watu wasiyojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Zanzibar: Polisi wakanusha taarifa ya Mjumbe wa Kamati Kuu ACT kudaiwa kutekwa na vyombo vya ulinzi, wasema alikamatwa na kuachiwa kwa dhamana

    Wakuu, Mapema leo Naibu Katibu Mkuu wa ACTWazalendo -Zanzibar Omar Ali Shehe alidai kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Hadija Anuwar alitekwa na watu wasiyojulikana wakati wa uandikishaji katika Daftari la kudumu la Tume ya Uchaguzi Zanzibar -ZEC. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  2. kipara kipya

    Pre GE2025 Ni wakati sahihi Dkt. Slaa kutuambia nani alimpiga risasi Lissu

    Kipindi Mzee Slaa alipoulizwa ni nani alimpiga risasi Lissu, akasema ni Chadema wenyewe na Lissu anajua. Imepita takriban miaka nane Slaa anatuambia yupo tayari kurejea CHADEMA. Je, ni nani alimpiga risasi Lissu? Ni wakati mzuri wa Dkt. Slaa kutupa yale majibu yake. Pia soma Dkt. Slaa...
  3. Cute Wife

    Waliojaribu kumteka Tarimo walitaka kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi kuendelea Februari 24, 2025

    Wakuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imeelezwa kuwa vijana sita, wakiwemo mabondia wawili, walipanga kumteka mfanyabiashara Deogratus Tarimo kwa lengo la kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi hiyo, inayowakabili washtakiwa Fredrick Nsato (21), bondia Isaack Mwaifuani (29), Benk...
  4. Beira Boy

    Mwanza: watoto waliotekwa wapatikana, watekaji wauawa kwa kupigwa risasi

    Amani iwe nanyi wapendwa Wale watoto waliotekwa hatimaye wamepatikana lakini watekaji wameuliwa. ===== Wanafunzi wawili wa Shule ya Blessing Model School waliokuwa wametekwa na watu wasiojulikana Februari 5, 2025 jijini Mwanza wamepatikana huku watekaji wakipigwa risasi na kupoteza maisha...
  5. Mshangazi dot com

    Dar: Mwili wa mtu asiyejulikana wakutwa kwenye shimo la choo Tabata

    Nimeona habari ya viungo na mafuvu yanayodhaniwa kuwa ya mwanamke kupatikana kwenye chemba ya maji Tabata. Mambo ya kutisha sana 🤦🏽‍♀️😔. Tukio gani la ajabu umeshawahi kulishuhudia huko mtaani kwenu? ===== Mwili wa marehemu ambaye haujatambulika umekutwa katika shimo la choo ndani ya nyumba...
  6. Cute Wife

    Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo kuendelea Januari 21, 2025 baada ya jalada kutokuwepo Januari 9. Ni mara ya pili mfululizo kukwama

    Wakuu, Hii kesi naona mauzauza, inaenda kama haiendi inakuja kama haiji. Yaani wanafanya kusudi kabisa ili iishie juu kwa juu. Ngoja tuone nini kitajiri hiyo kesho wakati CHADEMA wakiuamua mbivu na mbichi. ===== Kwa mara nyingine tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, iliyopo Kinondoni...
  7. Cute Wife

    Pre GE2025 Mtanzania anatekwa nchi jirani hakuna tamko lolote kutoka serikali ya Tanzania, hii ina maana gani?

    Wakuu, Toka tukio la utekaji wa Maria limetokea jana Januari 12, 2024, akapatikana, akatoa statement kwa ufupi na kusema ataongea vizuri leo hakuna neno lolote kutoka serikali ya Tanzania kuhusu utekaji huo uliofanyika kwa majirani zetu! Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na...
  8. Mindyou

    Mtangazaji wa TV3 Gwamaka Francis aliyetangazwa kupotea siku kadhaa nyuma apatikana kwa shangazi yake Kitunda

    Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya kupatikana kwa Mtangazaji wa TV 3, Gwamaka Francis Gehas maarufu kama 'Boiboi Mkali' mkazi wa Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam, aliyedaiwa kupotea tarehe 3 Januari, 2025 amepatikana akiwa kwa shangazi yake Kitunda, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ya...
  9. Cute Wife

    Watu wanaopotea/kutekwa karibuni kupatikana kwa ndugu/jamaa kuna jambo linatengenezwa, there are no coincidences!

