Ifuatayo ni aina mbili za watu maarufu kuhusu misimamo yao juu ya ya Dp World.
Watakao kataaa mwanzo mwisho suala la bandari.
1. Dr Salaa
2. Fr. Kitima
3. Mwanasheria wa Mbeya
4. Askofu Mwamakula
5. Prime Minister
6. Lukuvi
7. Warioba
8.Siro
9. CiC mstaafu
10. Shivji
Wafuatao ni...
Kuna watoto wanapewa majina ya watu maarufu sijajua wazazi uwaga wanaza nini •
Kijijini kwetu hata hapa mjini kuna watu wanatumia majina ya watu maarufu na ni majina yao sahihi waliopewa na wazazi wao. Kwa mfano kuna wanaume wanaitwa .William, Mkapa, Nyerere, Kikwete, Riziwan , Mwinyi...
Wasalaam wanajamii,
Kati ya fantasy moja ambayo huwa nataman kuitimiza kabla sijajifunga na mambo ya ndoa huwa ni KUMLA Celebrity mmoja.
Nawasikia tu watu wakisema hawa wanalika sema lazima uwe na connection flan hivi ili uwasilishe dau nono ujiopolee mtoto mkaleee.
Nani mwenye uzoefu na haya...
Nimejiridhisha kwamba kwa sasa TRA wana jambo lao kwa wakwepa kodi maana si kwa kelele hizi, wakiona unakwepa wanapita na wewe.
Mwezi uliopitwa nilipatwa na simanzi baada ya kuona ndugu yangu kapatwa na pigo zito la kulipa faini ya TRA, masikitiko yake yamenigusa na mwanzoni nilidhani kaonewa...
Yaani ukitaka ku- access akauntiz(mfano ya twitter au Instagram ) ya mtu kama Diamond, Ali Kiba, Mayele, Sakho, Chama, Wema, n.k, ukiwa humu nchini, shariti kwanza ulipe 500, then kupitia simu yako, unatumiwa password maalumu itayokuruhusu kuingia katika akaunti ya huyo mtu maarufu .
Nadhani...
DHANA YA UMAARUFU
Jamii ni mkusanyiko wa watu wenye hali na mitazamo tofauti wakiwa chini ya mamlaka moja ambapo kila mmoja ana mchango kwa maisha ya mwingine.
Katika jamii zilizoendelea, hali ya kutegemeana ni kubwa kutokana na kila mwanajamii kuwa na shughuli halali inayoathiri maisha ya...
Za asubuhi wakuu, leo nakuja na makala ya watu maarufu duniani, ambao wameacha alama kubwa katika tasnia zao na mpaka leo hakuna alietokea kuziba mapengo yao.
1) Mohammedi Ali
Huyu ni bingwa, mbabe na mtemi wa masumbwi ulimwenguni kote. Mohammed Ali ambae alizaliwa 17 January 1942, huko...
Mauaji ya kisiasa ya watu maarufu katika historia
Katika historia, dunia imeshuhudia mauaji mengi ya kisiasa, ambayo yana sababu na nia tofauti.
Baadhi yamesababisha vita vya umwagaji damu na uharibifu mkubwa na mengine yamebadilisha mkondo wa historia. Kwa ufupi haya ni baadhi ya mauaji ya...
Visa na mikasa ya kesi maarufu duniani na hukumu zake
Visa na Vikasa ya Kesi Maarufu Duniani na Hukumu Zake ni mwanzo wa vitabu nitakavyokuwa nikivitoa kwa awamu ambapo vitabu hivyo vitakuwa na mkusanyiko wa kesi mbalimbali zilizowahi kutokea katika nchi mbalimbali duniani na kuvuta hisia za...
Jaji Warioba amekitaka Kikosi kazi cha Profesa Mukandala na Zitto Kabwe kukusanya maoni ya Wananchi wa kawaida badala ya kualika wasomi na Watu maarufu pekee.
Jaji Warioba amesema makundi ya Kikanda, Kidini, kikabila na kisiasa vikiachiwa na kuchekewa vitaligawa taifa.
Chanzo: ITV habari
1. JOHN LENNON (MUIMBAJI)
Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale...
Watu wengi hupenda, au kulazimisha kupiga picha na watu maarufu katika nyanja mbali mbali.
Leo tunataka tujiulize; zile picha huwa zinamanufaa gani katika maisha yako; hasa katika utafutaji wa kipato chako cha kila siku.
Ni kweli watu tunaowaona ni maarufu wanapata athari ya kuharibikiwa nyota zao hata kama hawajarogwa na hii hutokana na kila mtu anaemjua kumchukulia kwa mtazamo wake wengine watampenda na wengine watamchukia, sasa hao wanaomchukia kuna watu wengije jinsi walivyoumbwa wakimchukia mtu au...
Habari zenu wadau,
Kwa siku za karibuni kumekuwa na mfululizo wa kesi za kubaka hasa kwa watu maarufu hususani wachezaji mpira na wasanii.
Inawezekana ikawa madai yao ni ya kweli au kuna kitu nyuma ya matukio haya wengi wakihusisha na ile dini inatajwa kuwa ya siri kwamba ukikataa au kuenda...
Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021
1. JPM
2. Bakari Mwakapachu
3. Prof Mathew Luhanga
4. Zakaria Hanspope
5. Asas
6. Haruni Zakaria
7. Summry
8. ....
Ni matamanio na furaha ya kila mwanandoa kubarikiwa na watoto wenye afya, baada ya safari ndefu ya ujauzitoMwaka wa 2021, tumeona na kushuhudia baadhi ya watu mashuhuri ambao wamebarikiwa na vifungua mimba wao.
Hii hapa baadhi ya orodha ya watu waliobarikiwa na watoto wa kwanza mwaka wa 2021...
Kiswahili ni lugha inayozungumzwa na mamilioni ya watu katika Afrika na kote duniani. Ingawa Kiswahili kimeonekana kupanda chati na kuonekana kuzidi kushika kasi leo, lakini lugha hii ilshapata heshima tangu zamani. Wasanii na watu maarufu walitamani kuizungumza wakiwa na fikra kwamba Kiswahili...
Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.
Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa:
1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi
2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.