Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Rais Samia na First Gentleman wana watoto 4 (waotambulika kiserekare), wakike mmoja na wakiume 3. Watoto wanaojulikana ni wawili: Wanu ambaye amekuwa mbunge wa viti maalum na sasa kajitosa kwenye kugombea pamoja na Abdul ambaye habari zake tumesikia na hivi karibuni Jeshi la Polisi limejitokeza haraka sana kujibu tuhuma za kumhusisha na kifo cha mwandishi lakini hatujawaona wakitoka kwa haraka hivi kukana tuhuma za Mafwele, au matukio mengine ambayo polisi wamekuwa wakihusishwa mara kwa mara kwenys kufanya uvamizi kama walivyovamia ofisi za JamiiForums (lakini Gerson Msigwa akageuka msemaji wao ghalfa
) na matukio kadha wa kadha ya utekaji.
Hawa watoto wawili wengine wa kiume ni kina nani? Kwanini hawajulikani mpaka sasa? Nimekwenda kutafuta mtandaoni kuona kama ntapata chochote kuwahusu, lakini hakuna kitu.
Hata Abdul nadhani amejulikana sababu 'anapiga kelele sana', hajui kula na vipofu, maana hata naye jina lake halikuwekwa kwenye wasifu wa Samia, ni Wanu pekee.
Hawa wawili waliobaki hawawezi kuwa wanajihusisha katika shughuli haramu, ufisadi wa kutisha au matukioni mengine maovu?
JF hamuwezi kuwa hamna taarifa zao kabisa, wazee wa kuchimba tuleteeni faili zao tuwachambue.
Rais Samia na First Gentleman wana watoto 4 (waotambulika kiserekare), wakike mmoja na wakiume 3. Watoto wanaojulikana ni wawili: Wanu ambaye amekuwa mbunge wa viti maalum na sasa kajitosa kwenye kugombea pamoja na Abdul ambaye habari zake tumesikia na hivi karibuni Jeshi la Polisi limejitokeza haraka sana kujibu tuhuma za kumhusisha na kifo cha mwandishi lakini hatujawaona wakitoka kwa haraka hivi kukana tuhuma za Mafwele, au matukio mengine ambayo polisi wamekuwa wakihusishwa mara kwa mara kwenys kufanya uvamizi kama walivyovamia ofisi za JamiiForums (lakini Gerson Msigwa akageuka msemaji wao ghalfa

) na matukio kadha wa kadha ya utekaji.Hawa watoto wawili wengine wa kiume ni kina nani? Kwanini hawajulikani mpaka sasa? Nimekwenda kutafuta mtandaoni kuona kama ntapata chochote kuwahusu, lakini hakuna kitu.