watu waliopotea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Tunahitaji ukweli uliokamilika waliotekwa wako wapi? Na wa 'Mauaji ya Halaiki' ya Oktoba 29, 2025

    Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola na taasisi za usimamizi wa uchaguzi kutoa majibu ya haraka kuhusu kile alichokiita "Mauaji ya Halaiki" na upotezwaji wa miili ya raia uliotokea Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa taifa haliwezi kupona...
  2. JamiiForums Tanzania Tuliombe Jeshi la Polisi kuzuia mkutano huu wa TLS hapa Ubungo Plaza kuhusu watu waliopotea

    Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu . Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”

    Salaam Wakuu, Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Rais ndo Mwenyekiti wa kwanza wa usalama, kupitia thread hii ataweza kujua ni kiasi gani watu wanapotea bila hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…