watu wasiyojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

    Wakuu Salama, Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio. Edga Mwakabela (Sativa) Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye...
  2. A

    DOKEZO Ndugu yetu Tito hajulikani alipo na familia tunazo taarifa kwamba Polisi walimpiga akiwa kituoni na kumuua, kisha wakamzika

    MALALAMIKO KUTOKA FAMILIA YA MAREHEMU WOLFGANG M.TURUKA. Tangu tarehe 14/9/2020 ndugu yetu Tito hajulikani alipo na familia tunazo taarifa kwamba Polisi walimpiga akiwa kituoni na kumuua, kisha wakamzika kusiko julikana. Ofisi ya RPC Ruvuma walifungua jalada la uchunguzi tangu tar. 28/2/2024...
  3. Cute Wife

    Polisi anayeenda kumkamata mwananchi anatakiwa kuwaje? Mwananchi anatakiwa kufanya nini ikiwa amegundua mtu huyo siyo polisi?

    Wakuu mko salama? Kumekuwa na matokeo mengi yanatokea hivi karibuni watu wanakamatwa na watu wanaojitambulisha ni polisi mwisho wa siku wanaokotwa wamekufa, polisi wakiambiwa ni wao wamefanya hivyo wanagoma kuwa waliowakamata siyo polisi. Wakati mwingine huwa inatokea wanaomkamata mtuhumiwa...
  4. Cute Wife

    Watu wasiyojulikana wamshambulia Mauzinde kwa kumkata masikio na kumtelekeza msituni

    Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na kisha kumtelekeza msituni Tukio hilo lilitokea jana Jumapili Juni 2, 2024 usiku eneo la Kibele Wilaya...
  5. D

    Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha. Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani...
  6. J

    Leo ni miaka 6 tangu Tundu Antipas Lissu ashambuliwe kwa risasi na Watu wasiojulikana

    Mungu wa mbinguni mbariki sana Tundu Antipas Lissu Ili siku moja aliongoze Taifa Hili Tundu Antipas Lissu ni Muujiza Unaoishi Mungu wa mbinguni awabariki sana wote mlioshiriki kuutetea Uhai wa jasiri Tundu Antipas Lissu Zaidi soma - DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa...
  7. mngony

    Kwa yanayoendelea kesi ya Sabaya, naamini tutakuja kujua waliohusika kumshambulia Tundu Lissu na wasiojulikana kujulikana

    Tunaanza kusikia tuliyokuwa hatuyajui au kuthibitisha yale tuliyokuwa tukidhania, kwa yanayondelea kutamkwa na Sabaya ni wazi hata kitendawili cha waliomshambulia Tundu Lissu na kilichowasukuma kinaweza kutatuliwa. Sabaya anatamka kabisa kuwa alifika KIA akakutana team ya watu 4 ambao hawezi...
  8. eden kimario

    Kumbukumbu ambayo ccm na spika wao wanaikana na hawaijui: Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana

    Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana 07 Septemba 2017 Lissu,mwanasheria mkuu wa CHADEMACHADEMA Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma, katikati mwa Tanzania. Mwanasiasa huyo amekimbizwa...
  9. Informer

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Wakuu, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi. Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma. Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea...
  10. mayoscissors

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!! Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja...
  11. B

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe kwako. Mwulize jina lake Mwulize namba yake ya uaskari Raia ana haki ya kujulishwa kwanini anatiliwa mashaka ama kukamatwa. Raia ana haki ya kuwajulisha ndugu, jamaa ama sehemu anakofanyia kazi kwamba ama amekamatwa na polisi ama Taasisi ya Kuzuia...
Back
Top Bottom