Ndugu wana wajibu wa kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu.
Kama kuna ndugu zaidi ya mmoja wa mtu mwenye ulemavu, ndugu hao kwa kushirikiana pamoja wanatakiwa kutoa msaada wa kijamii kwa mtu huyo mwenye ulemavu. Mfano: makazi, chakula, elimu, afya, maji au mavazi nk. kama miongoni mwa...