Hivi watoto wawili wengine wa Rais Samia ni kina nani na wanafanya shughuli gani? Hawahusiki kwenye mambo haramu?

Hivi watoto wawili wengine wa Rais Samia ni kina nani na wanafanya shughuli gani? Hawahusiki kwenye mambo haramu?

Si ndiyo Raisi wenu huyo, au?!! 🤣🤣🤣🤣🤣
Jibu kwa swali lipi labda dada'angu?!!!!
Dada'ako nani bana ntolee nuksi mie

Kumbe nyie hamuamini kama mama ni Rais? Maskini, mama ana tabu sana :BearLaugh: :BearLaugh:
 
Yupo mtoto wa Samia,I forget his name,amemuoa Tunda mtoto wa Shengena. Sijui kama unamfahamu Shengena ( marehemu) alikuwa kada wa CCM.
Huyo Nuhu? Au nawe una jina lingine la mtoto huyo?🤔🤔
 
JF hamuwezi kuwa hamna taarifa zao kabisa, wazee wa kuchimba tuleteeni faili zao tuwachambue.
Kwanza wazazi wa huyo mama ni akina nani na wapo wapi. Uliwahi kusikia wakitajwa popote, mbali ya wajomba waliko Oman?
Abdul ambaye habari zake tumesikia na hivi karibuni Jeshi la Polisi limejitokeza haraka sana kujibu tuhuma za kumhusisha na kifo cha mwandishi
Taarifa hii imenistua, kwani ndio kwanza naipata. Kifo cha Mzee Ally Mohamed Kibao ni vigumu sana kumtenganisha huyu dogo na tukio lile. Sasa mambo yanazidi kuwa mengi.
 
Wakuu,


Rais Samia na First Gentleman wana watoto 4 (waotambulika kiserekare), wakike mmoja na wakiume 3. Watoto wanaojulikana ni wawili: Wanu ambaye amekuwa mbunge wa viti maalum na sasa kajitosa kwenye kugombea pamoja na Abdul ambaye habari zake tumesikia na hivi karibuni Jeshi la Polisi limejitokeza haraka sana kujibu tuhuma za kumhusisha na kifo cha mwandishi lakini hatujawaona wakitoka kwa haraka hivi kukana tuhuma za Mafwele, au matukio mengine ambayo polisi wamekuwa wakihusishwa mara kwa mara kwenys kufanya uvamizi kama walivyovamia ofisi za JamiiForums (lakini Gerson Msigwa akageuka msemaji wao ghalfa :KEKLaugh::BearLaugh:) na matukio kadha wa kadha ya utekaji.

Hawa watoto wawili wengine wa kiume ni kina nani? Kwanini hawajulikani mpaka sasa? Nimekwenda kutafuta mtandaoni kuona kama ntapata chochote kuwahusu, lakini hakuna kitu.

Hata Abdul nadhani amejulikana sababu 'anapiga kelele sana', hajui kula na vipofu, maana hata naye jina lake halikuwekwa kwenye wasifu wa Samia, ni Wanu pekee.

Hawa wawili waliobaki hawawezi kuwa wanajihusisha katika shughuli haramu, ufisadi wa kutisha au matukioni mengine maovu?

JF hamuwezi kuwa hamna taarifa zao kabisa, wazee wa kuchimba tuleteeni faili zao tuwachambue.
Ni haki Yao kutokujulikana maana ni chaguo Lao ni watu wazima ,pengine hawataki mambo ya Siasa kabisa
 
Wa Samia yupo marekani kasema mwenyewe mtoto wake ni diaspora. Wa Jakaya ndio yupo uingereza na yeye kurudi pia no.

Samia uingereza alikuwa anaishi mtoto wa mdogo wake (mpwa wake). Huyo binti amesharudi bongo kapata tapeli mmoja anaishi nae Morogoro siku hizi.
Mkuu utapeli mimi nimeanza lini?
 
Wako wanapiga tunguli

G0XpIDwWYAAEELX.jpeg


Kumbe wanayajua je?
 
Samia uingereza alikuwa anaishi mtoto wa mdogo wake (mpwa wake). Huyo binti amesharudi bongo kapata tapeli mmoja anaishi nae Morogoro siku hizi.
Mayor Quimby uko deep sana lakini huyo binti tunagongana nae sana masaki nadhani ana nyumba masaki.

Kanenepa sana siku hizi sio kama alivyokuwa UK. Macho yale yale ya kizimkazi
 
Ana watoto wa4 Kwa mumewe Hafidh ameir Mume anaetambulika kiserikali....

Wanu hafidh Ameir

Nuhu hafidh ameir

Mariam hafidh ameir

Mwanu hafidh ameir-kitinda mimba

Huyu mwingine Mnaemjua sana mitandaoni...nisiongee sana! Ila ni wa MAMA....Kama una akili umeshaelewa!
View attachment 3469187
Abdul mbona hayupo
 
Huu ukimya huku kaka yao akiwa kilaza vile, si wa kawaida!
Huyo ndio mwenye akili kupita hao. Familia hiz huchagua na kuwaandaa warithi wa nafasi zao. Mfano Ridhiwani. Kikwete anao watoto ambao hawajulikani public. Sio kimakosa ni kwa mipangilio.
Pia Mwiguru anajifunza mchezo huu wa kihuni
 
Back
Top Bottom