KUWAWEZESHA WAZEE NA WATU WENYE ULEMAVU: JINSI YA KUHESHIMU HAKI NA USTAWI WAO KATIKA JAMII
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Muktadha: Wazee na watu wenye ulemavu ni sehemu muhimu ya jamii yetu. Hata hivyo, mara nyingi wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na ubaguzi, unyanyapaa...
UTANGULIZI.
Macho na Masikio ni milango muhimu ya fahamu inayotumika mara nyingi zaidi,Ikitokea ikapoteza uwezo wa kufanya kazi basi inakuwa changamoto kwa muhusika kupata haki zake za msingi kama kusoma,na kuajiriiwa,na kama atasoma basi ni kwa shida sana kutokana na ukosefu ama uchache...
Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze kwa kutoa ufafanuzi kidogo juu ya VYUO hivi vya ufundi Kwa watu wenye ULEMAVU.
Hivi ni VYUO vilivyoanzishwa maalum kwaajili ya kuwasaidia walemavu kupata ujuzi na stadi za maisha Ili waweze kujitegemea na pia kujichanganya na jamii wanamo ishi.
VYUO hivi...
KATIKA kuhakikisha lengo la kushughulikia vikwazo vinavyowarudisha nyuma watu wenye ulemavu kiuchumi katika jamii Zanzibar, walimu wa vikundi na wawakilishi wa jumuiya za watu wenye ulemavu wametakiwa kufanya kazi kwa ukaribu na watu hao kupitia vikundi vya hisa ili kuwawezesha kujiinua...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Esther Edwin Malleko ameiuliza swali Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu "Watu wenye ulemavu wameonekana wakiwa ombaomba na kutumiwa kama chambo katika kuomba, ni mkakati upi wa Serikali katika kuwasaidia watu hawa kujikwamua...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameshiriki katika Baraza la Madiwani cha Halmashauri ya Busokelo Wilayani Rungwe pamoja na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo.
Akitoa salamu za Serikali katika baraza hilo, Haniu ameishukuru Halmashauri hiyo kwa kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali...
Asilimia kubwa ya Watu wenye Ulemavu bado wapo nje ya Mitandao kwasababu wanashindwa kumudu gharama na kukosa Miundombinu ya kuwasaidia kutumia Vifaa vya Kidigitali.
Hatua zinatakiwa kuchukuliwa kuhakikisha wanaweza kumudu na kufikiwa na Intaneti. Pia ni muhimu kuimarisha Matumizi ya Teknolojia...
Dunia inapitia mapinduzi ya kidigitali yenye uwezo wa kuharakisha utatuzi wa matatizo katika jamii, hivyo kuwezesha watu na jamii kwa ujumla kustawi.
Teknolojia na ufikiaji nafuu wa intaneti vinaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kuondoa utofauti mkubwa wa kijamii uliopo. Teknolojia na intaneti...
Kumekuwa na kasumba mbaya ya kuwabagua watu wenye ulemavu kazini. Ubaguzi unaweza kufanywa na waajiri dhidi ya watu wenye ulemavu au kufanywa na waajiriwa wengine dhidi ya watu wenye ulemavu.
Ubaguzi kwa kigezo cha ulemavu au tofauti zozote katika sehemu ya kazi sio jambo linalotakiwa...
Ni jukumu la kila mwajiri kuboresha mazingira ya kazi kwa wafanyakazi wake. Mazingira ya kazi ni lazima yawe mazuri na salama kwaajili ya kufanikisha utendaji mzuri wa kazi.
Hii itasaidia kuondoa hatari ya watu kuumia au kupata ulemavu wakiwa kazini au kusaidia watu wenye ulemavu kufanya kazi...
Ni takwa la kisheria kwamba kila mwajiri katika sekta binafsi au sekta za umma kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu pale ambapo mtu huyo mwenye ulemavu ameomba nafasi hiyo na ana vigezo vinavyohitajika katika kazi husika sawa na watu wengine wasio na ulemavu.
Kila Mwajiri mwenye uwezo wa kuajiri...
Baada ya kuangalia wajibu wa ndugu kwa watu wenye ulemavu katika mada iliyopita. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu.
Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake.
Jukumu hili...
Ndugu wana wajibu wa kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu.
Kama kuna ndugu zaidi ya mmoja wa mtu mwenye ulemavu, ndugu hao kwa kushirikiana pamoja wanatakiwa kutoa msaada wa kijamii kwa mtu huyo mwenye ulemavu. Mfano: makazi, chakula, elimu, afya, maji au mavazi nk. kama miongoni mwa...
Kumekuwa na kasumba mbaya ya ubaguzi, ambapo baadhi ta watu katika jamii hubagua wengine kwa kuangalia vigezo mbalimbali visivyo na mashiko.
Watu wenye ulemavu ni moja ya kundi linalokutana na kadhia hii kwa kiwango kikubwa, hali inayopelekea kukosa kupata baadhi ya huduma za muhimu katika...
KAMA NINGEKUWA MIMI.
Leo nazungumzia vijana na ajira kupitia Mikopo inayotolewa na serikali kwa vikundi vya vijana, akina mama na watu wenye Ulemavu. Utaratibu wa sasa ili kupata mkopo watu husika lazima wawe na kikundi kilichosajiliwa, baada ya hapo mchakato wa maombi ya mkopo tajwa huanza...
Katika circle yangu Sijawahi kuona watu wakiwa na mahusiano na watu wenye ulemavu wa aina yoyote. Si albino wala vilema ila hua nakutana nao wenye watoto.
Karibuni mtupe mrejesho mliowahi ilikuaje na mlidumu muda upi
WAJIBU WA SERIKALI ZA MITAA KUWALINDA WATU WENYE ULEMAVU.
Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu.
Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake.
Jukumu hili linatekelezwa na...
Watu bilioni moja (takribani asilimia 15 ya idadi ya watu duniani) wana ulemavu na takribani milioni 785 kati yao wana umri wa kufanya kazi.
Kote duniani, watu wenye ulemavu wanakumbana na viwango vya juu vya ukosefu wa ajira kuliko watu wasio na ulemavu. Wanapoajiriwa, pia wana uwezekano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.