Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda, mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao, kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa.
Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza.
PIA, SOMA:
- Mwandishi wa kampuni ya Mwananchi...
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
====
Pia soma
~ Matukio...
Ndugu Watanzania,
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali.
Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
LEO TENA KTK UNTOLD STORIES OF ZAMA ZA GIZA by Boniface Jacob
Tuelekee huko Kaskazini Mwa Tz, Mkoani Kilimanjaro,Wilaya ya Hai.
Ilikuwa Siku ya Ijumaa ya Tarehe 30 October 2020 ikiwa ni Siku 2 tuh baada ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Kufuatia Kuharibika kwa Uchaguzi Jimbo la...
Salaam Wakuu,
Kama mnakumbuka, Baraza la Taifa vijana la CHADEMA Mkoa wa Tanga, Walitoa siku nne Watu wasiofahamika Waliompiga risasi Lissu Wajitokeze. Na Wasipojitokeza Watasoma Albadir.
Baada ya siku nne kuisha Wasiojulikana hawakujitangaza wakakaa kimya. Hivyo Albadir baada ya siku nne...
========
Lawyer Danstan Omari was the lawyer who spoke to members of the forth estate alongside Raila Odinga at the Karen home of former Interior CS Dr. Fred Matiang’i following the raiding of his house by an elite police squad.
While insisting the squad had no reason whatsoever to prove their...
Ni kipi kilijificha nyuma ya watu wasuojulikana?
Tumeshuhudia matukio mengi ya kutisha na kuogofya ndani ya ardhi ya Tanzania kama:
~ Mauaji ya Kibiti.
~ Mapigano ndani ya mapango ya Amboni.
Lakini haya yote yalimezwa na watu wasiojulikana.
Swali: Je, ni nani alikua nyuma ya hili?
Mada...
Baada ya Tanzania kulaumiwa na Jumuiya za kimataifa kwa kumiliki kikundi cha watu wasiojulikana ambao kazi yao ni kuteka, kuua kutesa, kubambikizia kesi, Tanzania imetoka kuwa nchi ya kwanza yenye amani Afrika na kuwa ya 16. Ila kuwaliwaza wanasema ni ya 7
Ifuatayo ni Orodha ya Nchi zenye...
Wasalaam wana JF.
Wakati tukitafakari mchango wa wananchi wenzetu wanoko waliosanifu na kutoa wazo shule la uanzishwaji wa tozo, tusisahau heka heka za watu wasiojulikana.
Katika awamu ya tano watu wasiojulikana walikua busy na mishe mishe anuai waki fanya hili na lile. Cha ajabu, katika awamu...
Mtu asiyefahamika ameingia nyumba ya watawa wa Shirika la Veronika lililopo Soweto, wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro na kuiba vikombe vya kuwekea komunyo (siborio).
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simon Maigwa akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema kutokana na uzembe uliofanyika...
Mkazi wa Kijiji cha Orkine, wilayani Kiteto mkoani Manyara, Nanaa Mepukori (54) amelazwa katika hospitali ya wilaya hiyo baada ya kujeruhiwa kwa kukatwa sehemu zake za siri na watu wasiojulikana.
Tukio la mwanaume huyo kukatwa nyeti lilitokea Juni 28, 2022 usiku ambapo inadaiwa kuwa alikuwa...
Akihojiwa kwenye kipindi cha kinagaubaga ndugu Maxence Melo amesema walikuja watu wasiofahamika wakitaka kumchukua ili wakamhoji kwanini amefanya mahojiano na Balozi wa Umoja wa Ulaya, lakini Balozi aliwakatalia katakata akisema hamuwezi kumchukua nikiwa naye mimi.
Kweli nchi ilikuwa ngumu sana...
Mwandishi wa habari wa Wasafi Media Arusha, Potte Mmanga anadaiwa kukamatwa mchana huu nyuma ya Chuo cha Technical College na watu waliojitambulisha kwake kama askari polisi wakidai wanampeleka ofisi ya RCO kwa mahojiano. Ofisi ya RCO Arusha imesema haina taarifa za kukamatwa kwake.
Chanzo...
Leo Asubuhi nimeenda shambani kwangu nimekuta sehemu ya mazao yangu yamevunwa na watu wasiojulikana.
Usiku wa jana majira ya 3 usiku natoka senta kupiga piga story kijiweni nilikutana na vijana Sita wakiwa na Guta wamekwama karibu na Shule yetu ya kijiji na vitu walivyokuwa wamebeba ndivyo kama...
Wakili Peter Madeleka adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kutoka katika Hotel ya Serena Jijini Dar Es Salaam Jioni hii.
----
Hilda Newton kupitia akaunti yake ya Twitter amesema haya
Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu Serena Hotel Dar Es Salaam na askari...
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
=====
WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NYUMBANI KWA MBUNGE HUMPHREY POLEPOLE,
Watu...
Lindi. Watu watano wakazi wa Kijiji cha Rutamba Halmashauri ya Mtama wanadaiwa kuwa ni wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), wamepotea tangu Oktoba 30, 2021.
Katibu wa CUF Wilaya ya Lindi, Shadhil Bosha amesema kuwa watu hao waliopotea ni wanachama wa chama hicho akidai kuwa walichukuliwa na...
Jambo hili la kusikitisha limefanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo watu wasiofahamika wamelipua ofisi hiyo na kisha kutokomea kusikofahamika, nyaraka kadhaa za Chama hicho zimeteketea na nyingine zenye thamani kubwa zimeibwa.
Ikumbukwe pia kwamba Viongozi wa Chadema zaidi ya 50 wa Tunduma...
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.
Ikumbukwe kuwa kuna uzi uliletwa humu juzi kuwa Moshi, Kilimanjaro kata ya Mwika Uuwo kuna mama alikatwa shingo hadi kufa na watu wasiojulikana na jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro akasema chanzo cha kifo ni wivu wa kimapenzi basi leo ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.