watoto wa kike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    DC Singida: Wasiopeleka watoto wa kike shule tutawachukulia hatua

    Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili amesema wazazi wote ambao hawatawapeleka watoto wa kike shule watachukuliwa hatua. Akizungumza kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani yaliyofanyika kiwilaya katika mji mdogo wa Ilongero wilayani Singida, amesema...
  2. The Sheriff

    Singida: DC Muragili awasihi wazazi kuwasaidia watoto wa kike kujikwamua kiuchumi wanaposhindwa kuendelea na masomo

    Wazazi na walezi wameaswa kuwatafutia njia mbadala watoto wao wa kike ya kujikwamua kiuchumi inapotokea kukatishwa ndoto zao kwa kushindwa kuendelea na masomo kwasababu mbalimbali ikiwemo kubebeshwa mimba. Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili alitoa wito huo wakati akizungumza...
  3. beth

    TAMWA: Vitendo vya ukeketaji vikemewe hadharani

    TAMWA inatoa wito kwa viongozi mbalimbali wa serikali kuanzia ngazi ya kata hadi wizara kukemea hadharani vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike, huku tukiwashirikisha wanaume katika mchakato mzima wa kupinga ukeketaji dhidi ya watoto. Ukeketaji licha ya kuvunja haki za binadamu pia unaleta...
  4. B

    Kwanini watoto wa kike siku hizi wanapiga sana picha za utupu?

    Wasalaam Imekuwa kama fasheni sasa watoto wa kike hasa vyuoni kupiga picha za utupu either wakiwa na wapenzi wao au wao kwa wao. Na hii imeleta usumbufu mkubwa kwa wazazi na familia mara tu zinaposambaa hizi picha. Wazazi tatizo ni malezi au ndo utamaduni wetu unayumba. Niliwahi kwenda India...
  5. Uchumi wa Mifugo

    SoC01 Mimba za utotoni ni "kaburi" la ustawi wa Watoto wa Kike nchini

    Amina (siyo jina halisi)mwanafunzi wa kidato cha tatu katika mojawapo ya shule za sekondari wilayani Kibaha mkoa wa Pwani kila siku anaamka saa 11 ili awahi kwenda shule,shule iliyopo umbali wa kilometa sita kutoka nyumbani kwao.Kila siku anaenda na kurudi kwa miguu, nyumbani hapati kifungua...
  6. S

    SoC01 Malezi bora kwa watoto hasa wa kike kwa Taifa bora la kesho na maendeleo

    Watoto wetu wa leo ndio taifa letu la kesho, Ikiwa tutawaandaa vyema tutatengeneza jamii na taifa bora pia lenye nguvu baadae na kufikia malengo kwa haraka zaidi . Tukitaka kufikia malengo na kuwa na taifa bora na lenye nguvu kwanza tunatakiwa kujenga misingi imara kwa watoto wa kike kwani: -...
  7. KAGAMEE

    Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

    Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
  8. Zero Competition

    Huwa unatafsiri vipi unapoitwa shem darling

    Heshima kwenu wadau MMU Kuna huu usemi ambao huwa wanapenda sana kuutumia watoto wa kike pindi unapokua shemeji yao hasa ukiwa unatoka kimahusiano na rafiki yao wa kike. Usemi huu ni wakawaida ingawa kila mmoja wetu huenda akawa anautafsiri kwa namna anavyoona inafaa, wengine husema kwamba...
  9. mediaman

    Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

    Hali hii hutokea katika ndoa nyingi. Mke anazaa watoto wa jinsia moja tu mfululizo, ama wa kike au wa kiume tu. Wazazi wengi huwa wanapenda wapate watoto wa jinsia zote. Kwa sababu hiyo inapotokea wanapata watoto wa kiume tu au wa kike tu huanza kutafuta njia ya kutatua 'tatizo' hilo. Wengine...
  10. 6321

    Watoto wa kike vijijini ni balaa

    Leo nimeshangaa sana baada ya kupitia report na data za DHS 2015/16. Yaani vijijini mabinti wanaongoza kwa kuanza kufanya mapenzi wakiwa watoto chini ya miaka 10, ni tofauti na mjini tunapodhani ndio pabaya kuliko basi kwa uhalisia vijijini mmenishangaza.
  11. Pascal Mayalla

    Total Wampongeza Rais Samia, "Urais wa Samia, Waipaisha Tanzania Kimataifa", Yawahamashisha Watoto wa Kike Kusoma Kwa Bidii, Wawe Kama Samia!.

    Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, zimempongeza rais wa Tanzania, Rais Mama Samia Suluhu Hassan, sio tuu kwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali pia kwa kuwa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mwanamke...
  12. J

    Mimba za utotoni sio changamoto pekee kwa Watoto wa kike

    Mbali na suala la mimba za utotoni imebainika pia kwamba changamoto nyingine wanazokumbana nazo watoto wa kike ni pamoja na ukosefu wa taulo pindi wanapokuwa katika siku zao. Baadhi ya Familia, Koo na Makabila kuendeleza mila ya kutoa kipaumbele kwa Mtoto wa kiume kwenye fursa za maendeleo...
  13. GENTAMYCINE

    Mimba za Utotoni kwa Watoto wa Kike Mkoani Ruvuma ni kama vile Israeli na Roho ya Binadamu!

    Jumla ya wazazi 35 wakazi wa Kata ya Nalasi katika Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wamekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuwafungia watoto wa kike chini ya miaka minane huku wakiwafundisha mbinu za kuishi na wanaume maarufu kama “Msondo” mila ambayo imekuwa ndiyo chanzo kikubwa cha mimba za...
  14. Mzukulu

    Ushauri: Shule zikifunguliwa, Watoto wa kike wapimwe ujauzito

    Close to 4,000 school girls impregnated in Kenya during COVID-19 lockdown Karibia Wanafunzi wa Kike 4,000 wamepewa Ujauzito nchini Kenya baada ya Kujamiiana sana wakati wa Zuio la Kutokutoka la CORONA. Chanzo: Daily News Tanzania
  15. The Assassin

    Wenye watoto wa kike wafundisheni binti zenu kujitegemea, wasitegemee pesa ya mwanaume

    Sijui ni dhiki ama ni tabia. Mabinti wengi wa kitanzania wanawaza pesa za mwanaume tu. Utasikia mwanaume lazima uwe na hela, maanaume asie na hela simtaki, sijui vitu gani. Mabinti wengi wa kitanzania wanajifunza tabia za kikahaba toka wakiwa wadogo, wanawaza pesa za mwanaume tu. Ni kweli...
  16. J

    Dkt. Abbas na Abdul Nondo watofautiana namna watoto wa kike wanaopata mimba shuleni watakavyoendelea na masomo

    Dr Abbas ambaye ni msemaji mkuu wa serikali anasema wanafunzi wanaopata mimba shuleni hawatarudi kuendelea na masomo katika mfumo rasmi bali wataruhusiwa kupitia mfumo usio rasmi yaani private candidates. Abdul Nondo boss wa vijana pale ACT wazalendo anapinga vikali yeye anataka wanafunzi hawa...
  17. Gily Gru

    Nini kifanyike kuboresha malezi ya watoto wa kike?

    Wadau poleni kwa hofu ya Corona Ngoja niende moja kwa moja na mada yangu. Kutokana na wanafunzi kupewa likizo warudi majumbani mdogo wangu wa kike ambaye yuko form two amefika kwangu. Wiki iliyopita nimesikia akiongea na simu usiku nikanyata mpaka mlangoni kwake nisikie anaongea na nani saa...
Back
Top Bottom