Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Tamaa za madaraka hazina maana yoyote, ndio kiini cha mauwaji na machafuko kwenye nchi. mnaweza kujifunza kwa mataifa mengine hapa Africa yaliyokuwa na watu wa namna hii.
Mtu unauwa ili kupata madaraka, kumbuka uhai ni kitu cha msingi kuliko madaraka ndio maana ili uwe na madaraka lazima uwe kwanza na uhai,
Mataifa ya watu waliokuwa na tamaa za madaraka damu nyingi zilimwagika za watu wasio na hatia, yani unawauwa wenzako kwaajili ya madaraka wewe huna akili.
Watanzania jifunzeni na kuwafundisha watoto wenu kuacha tamaa za madaraka ili kutengeneza taifa bora.