Leo kila Mtanzania anafaraja kwamba baada ya kujitafuta sana leo tumejipata. Siyo kwamba hatuna team ila team inayopelekwa mbele inakosewa.
Kikosi cha leo kuna watu waliwaambia kuna 1.2 bilioni, natambua walisema hivyo hawakumaanisha ila tuwashinikize watekeleze.
Kama waliweza kuahidi fedha...
Kwa siku hizi naona kuna uzungu mwingi sana kwa vijana wengi, nikajiuliza hivi watoto wa sasa wa shule za msingi hufungwa mambo ya kitamaduni?
Hapo ni watoto wa shule ya Msingi Oysterbay wakichenza ngoma za asili kwenye mahafali ya mwaka 1987. Je, wa sasa wanaweza cheza ngoma?
Kijijini kwetu huwa tunarudi wote kwa pamoja kukiwa na msiba tu, nje ya hapo kila mtu huwa anarudi kimpango wake, kuna ambao hawarudigi kabisa.
Tunaoishi mijini hatujawazoesha watoto warudi kwao, wakiwa wakubwa wanashindwa hata kurudi kwao kwasababu hawajapazoea, Nina marafiki wengi waliokulia...
Hii ni Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA iliyoko Kata Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoani Kagera.
Wazazi wa wanafunzi wa shule hii wameandika Barua kwa Rais Samia Suruhu Hassan, Waziri Mkuu na Waziri wa Elimu wakitaka kusaidiwa kutokana na kile wanachoeleza wamechoka na michango, rushwa ...
Ndugu watanzania , Vijana wetu wawili waliomiongoni na vijana wengine waliopelekwa nchini Israel kwa ajili ya mafunzo ya kilimo wametekwa na kundi la kigaidi ambalo linaungwa mkono na palestina vijana hao kwa majina ni Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga
Taarifa hizi zimechapishwa...
Nimekuwa nikijaribu sana kuwasoma wanafalsafa wa miaka ya nyuma. Na kwasasa nikijiangalia kuna mengi sana yamebadilika kwenye maisha yangu, hususani kwenye maadili na kuwa na self control ya maisha yangu.
Haya ni moja wapo ya mambo ambayo falsafa inazidi kunifundisha
1. Usiwe mtu wa kulalamika...
Vyakula wanavyopikiwa wanafunzi na vikundi fulani vyenye mafungamano na walimu wa shule sio salama kabisa! Tunaambiwa watoto kila siku watoe 1000 ya chakula, kwa mfano shule moja Chanika inawanafunzi 1800, wanafunzi 1500 wanakula shule na wengine wanaingia mchana.
Kwa mantiki hiyo kila siku...
Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC), Julai 26, 2023 Jijini Dar es Salaam.
Amesema “Lazima tuwafundishe Watoto wetu kuhusu uzazi wa mpangilio, kama nilivyosema Afrika...
Sababu kuu ya kuwatoa wangu shule ya kiingereza nakuwarejesha kayumba ni uchumi lakini kama unavyo jua tena ukitaka kumuua paka lazima kwanza umpe jia baya. mimi sababu zifuatazo ndizo ambazo zinanifariji katika kipindi hiki ninacho watoa watoto wangu english medium kuwaleta kayumba.
Kwanza...
INTRODUCTION
Eeeh bwana eeeh! Wazima humu na Heri ya pasaka sanaaa.
NB: Sina maana yoyote ya kudhihaki kutokana na kichwa cha habari.
Anyway baada ya salama twende kwenye mada.
SCENARIO
Nina jamaa angu huu mtaa lilipo duka langu.
Huyu jamaa angu yamemkuta MAKUBWAAAA kwenye ndoa yake (Tumuite...
Mtoto anakosea na kurudia na humchapi kwa kuiga dunia ya mbele kwamba asiumie lakini mzazi anajizima data kwamba hapa bongo adhabu zake huwa ni vipigo kwa mtu anaezingua, mtoto kaiba huko akidhani kwamba ataonywa kama ilivyo kwa daddy na mommy, matokeo yake anapokea kichapo kizito sana ambacho...
Shule ya Msingi Muvinza iliyopo Kata ya Kagerankanda, Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma ina changamoto ya upungufu mkubwa wa madarasa na madawati hali nayowafanya wanafunzi wengi kusoma nje na wengine kusoma wakiwa wamekaa chini katika madarasa machache yaliyopo.
Wanafunzi ambao wameanza elimu ya...
adolf mkenda
amavubi gfsonwin
elimu
ikulu
king'asti asprin
kusikitisha
kwenda
madarasa
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
rais
rais samia
ukatili
ukosefu wa madawati
video
wanafunzi
watotowetu
waziri
yanga
Inaumiza, yaani inaumiza sana. Wanawake tutulie tu jamani. Dunian hakuna jipya. Mbona kila baya lina majuto, kwanini tusijifunze kupitia hilo?
Yaani mumeo anapambana na kuvuja jasho la meno lakini kumbe anaowapambania wamebakiza kumuua tu. Hatuwezi kushauriana eti tucheat kwa akili...
Wasalaam wana JF
Naomba nikiri katika pita pita zangu za kielimu nimegundua mambo yafuatayo:
1. Elimu inapaswa ifundishe watu kutatua matatizo yao na siyo yenyewe kugeuka kuwa tatizo.
2. Siyo kila tatizo la kidunia linatatuliwa na mfumo rasmi wa kielimu ambao unapima uwezo wa kukariri na si...
Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa...
Habari wana jukwaa,
Hii video inaeleza jinsi houseboy alivyomfanyia mtoto wa bosi wake, kwa kweli inatia kinyaa. Ningekuwa mimi ndiyo mzazi wa huyo mtoto haki ningeua mtu.
"Mtoto mdogo alikuwa akimpenda sana houseboy na familia ilikuwa haielewi ni kwanini, baada ya muda mtoto akaanza kukataa...
Ndugu Wazazi kuweni makini sana na watoto wenu wanaosoma shule za binafsi kwa sababu kuna mtoto wa rafiki yangu yupo darasa la nne shule X walikuwa wanafanya mtihani wa darasa la nne WILAYA sasa kuna mwl alikuwa anasimamia hiyo shule na anafahamiana na mzazi wa huyo mtoto wake anayesoma hiyo...
TUWALINDE NA KUWATUNZA WATOTO WA KIUME
Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa ukuu wake katika maisha yangu, lakini pia nimshukuru Mungu kwa kuumba jinsia mbili hapa duniani, yaan jinsia ya kiume na jinsia ya kike, na zaidi ya hapo amegawanya majukumu ya kufanya kwa kila jinsia katika...
Unyanyasaji wa wenza majumbani ni aina ya Unyanyasaji wa Kijinsia unaohatarisha afya ya umma ulimwenguni kote na huletelea madhara kisaikolojia, kiuchumi na kiafya kwa mtu binafsi, familia na jamii.
Unyanyasaji wa wenza majumbani ni tabia ya ndani ya mahusiano ya kimapenzi zinazoletelea madhara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.