Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi.
Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine.
Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi.
Napenda kumshauri huyu ndugu atafute shughuli nyingine au anaweza fungua kampuni ya PR awe msemaji wa celebrities na watu wataohitaji...
Baada ya serikali kupuuza kuboresha maslahi ya walimu na ukiwaona ni tabaka la wanyonge
Walimu nao wamegoma
Na mgomo haukutangazwa hadharani
Yaani wanatoa huduma duni sawa na maslahi duni wanayopewa na Serikali
1. Watoto wa shule wana muda mrefu wa kucheza tu
Yaani walimu ikifika saa 4...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu.
Dominika njema
Kama mjuavyo teknolojia ilivyotaradadi Kila Kona ya Duniani. Utazamaji wa Television (TV) umekuwa haukwepeki.
Shida katika maudhui yanayorushwa kuna maudhui yasiyofaa kuangalia na vijana wetu ambao Bado hawajajua kuchanganua mambo.
Kuna muda unataka uangalie zako tamthilia nawao hao wapo hapo...
Wakina diddy wamevamia sekta ya day care
Ni mwendo wa kutengeneza mashoga wengi maana mtoto wa kiume atajua kufirw ni kawaida maana alikuwa molested tangu utotoni
Yale ya dereva na mwenzake wa school bus kubaka kaanafunzi ka kike ka-kindergarten.
Kesi za kujirudia rudia za Waalimu wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa Namtumbo Mkoani Ruvuma iliyopewa jina la ya Dr.Samia Suluhu Hassan ambayo ujenzi wake umegharimu Shilingi Bilioni 4.6 leo September 27,2024.
RAIS SAMIA...
Hakuna ambaye hapendi kuona mtoto au kijana wake akipata maarifa bora na elimu ambayo mwisho wa siku itamsaidia katika maisha yake. Elimu ambayo inakwenda kumuinua zaidi mtoto na kumfanya awe msaada kwa familia, jamii na taifa kwa ujumla. Ni jambo zuri sana ukimuona mtoto wako akitumia maarifa...
Kuna baadhi ya wazazi wamekuwa Na nongwa sana hasa pale umri unapoanza kuwatupa mkono. Mzazi, hasa hawa wa kike, anakuwa ni mtu wa malalamiko, usipoangalia vizuri na kulaaniwa utalaaniwa.
Kumbuka ewe mzazi mwenzangu huyo mtoto unaemtupia lawama za kufeli kwao maisha nae anayapigania maisha yake...
Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
bado
confidence
english
english medium
hata
huwa
kimbilio
kitu
kuishi
kwao
kwenda
lugha
nje
pekee
shida
ugumu
waganda
wakenya
walimu
wanafunzi
wao
watanzania
watotowatotowetu
wazambia
Ni saa 10 na nusu alfajiri ninaamka kujiandaa kwa ajili ya kwenda harakati, nafuata taratibu zangu za kila siku, napiga goti namshukuru Mungu kwa uzima naingia bafuni kujishikashika na sabuni pamoja na maji ya baridi ili kuzimua akili ikae mguu sawa. Huwa nachukua nusu saa tu kujiandaa na kwenye...
1. Kama tunaitaji kusonga mbele kimaendele, Yani maendeleo ya inchi nikimanisha miundombinu ,afya ,ajila mawasiliano na maendeleo ya mtu moja moja tunaitaji wawakilishi wetu bungeni wawe ni watu wenye elimu kuanzia degree na kuendelea tunataka watu wanaoweza kuangalia mambo kwa upana wanao...
Kwa dunia ya leo ya ulimwengu wa kidigitali, ni lazima somo la hisabati lipewe kipaumbele kwakuwa ni msingi wa program nyingi za teknolojia ya kisasa. Mifumo mingi ya kidigitali tutanyotumia leo katika shughuli mbalimbali ina chembechembe za hisabati katika utengenezaji wake na utumiaji wake...
Wanasema watoto wetu ni maisha yetu ya baadaye. Hili ndo kundi ndio watakaopeleka vizazi vyetu mbele zaidi na kuvumbua mbinu mpya za kufanya maisha ya mwanadamu kuwa endelevu na yenye starehe zaidi. Lakini kama wazazi na walezi, lazma tuzungumzie kuhusu siku zijazo; tuwe na umakini mkubwa katika...
Sina sababu ya kueleza mengi sna kuhusu Elimu na investment kwa kuwa kila mahali yanazungumzwa na kurudiwa rudiwa. Lakini watu wote wanasahau element muhimu sana ya network.
Network ni namna ambavyo unajijenga ndani ya kundi muhimu la marafiki, washirika, alumnus mbalimbali na ata wale wa...
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma kutokea mkoa wa Morogoro, wamesema hawautaki mchele huo na wametoa tahadhari kwa mtu yeyote...
Tathmini yangu binafsi inaoonyesha mafunzo ya JKT yanawafanya vijana kuona kama wao ni wanajeshi na kwamba ujeshi ni ukatili kitu ambacho siyo kweli.
Katika ulimwengu ulioendelea mwanajeshi ni binadamu mwenye mafunzo na nyenzo za kuisaidia jamii kukabiliana na maadui na siyo kuwafanya jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.