Ondoa Hy QuotationNimetoka kapa🥲
Unakatika mkono ukiondoa ?Sasa mbona umeanza vurugu Mkuu? Kwanini niiondoe?
Mkuu mwingine hapa katoa majibu tofauti tena! Mbona kivumbi!Mbona Samia mwenyewe aliwahi sema mmoja ni Diaspora anaishi marekani na raia huko wenye familia yake.
Hana mpango wa kurudi kuishi Tanzania, kwa mujibu wa mama yao.
Tafuta clips za ziara zake US au akiongelea mambo ya diaspora na dual citizenship. Aliwahi lalama hata yeye ni muanga hawaoni wajukuu zake vile kama anavyopenda.
Wa mwisho nae anaishi Tanzania (nadhani) mara ya kuonekana hadharani ilikuwa Chato kwenye kumbukumbu za Magufuli mwaka juzi.
Kwahiyo wote ni wakike isipokuwa mmoja? Nani nilipoiuliza Gpt ilinipatia majina tofauti🤣🤣🤣Ana watoto wa4 Kwa mumewe Hafidh ameir Mume anaetambulika kiserikali....
Wanu hafidh Ameir
Nuhu hafidh ameir
Mariam hafidh ameir
Mwanu hafidh ameir-kitinda mimba
Huyu mwingine Mnaemjua sana mitandaoni...nisiongee sana! Ila ni wa MAMA....Kama una akili umeshaelewa!
View attachment 3469187
Kwamba!Ana watoto wa4 Kwa mumewe Hafidh ameir Mume anaetambulika kiserikali....
Wanu hafidh Ameir
Nuhu hafidh ameir
Mariam hafidh ameir
Mwanu hafidh ameir-kitinda mimba
Huyu mwingine Mnaemjua sana mitandaoni...nisiongee sana! Ila ni wa MAMA....Kama una akili umeshaelewa!
View attachment 3469187
Ndio the best umeweza kuja nacho? You can do better bana, embu jipigepigeKweli ugonjwa wa akili kwa Sasa Tanzania ni tatizo kubwa......watu wamechanganyikiwa kupitia kiasi. Si ajabu ukamuona mtu anatema mate kulia anafukia kushoto.



Wewe ndio umechanganya madesa.Mkuu mwingine hapa katoa majibu tofauti tena! Mbona kivumbi!
Na post ishafutwa🥹Nimetoka kapa🥲
Shida sana yaani sisi binadamu. Inasikitisha zaidi kuona anayefanya uchawi huu ni mrembo. Kwani watoto wa mkombozi wenu (🤣🤣🤣) lissu mnawajua wote tayari Hadi muanze kumfuatilia Samia?!!!!Ni kawaida kila familia ina low key members
Kwani watoto wa magufuli unawajua wote?
Watoto wa kikwete je?
Mkapa?
Mwinyi?
Nyerere?
Nafikiri ni Uingereza na sio Marekani. Yes ni wa kike.Wewe ndio umechanganya madesa.
Samia ana watoto wa nne.
Abdul ndio wa kiume pekee, wengine wa kike.
Mmoja yupo marekani sio maneno yangu ya mama yake mwenyewe, hadharani.
Watatu Wanu
Wa mwisho mdogo tafuta misa ya kumbukumbu ya Magufuli Chato mwaka juzi utamuona (alifanya interview fupi akasema katumwa na mama yake kumuwakilisha). Huyo kitenda mimba ukimuona early 20’s au late teens (mtoto hata kwa sura kipindi hiko).