Wakuu,
Rais Samia na First Gentleman wana watoto 4 (waotambulika kiserekare), wakike mmoja na wakiume 3. Watoto wanaojulikana ni wawili: Wanu ambaye amekuwa mbunge wa viti maalum na sasa kajitosa kwenye kugombea pamoja na Abdul ambaye habari zake tumesikia na hivi karibuni Jeshi la Polisi...