pamoja na kuwa alikuwa ni Makamu wa Rais hakuumbwa kuwaza au kufikiri au kutenda au kunena au kufanya kitu chochote kama alivyokuwa Mtangulizi wake. Kwanza namna alivyowekwa pale na majukumu ya Makamu yalivyo KiKatiba alikuwa ni mtu passive tu - yaani...
  9. Rais Samia awaapisha Balozi Batilda kuwa RC Tabora na Zuwena Omari kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga.
  10. Mnaoteuliwa kumbukeni kulipa Imani na Amani

    Bila shaka aliyekuteua anafahamu machache sana kuhusu wewe ila mengi unayo wewe mwenyewe kwenye akili na moyo wako. LAKINI bila shaka aliyekuteua katanguliza IMANI kwako kuwa utaweza kumsadia yeye kwenye malengo yake. Hivyo Imani lazima izae Imani. Wakati huohuo lazima ufahamu kuwa uteuzi wako...
  11. TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
  12. Kwa wateule hawa, bora Pascal Mayalla asiteuliwe maana itakuwa kumdhalilisha tu

    Haiwezekani kichwa kilichojaa nondo na busara kama Pascal Mayalla kiwe kwenye teuzi na kundi moja la wanasiasa kama hawa. Ukiangalia majina yalivyotoka ni wazi kuwa majina anapelekewa mwenye mamlaka ya kuteua bila kuangalia nani anafaa na ananondo za nguvu kiasi gani. Ushauri tu kwa kada wa...
  13. Tuache kuwalaumu wateule wa awamu iliyopita, hali ilikuwa ngumu sana

    Namnukuu mwanajamvi mwenzetu white wizard: "Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia...
  14. A

    Matumizi mabaya ya Media kwa Viongozi Wateule Serikalini

    Ndani ya miezi miwili tumeshuhudia viongozi wakubwa wawili toka enzi za awamu ya mwendazake wakikutana na madhila makubwa tu kutokana na tabia yao ya kujikomba/kujipendekeza/kujiparata kwa kiongozi anayehusika na teuzi na mamlaka ya kinidhamu dhidi yao. Hawa ni wafuatao: 1. Lengai ole Sabaya -...
  15. Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

    TUliwaambia huko nyuma, huyu Chalamila ni hafai
  16. Wateule wa Rais Awamu ya Sita kitanzi shingoni

    Kila kukicha hotuba za Rais SSH kwenye mikutano na dhifa mbalimbali zinaakisi kauli yake Mimi ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kauli hiyo inatuma ujumbe mzito kwa wateule wake kwamba wasithubutu kumdharau kwa kwa sababu ya jinsi yake. Hoja yangu hii inathibitishwa na maagizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…