Watu wasiojulikana,wamevamia na kufyeka ekari 25 za mahindi katika shamba linalomilikiwa na Kanisa la Efatha la Sumbawanga.
Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita na eneo lililofyekwa ni sehemu ya ekari 96 za shamba hilo.
Akizungumzia tukio hilo, Meneja wa shamba hilo, Peter Kibona,alisema...