Asalaam Alleykum:
Mwaka 2017 ulikuwa na mbwembwe nyingi sana.
Moja wapo ya mbwembwe hizo ni zile za watu wasiojulikana ambao walipiga vita za madawa ya kulevya wakashindwa, wakavamia Clouds na kutisha watu, wakamiminia Tundu Lissu risasi na mambo mengi ambayo yalilitia doa nchi yetu kama vile...
Singida. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema hakuna haja ya kuanza kuhangaika kutafuta wachunguzi kutoka nje kwa ajili ya kufuatilia wahusika wa shambulizi la Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu kwa vile vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinajitosheleza na vina...
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....
Naomba nikukumbushe kwa FACTS:
Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai mwezi Mei, mwaka 1998 - Rais hakuwa Magufuli!
Wakati wafuasi wa CUF Pemba walipopigwa...
Watu wasiojulikana wameshambulia nyumbani ya mashambani ya Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto Magharibi mwa Uasin Gishu Kaunti, ripoti zinasema.
Ripoti katika eneo hilo zinasema kuwa washambuliaji hao waliwashinda nguvu polisi mmoja katika lango la nyumba hiyo na kuingia ndani.
Ufyatulianaji...
Wananchi wa kijiji cha Kitanga katika wilaya ya Kasulu mkoani kigoma wamelalamika zaidi ya ekari elfu saba za mazao kuvunwa na watu wasiojulikana pamoja na nyumba zao kuchomwa kutokana na mgogoro uliosababisha pia kifo cha mtu mmoja.
Wamemwambia Naibu waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya...
Radio Free Africa kipindi cha michezo asubuhi hii wametangaza kifo cha ghafla cha Bondia Thomas Mashali. Thomas ni bondia aliyeleta changamoto kwenye gemu na kuifanya ichangamke.
Chanzo cha Kifo chake inadaiwa kuwa kimesababishwa na kipigo cha wananchi hapa maeneo ya Kimara.
=======
Mashali...
Nimeongea na OCS Igogo muda unaenda hakuna msaada. Mwenyekiti wa mtaa wa Bulale Trazo amepigwa risasi SAA 1.45. Mpaka sasa polisi hawaonekani. Ni Mwanza, Nyamagana kata ya Buhogwa.
========
TAARIFA RASMI:
Watu wasiojulikana wampiga risasi na kumuua M/Kiti wa Mtaa wa Bulale mkoani Mwanza, Ndg...
Habari wakuu,
Kwa Mjibu wa radio one nipashe aliyewahi kuwa profesa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam profesa Athumani Mavige ameuawa na watu wasiojulikana nyumbani kwake Bunju.
Polisi wamenukuliwa kuwa alikua anaishi peke yake na hivo hakuna ajuaye kauawa vipi na kauawa jana usiku na kuwa kwa...
Watu wasiofahamika wamekata nguzo za umeme katika eneo la Kola B mjini Morogoro kwa lengo la kuiba kopa na mafuta ya Transfoma katika line kuu ya umeme na kulisababishia shirika la umeme Tanesco hasara ya zaidi ya shilingi milioni 200.
ITV imeshushudia wafanyakzi wa shirika la umeme Tanesco...
Wezi waliiba sanduku wakidhania kuwa kuna pesa ndani yake kumbe sivyo. Waliopofungua sanduku hilo, walikutana na #Chatu mkubwa sana na hatimaye walikimbia na kutelitelekeza hilo sanduku. Huyo joka alikuwa yuko hai na akauwawa na watu. Source ITV.
---
Wakazi wa sinza uzuri jijini Dar es salaam...
Mgombea udiwani wa CHADEMA kata ya mtae jimbo la Mlalo ametekwa leo mchana na hajulikani alipo. Hajarudisha fomu za kugombea udiwani, familia inamtafuta na makamanda wa CHADEMA wanamsaka. Vijana wameapa watakesha nyumbani kwake na ikibidi wanatoka na mtu.
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la...
Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili,mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya.
Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa kawaida.
Habari zaidi zinasema kawadhurumu wananchi viwanja vingi sana,wakati mwingine huuza...
Usiku wa kuamkia leo jijini Mwanza, kata ya Buhongwa kumetokea mauaji ya kinyama. Mauaji hayo yamefanywa leo saa kumi usiku.
Watu watatu wa familia moja akiwemo Mtoto wa miezi saba (7) waliuwawa kikatili, kwa kunyongwa, ndani ya nyumba yao na watu wasiojulikana. Kwa habari za awali ni kwamba...
Mkurugenzi wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', ambaye pia ni Mjumbe wa Nec CCM, Asha Baraka, akiwaka wakati akizungumza na mtandao huu jana jioni alipokuwa akisimamia zoezi la kuwazuia wabomoaji kutobomoa nyumba na vibanda vya wananchi katika eneo hilo la Hanansifu bila kufikia muafaka...
Watu wanne wakiwa na chupa nne za bia huku zikiwa na mafuta ya petrol wakatupia ndan ya kanisa na kukimbia huku ikiwa waumini wake wakiwa katika maombi ya kujiandaa na semina ya injili wiki ijayo
---
Ni vijana wa nne walirusha chupa na taa ya chemli, baada ya kutupa ile taa ililipukia ndani...
Kuna vurugu kubwa zimeripotiwa kutoka Mbeya ambapo kikundi cha watu wanaojiita waasi wamevamia msikiti na kujeruhi watatu!
.:Ni shambulio msikitini Kyela Mbeya. Kikundi cha watu wanaojiita waasi na wanasema wanafanya kazi na Al Qaeda wamevamia watu wakati wakisali swala ya Eid na kuwajeruhi...
Mwenyekiti wa CCM Wilaya mpya ya Gairo Bwana Omary Awadhi, amemwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Gairo. Kwa mujibu wa mwenyekiti huyo tukio hilo lilitokea usiku wa manane baada ya watu wasiojulikana kumgongea na kumwamsha.
Hata hivyo anasema aligoma kufungua mlango bali...
JUNE 20, 2013
Mbunge wa kasulu mjini kupitia tiketi ya Chama cha NCCR Mh. Moses Machalli
Habari zilizoifikia Maisha Times muda huu kutoka Dodoma zinaripoti kwamba Mbunge wa Kasulu mjini kupitia tiketi ya Chama cha NCCR Moses Machalli amevamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana katika eneo...
Dar es Salaam
MWANDISHI wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima Andrew Chale ameanza kuishi maisha ya wasiwasi baada ya watu wasiojulikana kufanya jaribio la kumteka.
Chale alisema kwamba siku ya Jumamosi usiku watu wasiojulikana walikuwa wakifuatilia nyedo zake.
Alisema watu walikuwa kwenye...
Mwanaharakati Marcosy Albanie ametoweka nyumbani kwake baada ya kufuatiliwa na watu wasio julikana kwa kipindi cha siku kadhaa.
Mtakumbuka mara ya mwisho Bwana huyu alionekana kwenye kipindi cha kipima joto kilicho rushwa kwenye runinga ya ITV kikimshirikisha yeye, mbunge wa Singida mashariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.