Ni saa 10 na nusu alfajiri ninaamka kujiandaa kwa ajili ya kwenda harakati, nafuata taratibu zangu za kila siku, napiga goti namshukuru Mungu kwa uzima naingia bafuni kujishikashika na sabuni pamoja na maji ya baridi ili kuzimua akili ikae mguu sawa. Huwa nachukua nusu saa tu kujiandaa na kwenye...