Baba mwenye nyumba ukianza kulala na wapangaji na Vijana wako wakajua, utapata wapi nguvu za kukemea watoto wako wa kiume wakilala na wafanyakazi wa ndani na wa kike watakapolala na wapangaji wa kiume.
Hiki ndicho kilichotokea kwenye sakata la Singida na mengine ambayo serikali inayavumbua na...
Nyie msiojulikana mliojazana huko kwenye vyombo vya kutesa na kuua raia ni suala la muda tu kujulikana kwenu.
Damu ya mtu sio maji ya kunywa, juice, soda ama pombe.
===
Mwanajeshi mmoja nchini Gambia, Luteni Malick Jatta amekiri kuua watu 50 mwaka 2005 kwa agizo la aliyekuwa Rais wa nchi...
acheni
chadema
halimashauri
halmashauri
halmashauri ya mkuranga
hii
huwa
kazi
kuzika
maiti zisizotambulika
miili
mkoloni
mkuranga
nafasi
nafasi ya kazi
taharuki
tangazo la ajira
wasiojulikanawatuwasiojulikana
Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya matukio matatu ya watu kutekwa/kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kukutwa wakiwa wameuawa, likiwemo tukio la kijana Samwaja Sifael Said, Mkazi wa Kijiji cha Chalunyangu mkoani Singida kuuawa kisha kukatwa sehemu zake za siri na marafiki zake.
Tukio la...
Kwema Wakuu!
Nazungumza Kwa uzoefu wàngu binafsi.
Úkiwa mkosoaji wa viongozi wa serikali au serikali Kwa ujumla Bila kujali Nia yako kuwa ni Njema au mbaya, Bila kujali upo Chama gàni au hauna Chama.
Watu kuanzia Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wàtakuambia Bila kificho kuwa unajiingiza...
Taswira ya nchi yetu kimataifa imechafuka sana ndani ya kipindi cha miezi miwili iliyopita kuliko wakati mwingine wowote tangu 2021, na tunakoelekea inaonesha hali itakuwa tete zaidi.
Suluhisho sio matumizi ya nguvu za dola, suluhisho ni masikilizano.
Ili maridhiano kati ya chama tawala (CCM)...
Hili ni swali ninalolipeleka kwa Wanachama wa Chadema pamoja na viongozi wao, Wengine wanaopaswa kujibu maswali haya ni Wapenda haki wote, Wakiwemo pia viongozi wa Dini
Hawa wengine tuliambiwa walikamatwa wakijiandaa kwenda Mbeya kwenye Maadhimisho ya siku ya Vijana ya Kidunia, Lakini Polisi...
Nimesoma kwa masikitiko taarifa za siri za watu kutekwa nyara kuuwawa na watu wanajitambulisha kuwa polisi kwenye website ya BBC Swahili.
Taarifa ilikusanywa na mwanahabari Samy Awami na timu yake ,Samy ni mtanzania mwenzetu amefanya kazi kubwa nawaomba moderators wauweke hapa.
===========...
Baada ya Juvénal Habyarimana aliyekua Rais wa rwanda kuingia madarakani kupitia mapinduzi mwaka 1973 kwa kumpindua Grégoire Kayibanda kutokana na hofu aliyokua nayo dhidi ya madui zake ilibidi aanzishe kikundi kinachoitwa interahamwe hiki kikundi cha kihutu kilikua na lengo la kufanya kazi chafu...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) kikiongozwa na wakili Boniface A.K Mwabukusi kimetoa tamko zito lililoweka wazi hali ya kusikitisha inayolikumba taifa. Kwa mujibu wa tamko hilo, kumekuwa na ongezeko la matukio ya kutekwa, kupotea, na kuteswa kwa watu nchini...
chama cha wanasheria tanganyika - tls
kutekwa na kuteswa
matukio ya utekaji
tls yakemea utekaji
vitendo vya kukamatwa
vitendo vya utekaji watuwatu kupotea
watu kutekwa
watuwasiojulikana
Wakati nafikiria kuandika uzi huu, niliogopa kidogo kwa hofu hiyo hiyo ya kutekwa, lakini nikajipa moyo kwamba tukinyamaza hapa JF ni nani mwingine atasema?
Kwa Rais kusema hadharani kwamba masuala ya kutekwa watu yanayoendelea kwenye nchi anayoiongoza ni Drama, si tu kwamba ni uongo lakini...
Tanzania ni hodari kwa propaganda.
Tumetoka juzi kwenye wimbi la maandamano ya wafanyabiashara. Tupo kwenye wimbi la watu kupotea, ghafla tunasikia mgogoro wa Yanga eti magoma ana kesi ya kuondoa uongozi wa Yanga kwa kuwa haupo kihalali.
Hii yote ni kuutoa umma wa Watanzania kwenye mambo ya...
Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na wengine wakisema ni wahalifu wanafanya hivyo kuichafua serikali!
Baada ya Kifo cha Magufuli wengi...
Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini.
Taarifa mpya zinadai kuwa vijana wanne wilayani Temeke, Dar es Salaam na mkazi mmoja mkoani Geita wametoweka na jitihada za kuwatafuta hazijazaa matunda kwa...
Utekaji ni kitendo cha uwezo mkubwa maana kinatumika na silahaa za moto ili kukabiliana na endapo kutatokea ubishani kati ya muhusika au wananchi kwenye tukio.
Ila cha kushangaza watekaji waliopo hapa tanzania ndio wenye matumizi ya vifaa hivyo ukilinganisha si rahisi nchi kukupa silahaa hiyo...
Mwanza. Daniel Sayi (48) mfanyabiashara wa ng’ombe wilayani Geita mkoani hapa, anadaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake Kitongoji cha Kiomboi, Kijiji cha Ihilika, Kata ya Nyarugusu mkoani Geita.
Sayi inadaiwa alichukuliwa Mei 13, 2024 saa 12 jioni baada ya watu wanne...
Kumekuwa na hali ya sintofahamu inayoendelea Kwa wakazi wa Kigamboni na Maeneo jirani ya kijichi, mbagala kuu na Mikwambe baada ya matukio ya kutekwa kwa watoto wadogo wa shule za msingi na secondary hali inayopelekea wazazi wengi wakazi wa maeneo hayo kuhofia usalama wa watoto wao pindi...
Hakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa.
---
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani jukumu lake la msingi na la kikatiba ni kuhakikisha linalinda usalama wa raia na mali zao.
IGP Wambura...
Tuliopitwa na tukio hili pitia hapa ambapo mke alisimulia kupitia gazeti la Mwananchi mume wake Kombo alivyotekwa na watu wasiyojulikana - Jumanne Julai 2, 2024
====
Handeni. “Niliamka asubuhi nikaanza kufanya usafi, akaja mtu mmoja akawa anazunguka hapa nyumbani kwetu, tukasalimiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.