Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
- Thread starter
- #41
Then taarifa zake za public ni za uwongo?! Kwenye taarifa hizo zinasema ana wakiume 3, na wakike 1Wewe ndio umechanganya madesa.
Samia ana watoto wa nne.
Abdul ndio wa kiume pekee, wengine wa kike.
Mmoja yupo marekani sio maneno yangu ya mama yake mwenyewe, hadharani.
Watatu Wanu
Wa mwisho mdogo tafuta misa ya kumbukumbu ya Magufuli Chato mwaka juzi utamuona (alifanya interview fupi akasema katumwa na mama yake kumuwakilisha). Huyo kitenda mimba ukimuona early 20’s au late teens (mtoto hata kwa sura kipindi hiko).