    Wakuu, Hivi karibuni kama mmefatilia kwenye matukio haya ya kupotea/kutekwa na watu wasiyojulikana mtagundua kuna kitu, kuna pattern inatengezwa kuisafisha serikali na vyombo vya ulinzi, kwa kufanya kuwa wote waliotekwa wameamua kujificha wao wenyewe kutokana na sababu mbalimbali. Wakienda...
  10. mwanamwana

    Jeshi la Polisi: Tunafuatilia kutoonekana kwa bwana Danstan Daud Mutajura

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Januari 04,2025 majira ya saa 8:00 mchana lilipokea taarifa toka kwa wananchi ya kuonekana kwa gari aina ya Mercedes Benz lenye namba za usajili T 109DVY likiwa limetelekezwa eneo la BUZA SIGARA. Taratibu zilifanyika na gari hilo kuvutwa hadi kituo cha...
  11. Poppy Hatonn

    Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza

    Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam. Dastan ametekwa jana majira ya saa 4 asubuhi maeneo ya Sigara, TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam wakati akienda kazini...
  12. Cute Wife

    Baada ya tukio la TRA Tegeta sasa hivi kila usiku polisi wanakamata watu na kuunganishwa kwenye kesi, huu ni uonevu

    Wakuu, Nimetoka hapo Tegeta one time, wakati naperuzi peruzi hapo ndio nikaipata hii. Ni kwamba baada ya tukio lile la TRA sasa hivi kila siku polisi wanaenda maeneo hayo saa nne usiku, ukikutwa unazubaa zubaa hapo hakuna cha msalia mtume, wanakubeba kama mtuhumiwa na wewe unaingizwa kwenye...
  13. Suley2019

    Kituo cha Afya Makuburi: Ulomi aliletwa hospitali na Askari

    Salaam Wakuu, Sakata la Ulomi linazidi kuleta taswira mpya kila siku, leo Kituo cha Afya Makuburi wanasema Ulomi aliletwa kituoni kwao na Askari, tushie lipi? Someni wenyewe hapa chini sakata limeelezewa: Kituo cha Afya cha Makuburi kilichopo Ubungo Jijini Dar es salaam kimesema...
  14. Cute Wife

    Pre GE2025 Muliro azungumzia kauli ya Lissu kutaka kuumizwa na wasiyojulikana kisha kumsingizia Mbowe

    Wakuu, Ila Muliro😂😂 hapa wameshindwa tu kumuita mchochezi na mzua taharuki, si ndio haya mapuuzo yalipekea mtu akafanyiwa assassination attempt? Hii statement imenishangaza kwakweli, leo ndio anafahamu kuwa ni sehemu yao ya uhuru wa kujieleza ila wakitaka kuandamana kwa amani wabatendewa kama...
  15. Cute Wife

    Polisi watoa taarifa kifo cha Ulomi wasema alifariki kwa ajali ya pikipiki

    Wakuu, Hivi mnaona hii pattern ya watu kutekwa sasa hivi pamoja na reporting yake? Wote (uliondoa wanasiasa mashuhuri) ni wafanyabiashara au wanahusishwa na biashara, na zote bwana Ayo amekuwa mstari wa mbele utafikiri anapewa headsup kuwa hii freshi unaweza kuripoti?! Halafu tayari kulikuwa...
  16. Mkalukungone mwamba

    Katibu wa Afya Hospitali ya Mwanyamala: Ulomi alipata ajali, mwili uliletwa December 11, 2024

    Mwili wa Mfanyabiashara aliyeripotiwa kupotea tangu December 11,2024 Jijini Dar es salaaam, Daisle Simon Ulomi, umekutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwanyamala huku Uongozi wa Hospitali hiyo ukisema Ulomi afikishwa Hospitalini hapo December 11,2024 majira ya jioni akiwa ameshafariki na...
  17. Waufukweni

    TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

    Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam. Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo yaa Sinza Kijiweni na Mwenge alipotea tangu 11...
  18. Waufukweni

    Mke wa Ulomi asimulia sakata la kupotea kwa mumewe

    Elizabeth Munisi ambaye ni Mke wa Mfanyabiashara aliyepotea tangu December 11,2024 Jijini Dar es salaaam, Daisle Simon Ulomi, ameiomba Serikali kupitia Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuendelea na uchunguzi huku pia akiwasihi Wadau wa Haki za Binadamu na Watanzania wote kuendelea kupaza sauti ili...
  19. Suley2019

    Mfanyabiashara Ulomi apotea, familia na Polisi wanamtafuta

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema December 12, 2024 katika kituo cha Polisi Chang'ombe, Temeke ilipokelewa taarifa ya kutafutwa na Familia yake Mtu aitwaye Daisle Simon Ulomi, Mfanyabiashara ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini kwake December 11, 2024. Taarifa...
  20. Waufukweni

    Watuhumiwa waliotaka kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) wafikishwa Mahakamani

    Watuhumiwa sita wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki leo December 06,2024, wakituhumiwa kutaka kumteka Mfanyabiashara Deogratius Tarimo katika eneo la Kiluvya Wilayani Ubungo Jijini Dar es salaam. Waliofikishwa Mahakamani ni Bato Bahati Tweve...
Back
Top Bottom